0:00:00.000,0:00:00.570 0:00:00.570,0:00:04.590 Tumia kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha,kama hapa 0:00:04.590,0:00:07.970 tumia ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha 0:00:07.970,0:00:12.510 andika 5 jumlisha 8 jumlisha 5 kwa mipangilio tofauti 0:00:12.510,0:00:13.470 baadaye tafuta jumla. 0:00:13.470,0:00:16.550 hii kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha inakuwa kama 0:00:16.550,0:00:19.790 njia mpya, lakini yote humaanisha kujumlisha 0:00:19.790,0:00:23.680 namba, haijalishi mpangilio gani unatumia 0:00:23.680,0:00:24.500 kujumlisha. 0:00:24.500,0:00:29.090 Hivyo tunaweza kujumlisha 5 jumlisha 8 jumlisha 5. 0:00:29.090,0:00:33.990 Au kuzipanga kama 5 jumlisha 5 jumlisha 8. 0:00:33.990,0:00:38.140 Au 8 jumlisha 5 jumlisha 5. 0:00:38.140,0:00:40.750 Njia hizi zote zitatoa majibu sawa, na zina 0:00:40.750,0:00:41.235 leta maana. 0:00:41.235,0:00:43.750 Kama nina 5 na pia nikaongeza 8 na pia 0:00:43.750,0:00:46.250 nikaongeza 5 , tutapata majibu sawa kama 0:00:46.250,0:00:49.280 nikichukua 5 , ongeza 5, ongeza 8. 0:00:49.280,0:00:50.270 Unaweza kujaribu. 0:00:50.270,0:00:51.770 Utapata kitu kile kile. 0:00:51.770,0:00:54.420 Fanya kwa njia tofauti, kutafuta jumla. 0:00:54.420,0:00:56.480 Urahisi ya kupata jumla-- ni, kufanya 0:00:56.480,0:00:56.950 yote. 0:00:56.950,0:00:59.110 Lakini njia rahisi zaidi,ni 0:00:59.110,0:01:02.660 kuchukua 5 jumlisha 5 ni 10, tuanze na 0:01:02.660,0:01:04.150 5 jumlisha 5. 0:01:04.150,0:01:06.980 5 jumlisha 5, ni 10, jumlisha 0:01:06.980,0:01:09.690 8 ni 18. 0:01:09.690,0:01:13.370 Sasa, hebu tutazame kama ni sawa. 0:01:13.370,0:01:17.040 5 jumlisha 8 ni 13. 0:01:17.040,0:01:20.840 13 jumlisha 5 ni 18. 0:01:20.840,0:01:22.520 Hii pia ni 18. 0:01:22.520,0:01:25.550 Hapa, 8 jumlisha 5 ni 13. 0:01:25.550,0:01:28.720 13 jumlisha 5 ni 18. 0:01:28.720,0:01:30.900 Hivyo haijaalishi mipangilio gani unayotumia 0:01:30.900,0:01:33.420 hii ndiyo kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha. 0:01:33.420,0:01:35.790 Ni njia mpya, lakini mpangilio hauwezi 0:01:35.790,0:01:39.370 jalisha ata ukijumlisha vitu vingi. 0:01:39.370,0:01:39.870