WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:00.570 00:00:00.570 --> 00:00:04.590 Tumia kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha,kama hapa 00:00:04.590 --> 00:00:07.970 tumia ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha 00:00:07.970 --> 00:00:12.510 andika 5 jumlisha 8 jumlisha 5 kwa mipangilio tofauti 00:00:12.510 --> 00:00:13.470 baadaye tafuta jumla. 00:00:13.470 --> 00:00:16.550 hii kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha inakuwa kama 00:00:16.550 --> 00:00:19.790 njia mpya, lakini yote humaanisha kujumlisha 00:00:19.790 --> 00:00:23.680 namba, haijalishi mpangilio gani unatumia 00:00:23.680 --> 00:00:24.500 kujumlisha. 00:00:24.500 --> 00:00:29.090 Hivyo tunaweza kujumlisha 5 jumlisha 8 jumlisha 5. 00:00:29.090 --> 00:00:33.990 Au kuzipanga kama 5 jumlisha 5 jumlisha 8. 00:00:33.990 --> 00:00:38.140 Au 8 jumlisha 5 jumlisha 5. 00:00:38.140 --> 00:00:40.750 Njia hizi zote zitatoa majibu sawa, na zina 00:00:40.750 --> 00:00:41.235 leta maana. 00:00:41.235 --> 00:00:43.750 Kama nina 5 na pia nikaongeza 8 na pia 00:00:43.750 --> 00:00:46.250 nikaongeza 5 , tutapata majibu sawa kama 00:00:46.250 --> 00:00:49.280 nikichukua 5 , ongeza 5, ongeza 8. 00:00:49.280 --> 00:00:50.270 Unaweza kujaribu. 00:00:50.270 --> 00:00:51.770 Utapata kitu kile kile. 00:00:51.770 --> 00:00:54.420 Fanya kwa njia tofauti, kutafuta jumla. 00:00:54.420 --> 00:00:56.480 Urahisi ya kupata jumla-- ni, kufanya 00:00:56.480 --> 00:00:56.950 yote. 00:00:56.950 --> 00:00:59.110 Lakini njia rahisi zaidi,ni 00:00:59.110 --> 00:01:02.660 kuchukua 5 jumlisha 5 ni 10, tuanze na 00:01:02.660 --> 00:01:04.150 5 jumlisha 5. 00:01:04.150 --> 00:01:06.980 5 jumlisha 5, ni 10, jumlisha 00:01:06.980 --> 00:01:09.690 8 ni 18. 00:01:09.690 --> 00:01:13.370 Sasa, hebu tutazame kama ni sawa. 00:01:13.370 --> 00:01:17.040 5 jumlisha 8 ni 13. 00:01:17.040 --> 00:01:20.840 13 jumlisha 5 ni 18. 00:01:20.840 --> 00:01:22.520 Hii pia ni 18. 00:01:22.520 --> 00:01:25.550 Hapa, 8 jumlisha 5 ni 13. 00:01:25.550 --> 00:01:28.720 13 jumlisha 5 ni 18. 00:01:28.720 --> 00:01:30.900 Hivyo haijaalishi mipangilio gani unayotumia 00:01:30.900 --> 00:01:33.420 hii ndiyo kanuni ya ushirikishwaji wa tendo la kujumlisha. 00:01:33.420 --> 00:01:35.790 Ni njia mpya, lakini mpangilio hauwezi 00:01:35.790 --> 00:01:39.370 jalisha ata ukijumlisha vitu vingi. 00:01:39.370 --> 00:01:39.870