Tumia kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha,kama hapa
tumia ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha
andika 5 jumlisha 8 jumlisha 5 kwa mipangilio tofauti
baadaye tafuta jumla.
hii kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha inakuwa kama
njia mpya, lakini yote humaanisha kujumlisha
namba, haijalishi mpangilio gani unatumia
kujumlisha.
Hivyo tunaweza kujumlisha 5 jumlisha 8 jumlisha 5.
Au kuzipanga kama 5 jumlisha 5 jumlisha 8.
Au 8 jumlisha 5 jumlisha 5.
Njia hizi zote zitatoa majibu sawa, na zina
leta maana.
Kama nina 5 na pia nikaongeza 8 na pia
nikaongeza 5 , tutapata majibu sawa kama
nikichukua 5 , ongeza 5, ongeza 8.
Unaweza kujaribu.
Utapata kitu kile kile.
Fanya kwa njia tofauti, kutafuta jumla.
Urahisi ya kupata jumla-- ni, kufanya
yote.
Lakini njia rahisi zaidi,ni
kuchukua 5 jumlisha 5 ni 10, tuanze na
5 jumlisha 5.
5 jumlisha 5, ni 10, jumlisha
8 ni 18.
Sasa, hebu tutazame kama ni sawa.
5 jumlisha 8 ni 13.
13 jumlisha 5 ni 18.
Hii pia ni 18.
Hapa, 8 jumlisha 5 ni 13.
13 jumlisha 5 ni 18.
Hivyo haijaalishi mipangilio gani unayotumia
hii ndiyo kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha.
Ni njia mpya, lakini mpangilio hauwezi
jalisha ata ukijumlisha vitu vingi.