1 00:00:00,000 --> 00:00:00,570 2 00:00:00,570 --> 00:00:04,590 Tumia kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha,kama hapa 3 00:00:04,590 --> 00:00:07,970 tumia ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha 4 00:00:07,970 --> 00:00:12,510 andika 5 jumlisha 8 jumlisha 5 kwa mipangilio tofauti 5 00:00:12,510 --> 00:00:13,470 baadaye tafuta jumla. 6 00:00:13,470 --> 00:00:16,550 hii kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha inakuwa kama 7 00:00:16,550 --> 00:00:19,790 njia mpya, lakini yote humaanisha kujumlisha 8 00:00:19,790 --> 00:00:23,680 namba, haijalishi mpangilio gani unatumia 9 00:00:23,680 --> 00:00:24,500 kujumlisha. 10 00:00:24,500 --> 00:00:29,090 Hivyo tunaweza kujumlisha 5 jumlisha 8 jumlisha 5. 11 00:00:29,090 --> 00:00:33,990 Au kuzipanga kama 5 jumlisha 5 jumlisha 8. 12 00:00:33,990 --> 00:00:38,140 Au 8 jumlisha 5 jumlisha 5. 13 00:00:38,140 --> 00:00:40,750 Njia hizi zote zitatoa majibu sawa, na zina 14 00:00:40,750 --> 00:00:41,235 leta maana. 15 00:00:41,235 --> 00:00:43,750 Kama nina 5 na pia nikaongeza 8 na pia 16 00:00:43,750 --> 00:00:46,250 nikaongeza 5 , tutapata majibu sawa kama 17 00:00:46,250 --> 00:00:49,280 nikichukua 5 , ongeza 5, ongeza 8. 18 00:00:49,280 --> 00:00:50,270 Unaweza kujaribu. 19 00:00:50,270 --> 00:00:51,770 Utapata kitu kile kile. 20 00:00:51,770 --> 00:00:54,420 Fanya kwa njia tofauti, kutafuta jumla. 21 00:00:54,420 --> 00:00:56,480 Urahisi ya kupata jumla-- ni, kufanya 22 00:00:56,480 --> 00:00:56,950 yote. 23 00:00:56,950 --> 00:00:59,110 Lakini njia rahisi zaidi,ni 24 00:00:59,110 --> 00:01:02,660 kuchukua 5 jumlisha 5 ni 10, tuanze na 25 00:01:02,660 --> 00:01:04,150 5 jumlisha 5. 26 00:01:04,150 --> 00:01:06,980 5 jumlisha 5, ni 10, jumlisha 27 00:01:06,980 --> 00:01:09,690 8 ni 18. 28 00:01:09,690 --> 00:01:13,370 Sasa, hebu tutazame kama ni sawa. 29 00:01:13,370 --> 00:01:17,040 5 jumlisha 8 ni 13. 30 00:01:17,040 --> 00:01:20,840 13 jumlisha 5 ni 18. 31 00:01:20,840 --> 00:01:22,520 Hii pia ni 18. 32 00:01:22,520 --> 00:01:25,550 Hapa, 8 jumlisha 5 ni 13. 33 00:01:25,550 --> 00:01:28,720 13 jumlisha 5 ni 18. 34 00:01:28,720 --> 00:01:30,900 Hivyo haijaalishi mipangilio gani unayotumia 35 00:01:30,900 --> 00:01:33,420 hii ndiyo kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha. 36 00:01:33,420 --> 00:01:35,790 Ni njia mpya, lakini mpangilio hauwezi 37 00:01:35,790 --> 00:01:39,370 jalisha ata ukijumlisha vitu vingi. 38 00:01:39,370 --> 00:01:39,870