[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.28,0:00:01.86,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tufanye maswali ya Dialogue: 0,0:00:01.86,0:00:03.65,Default,,0000,0000,0000,,kukokotoa milinganyo. Dialogue: 0,0:00:03.65,0:00:08.42,Default,,0000,0000,0000,,Tuchukulie tuna mlinganyo huu, 1/3 jumlisha A Dialogue: 0,0:00:08.42,0:00:10.90,Default,,0000,0000,0000,,ni sawa na 5/3. Dialogue: 0,0:00:10.90,0:00:13.92,Default,,0000,0000,0000,,Je, thamani ya A ni ngapi kwenye mlinganyo? Dialogue: 0,0:00:13.92,0:00:17.60,Default,,0000,0000,0000,,Kama nina 1/3 jumlisha A, je A inatakiwa kuwa ngapi Dialogue: 0,0:00:17.60,0:00:22.60,Default,,0000,0000,0000,,ili tukiijumlisha kwa 1/3 iwe sawa na 5/3? Dialogue: 0,0:00:23.87,0:00:27.14,Default,,0000,0000,0000,,Kuna njia nyingi za kufanya hii, Dialogue: 0,0:00:27.14,0:00:29.74,Default,,0000,0000,0000,,na hiki ni kitu cha kufurahisha kuhusu mlinganyo Dialogue: 0,0:00:29.74,0:00:32.84,Default,,0000,0000,0000,,na hakuna njia moja ya kukokotoa. Dialogue: 0,0:00:32.84,0:00:34.83,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ngoja nifikirie, Dialogue: 0,0:00:34.83,0:00:36.00,Default,,0000,0000,0000,,njia nyepesi ya kutumia. Dialogue: 0,0:00:36.00,0:00:38.10,Default,,0000,0000,0000,,Na kabla sijafanya chochote, unaweza Dialogue: 0,0:00:38.10,0:00:40.89,Default,,0000,0000,0000,,kusubirisha video, na ufanye mwenyewe. Dialogue: 0,0:00:40.89,0:00:45.89,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nachotakiwa ni kuwa na A Dialogue: 0,0:00:46.31,0:00:47.89,Default,,0000,0000,0000,,upande mmoja wa mlinganyo. Dialogue: 0,0:00:47.89,0:00:49.54,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kuwa A ipo tayari upande wa kushoto, Dialogue: 0,0:00:49.54,0:00:51.44,Default,,0000,0000,0000,,tuone kama nitaweza kuendelea kuiweka upande wa kushoto, Dialogue: 0,0:00:51.44,0:00:53.83,Default,,0000,0000,0000,,hivyo naiondoa 1/3. Dialogue: 0,0:00:53.83,0:00:55.93,Default,,0000,0000,0000,,Vizuri, njia rahisi ya kuiondoa Dialogue: 0,0:00:55.93,0:00:59.31,Default,,0000,0000,0000,,hii 1/3 ni kutoa 1/3 kutoka upande wa Dialogue: 0,0:00:59.31,0:01:00.76,Default,,0000,0000,0000,,kushoto wa mlinganyo. Dialogue: 0,0:01:00.76,0:01:02.66,Default,,0000,0000,0000,,Siwezi kutoa Dialogue: 0,0:01:02.66,0:01:04.30,Default,,0000,0000,0000,,upande wa kushoto wa mlinganyo peke yake. Dialogue: 0,0:01:04.30,0:01:06.76,Default,,0000,0000,0000,,Kama 1/3 jumlisha A ni sawa na 5/3, Dialogue: 0,0:01:06.76,0:01:09.72,Default,,0000,0000,0000,,na kama nikitoa 1/3 kutoka upande wa kushoto tu, Dialogue: 0,0:01:09.72,0:01:11.72,Default,,0000,0000,0000,,hivyo haiwezi kuwa sawa. Dialogue: 0,0:01:11.72,0:01:13.70,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo upande huu utakuwa pungufu ya 1/3, Dialogue: 0,0:01:13.70,0:01:15.06,Default,,0000,0000,0000,,endapo upande huu hautobadilika. Dialogue: 0,0:01:15.06,0:01:16.80,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo basi upande wa kushoto utakuwa Dialogue: 0,0:01:16.80,0:01:18.32,Default,,0000,0000,0000,,pungufu ya 5/3. Dialogue: 0,0:01:18.32,0:01:20.86,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo ili kupata usawa, nitakachokifanya Dialogue: 0,0:01:20.86,0:01:23.99,Default,,0000,0000,0000,,upande wa kushoto nitakifanya upande wa kulia pia. Dialogue: 0,0:01:23.99,0:01:26.82,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nitatoa 1/3 pande zote. Dialogue: 0,0:01:26.82,0:01:30.31,Default,,0000,0000,0000,,Na kama nikifanya hivyo, upande wa kushoto, Dialogue: 0,0:01:30.31,0:01:32.39,Default,,0000,0000,0000,,1/3 toa 1/3, ndiyo maana Dialogue: 0,0:01:32.39,0:01:35.19,Default,,0000,0000,0000,,nimetoa 1/3 ili kuondoa 1/3, Dialogue: 0,0:01:35.19,0:01:40.19,Default,,0000,0000,0000,,na nimebakiwa na A ni sawa na 5/3 toa 1/3, Dialogue: 0,0:01:41.83,0:01:46.06,Default,,0000,0000,0000,,5/3 toa 1/3, Dialogue: 0,0:01:46.06,0:01:49.76,Default,,0000,0000,0000,,toa 1/3 , tutapata ngapi? Dialogue: 0,0:01:49.76,0:01:53.27,Default,,0000,0000,0000,,Nina tano ya kitu hapa, kwenye hili swali nina 5/3, Dialogue: 0,0:01:53.27,0:01:55.89,Default,,0000,0000,0000,,ninatoa kwa 1/3. Dialogue: 0,0:01:55.89,0:01:58.90,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nitabakiwa na 4/3. Dialogue: 0,0:01:58.90,0:02:03.90,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nitaandika A ni sawa na 4/3. Dialogue: 0,0:02:05.86,0:02:07.48,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuhakikisha kama ni sahihi. Dialogue: 0,0:02:07.48,0:02:12.48,Default,,0000,0000,0000,,1/3 jumlisha 4/3 ni sawa na 5/3. Dialogue: 0,0:02:12.97,0:02:14.85,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tufanye mfano mwingine. Dialogue: 0,0:02:14.85,0:02:19.85,Default,,0000,0000,0000,,Tuchukulie tuna mlinganyo huu, K toa nane Dialogue: 0,0:02:21.24,0:02:24.92,Default,,0000,0000,0000,,ni sawa na 11.8. Dialogue: 0,0:02:24.92,0:02:27.52,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mara nyingine, natafuta thamani ya K. Dialogue: 0,0:02:27.52,0:02:29.44,Default,,0000,0000,0000,,Nina K upande wa kushoto. Dialogue: 0,0:02:29.44,0:02:33.48,Default,,0000,0000,0000,,Sihitaji kuwa na hii, toa nane hapa. Dialogue: 0,0:02:33.48,0:02:36.01,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ili kuondoa hii nane, hivyo tuongeze nane Dialogue: 0,0:02:36.01,0:02:36.80,Default,,0000,0000,0000,,upande wa kushoto. Dialogue: 0,0:02:36.80,0:02:38.10,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, kama nafanya hivi upande wa kushoto, Dialogue: 0,0:02:38.10,0:02:40.28,Default,,0000,0000,0000,,nitafanya hivyohivyo upande wa kulia. Dialogue: 0,0:02:40.28,0:02:42.78,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunaongeza nane pande zote. Dialogue: 0,0:02:42.78,0:02:45.52,Default,,0000,0000,0000,,Upande wa kushoto, unatoa nane Dialogue: 0,0:02:45.52,0:02:46.44,Default,,0000,0000,0000,,na pia unajumlisha nane. Dialogue: 0,0:02:46.44,0:02:47.62,Default,,0000,0000,0000,,Hii inaisha, Dialogue: 0,0:02:47.62,0:02:49.76,Default,,0000,0000,0000,,na unabakiwa na K. Dialogue: 0,0:02:49.76,0:02:53.18,Default,,0000,0000,0000,,Na upande wa kulia, 11.8 jumlisha nane. Dialogue: 0,0:02:53.18,0:02:58.18,Default,,0000,0000,0000,,Vizuri, 11 jumlisha nane ni 19, itakuwa 19.8. Dialogue: 0,0:02:58.76,0:03:01.12,Default,,0000,0000,0000,,Na tumemaliza, Dialogue: 0,0:03:01.12,0:03:03.41,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuhakikisha kama umepata jibu sahihi. Dialogue: 0,0:03:03.41,0:03:07.80,Default,,0000,0000,0000,,19.8 toa nane ni 11.8. Dialogue: 0,0:03:07.80,0:03:10.54,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tufanye nyingine, hii inavutia. Dialogue: 0,0:03:10.54,0:03:15.54,Default,,0000,0000,0000,,Sawa, tuchukulie nina 5/13 ni sawa na Dialogue: 0,0:03:16.46,0:03:20.26,Default,,0000,0000,0000,,T toa 6/13. Dialogue: 0,0:03:20.26,0:03:22.36,Default,,0000,0000,0000,,Vizuri, hii inavutia kwa sababu sasa nina mtajo Dialogue: 0,0:03:22.36,0:03:23.88,Default,,0000,0000,0000,,upande wa kulia. Dialogue: 0,0:03:23.88,0:03:24.84,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo naiacha hapa. Dialogue: 0,0:03:24.84,0:03:27.54,Default,,0000,0000,0000,,Tuone kama tunaweza kutafuta thamani ya T kwa kuondoa Dialogue: 0,0:03:27.54,0:03:29.26,Default,,0000,0000,0000,,namba yoyote upande wa kulia. Dialogue: 0,0:03:29.26,0:03:33.66,Default,,0000,0000,0000,,Na kama tulivyofanya awali, kama natoa 6/13, Dialogue: 0,0:03:33.66,0:03:35.60,Default,,0000,0000,0000,,kwa nini nisiijumlishe? Dialogue: 0,0:03:35.60,0:03:37.42,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini nisijumlishe 6/13? Dialogue: 0,0:03:37.42,0:03:38.78,Default,,0000,0000,0000,,Siwezi kufanya hivyo upande wa kushoto. Dialogue: 0,0:03:38.78,0:03:41.11,Default,,0000,0000,0000,,Hizi pande mbili hazitakuwa sawa, Dialogue: 0,0:03:41.11,0:03:43.11,Default,,0000,0000,0000,,nitafanya hivyo upande wa kulia kama ninataka Dialogue: 0,0:03:43.11,0:03:45.29,Default,,0000,0000,0000,,kupata usawa. Dialogue: 0,0:03:45.29,0:03:47.01,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nini kitatokea? Dialogue: 0,0:03:47.01,0:03:47.83,Default,,0000,0000,0000,,Nini kitatokea? Dialogue: 0,0:03:47.83,0:03:50.47,Default,,0000,0000,0000,,Upande wa kushoto nina Dialogue: 0,0:03:50.47,0:03:52.13,Default,,0000,0000,0000,,ngoja niache nafasi kidogo, Dialogue: 0,0:03:52.13,0:03:56.62,Default,,0000,0000,0000,,nina 5/13 jumlisha 6/13, Dialogue: 0,0:03:57.55,0:04:01.88,Default,,0000,0000,0000,,jumlisha 6/13 ni sawa na , Dialogue: 0,0:04:01.88,0:04:03.70,Default,,0000,0000,0000,,ni sawa na Dialogue: 0,0:04:03.70,0:04:06.74,Default,,0000,0000,0000,,Nilitoa 6/13, sasa najumlisha 6/13. Dialogue: 0,0:04:06.74,0:04:09.14,Default,,0000,0000,0000,,Hizi zitatupatia sifuri. Dialogue: 0,0:04:09.14,0:04:12.94,Default,,0000,0000,0000,,6/13 toa 6/13 inabaki sifuri, hivyo umebakiwa na T. Dialogue: 0,0:04:12.94,0:04:14.28,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo T ni sawa na hii. Dialogue: 0,0:04:14.28,0:04:17.40,Default,,0000,0000,0000,,Kama nina 5/13 na najumlisha na hii 6/13, Dialogue: 0,0:04:17.40,0:04:19.30,Default,,0000,0000,0000,,Nitapata 11/13. Dialogue: 0,0:04:19.30,0:04:24.02,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hii itakuwa 11/13 ni sawa na T, Dialogue: 0,0:04:24.02,0:04:25.32,Default,,0000,0000,0000,,au naweza kuiandika kwa njia nyingine. Dialogue: 0,0:04:25.32,0:04:30.32,Default,,0000,0000,0000,,Naandika T ni sawa na 11/13.