[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:00.57,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:00.57,0:00:04.59,Default,,0000,0000,0000,,Tumia kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha,kama hapa Dialogue: 0,0:00:04.59,0:00:07.97,Default,,0000,0000,0000,,tumia ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha Dialogue: 0,0:00:07.97,0:00:12.51,Default,,0000,0000,0000,,andika 5 jumlisha 8 jumlisha 5 kwa mipangilio tofauti Dialogue: 0,0:00:12.51,0:00:13.47,Default,,0000,0000,0000,,baadaye tafuta jumla. Dialogue: 0,0:00:13.47,0:00:16.55,Default,,0000,0000,0000,,hii kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha inakuwa kama Dialogue: 0,0:00:16.55,0:00:19.79,Default,,0000,0000,0000,,njia mpya, lakini yote humaanisha kujumlisha Dialogue: 0,0:00:19.79,0:00:23.68,Default,,0000,0000,0000,,namba, haijalishi mpangilio gani unatumia Dialogue: 0,0:00:23.68,0:00:24.50,Default,,0000,0000,0000,,kujumlisha. Dialogue: 0,0:00:24.50,0:00:29.09,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunaweza kujumlisha 5 jumlisha 8 jumlisha 5. Dialogue: 0,0:00:29.09,0:00:33.99,Default,,0000,0000,0000,,Au kuzipanga kama 5 jumlisha 5 jumlisha 8. Dialogue: 0,0:00:33.99,0:00:38.14,Default,,0000,0000,0000,,Au 8 jumlisha 5 jumlisha 5. Dialogue: 0,0:00:38.14,0:00:40.75,Default,,0000,0000,0000,,Njia hizi zote zitatoa majibu sawa, na zina Dialogue: 0,0:00:40.75,0:00:41.24,Default,,0000,0000,0000,,leta maana. Dialogue: 0,0:00:41.24,0:00:43.75,Default,,0000,0000,0000,,Kama nina 5 na pia nikaongeza 8 na pia Dialogue: 0,0:00:43.75,0:00:46.25,Default,,0000,0000,0000,,nikaongeza 5 , tutapata majibu sawa kama Dialogue: 0,0:00:46.25,0:00:49.28,Default,,0000,0000,0000,,nikichukua 5 , ongeza 5, ongeza 8. Dialogue: 0,0:00:49.28,0:00:50.27,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kujaribu. Dialogue: 0,0:00:50.27,0:00:51.77,Default,,0000,0000,0000,,Utapata kitu kile kile. Dialogue: 0,0:00:51.77,0:00:54.42,Default,,0000,0000,0000,,Fanya kwa njia tofauti, kutafuta jumla. Dialogue: 0,0:00:54.42,0:00:56.48,Default,,0000,0000,0000,,Urahisi ya kupata jumla-- ni, kufanya Dialogue: 0,0:00:56.48,0:00:56.95,Default,,0000,0000,0000,,yote. Dialogue: 0,0:00:56.95,0:00:59.11,Default,,0000,0000,0000,,Lakini njia rahisi zaidi,ni Dialogue: 0,0:00:59.11,0:01:02.66,Default,,0000,0000,0000,,kuchukua 5 jumlisha 5 ni 10, tuanze na Dialogue: 0,0:01:02.66,0:01:04.15,Default,,0000,0000,0000,,5 jumlisha 5. Dialogue: 0,0:01:04.15,0:01:06.98,Default,,0000,0000,0000,,5 jumlisha 5, ni 10, jumlisha Dialogue: 0,0:01:06.98,0:01:09.69,Default,,0000,0000,0000,,8 ni 18. Dialogue: 0,0:01:09.69,0:01:13.37,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, hebu tutazame kama ni sawa. Dialogue: 0,0:01:13.37,0:01:17.04,Default,,0000,0000,0000,,5 jumlisha 8 ni 13. Dialogue: 0,0:01:17.04,0:01:20.84,Default,,0000,0000,0000,,13 jumlisha 5 ni 18. Dialogue: 0,0:01:20.84,0:01:22.52,Default,,0000,0000,0000,,Hii pia ni 18. Dialogue: 0,0:01:22.52,0:01:25.55,Default,,0000,0000,0000,,Hapa, 8 jumlisha 5 ni 13. Dialogue: 0,0:01:25.55,0:01:28.72,Default,,0000,0000,0000,,13 jumlisha 5 ni 18. Dialogue: 0,0:01:28.72,0:01:30.90,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo haijaalishi mipangilio gani unayotumia Dialogue: 0,0:01:30.90,0:01:33.42,Default,,0000,0000,0000,,hii ndiyo kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha. Dialogue: 0,0:01:33.42,0:01:35.79,Default,,0000,0000,0000,,Ni njia mpya, lakini mpangilio hauwezi Dialogue: 0,0:01:35.79,0:01:39.37,Default,,0000,0000,0000,,jalisha ata ukijumlisha vitu vingi. Dialogue: 0,0:01:39.37,0:01:39.87,Default,,0000,0000,0000,,