0:00:00.480,0:00:02.450 Logo hii inakufanania nini? 0:00:02.450,0:00:04.980 Pengine haiwezi ashiria mengi kwa mtazamo wa kwanza 0:00:04.980,0:00:08.123 lakini ilizua vurugu mtandaoni. 0:00:09.800,0:00:14.570 Logo hii ilipatikana pembeni mwa lorry ya kupimia UVIKO-19. 0:00:14.570,0:00:17.610 Picha na pia logo ni halisi. 0:00:17.610,0:00:21.840 mchango uliotamba Facebook unadai kuwa logo hii inaashiria Anubis, 0:00:21.840,0:00:25.193 mojawapo ya miungu ya Misri wa kifo na maisha ya baada ya kifo. 0:00:26.210,0:00:29.890 Uvumi ulisambaa katika makundi yanayohusishwa na QAnon, 0:00:29.890,0:00:34.171 ambayo ilikuwa kikundi asi cha dhana ya majungu na sasa imejipenyeza katika dhana kuu. 0:00:34.171,0:00:39.730 Wanachama wa QAnon walisema kuwa logo hiyo ilifunua njama ya vingungwe wa dola dhidi ya Wamarekani. 0:00:39.730,0:00:45.590 Walielezea hofu kuwa lori hizi za kupimia chanjo zina nia mbaya. 0:00:45.750,0:00:48.940 Ilidhihirika kuwa logo hiyo ni ya Advaki. 0:00:48.940,0:00:50.040 Advaki? 0:00:50.040,0:00:52.230 Ndio. Advaki, ambaye niligundua kuwa, 0:00:52.230,0:00:57.350 ni mnyama anayependa kutokea usiku na anyependa kula mende. 0:00:57.350,0:00:59.770 Sarah Spencer, mwanahabari wa mtandao wa factchecker.org , 0:00:59.770,0:01:03.450 alitafiti kwa undani kung'amua chanzo cha logo hiyo 0:01:03.450,0:01:07.260 na jinsiilivyohushishwa na miungu ya mauti ya Misri. 0:01:07.260,0:01:11.890 Mwanzoni, kikaragosi hiki kiliwasilishwa kwetu mtandaoni Facebook. 0:01:11.890,0:01:15.470 Kwa nini kituo cha kupimia UVIKO-19 una logo ya Anubis, mungu wa mauti? 0:01:15.470,0:01:20.790 Hatua ya kwanza itakuwa ya kutafiti picha kinyume. 0:01:20.900,0:01:22.640 inaweza kupa chanzo 0:01:22.640,0:01:25.410 na ikupe hisia ya jiinsi kitu hiki kimeenea. 0:01:25.410,0:01:29.520 Unaweza ona dhahiri ambapo anayeweka hiki kikaragosi anaashiria, 0:01:29.520,0:01:32.930 kuainisha kwa rangi nyekundu, kuonyesha kile wancho dhani ni cha kusisimua kulihusu. 0:01:32.930,0:01:35.870 Hiyo itapotosha utafiti wa picha 0:01:35.870,0:01:38.640 lakini pia unaweza bonyeza na kuyeyusha, 0:01:38.640,0:01:43.140 na kuiweka katika programu yoyote ya uhariri wa picha 0:01:43.140,0:01:46.940 katika picha kama hii, Ningeikata hivyo, 0:01:47.090,0:01:49.140 ndiyo upate sehemu hiyo halsi ya picha. 0:01:49.140,0:01:50.640 halafu unaweza ziba hiyo picha 0:01:50.640,0:01:54.890 ndani ya utafiti wako wa kiwangogezi cha picha. 0:01:54.890,0:01:59.250 hapa TinEye, unaweza kuchagua aina yako ulioikata. 0:01:59.360,0:02:00.930 Kwa TinEye, tofauti na Google, 0:02:00.930,0:02:03.890 Unaweza ainisha kuanzia mpya hadi zee. 0:02:03.890,0:02:08.870 kwa muktadha huu, ilitumika katika jarida la biashara la Philadelphia- 0:02:08.870,0:02:13.014 habari kuhusu biashara ya eneo hili iliyoanza kuunda upya lori zao 0:02:13.014,0:02:16.190 ili kutumiwa kama vitengo vya kupimia vya kusongasonga wakati wa UVIKO-19 0:02:16.330,0:02:21.240 Wakatambua jina la kampuni kama Aardvark Mobile. 0:02:21.400,0:02:24.730 Kwa hivyo kutafiti kidogo mtandaoni, 0:02:24.730,0:02:30.091 matokeo dhahiri ni tovuti ya kampuni ya ziara ya Aardvark Mobile 0:02:30.210,0:02:33.850 iliyo na logo sawa na unayoiona kwenye lori. 0:02:34.070,0:02:36.538 Wapo na kitengo cha huduma ya afya ya kusonga. 0:02:36.538,0:02:37.681 Hiyo inafanana sana. 0:02:37.681,0:02:40.110 Ni mipangilio pacha 0:02:40.110,0:02:42.510 Kitu ambacho TinEye ipo hodari ni kutafuta 0:02:42.510,0:02:45.560 pale ambapo picha zilichipuka kwanza mtandaoni. 0:02:45.560,0:02:49.704 rudio la kwanza ilionekana kwa 8KUN, 0:02:49.704,0:02:54.980 ambayo ni bodi za ujumbe za dhana za majungu 0:02:55.230,0:02:58.340 Ni mahali ambapo dhana za majungu huendelezwa na kudhihirika 0:02:58.340,0:03:00.850 kabla hazijachipuka katika mitandao ya Facebook na Twitter. 0:03:00.850,0:03:02.920 Kwa hivyo dokezo lako kwa msomi wa kawaida- 0:03:02.920,0:03:07.920 wakiona picha ambazo zina madai sawa na hizi, 0:03:08.010,0:03:11.010 Ni nini wanafaa kudhania? 0:03:11.010,0:03:12.760 Ni nini wanafaa kufikiria? 0:03:12.760,0:03:15.810 Unapopitia katika mitandao ya kijamii, uone jambo 0:03:15.810,0:03:19.263 linaloku 0:03:19.263,0:03:23.840 0:03:23.840,0:03:27.340 0:03:27.340,0:03:31.860 0:03:31.860,0:03:34.503 0:03:35.110,0:03:37.780 0:03:37.780,0:03:40.160 0:03:40.160,0:03:43.240 0:03:43.240,0:03:45.120 0:03:45.120,0:03:47.469 0:03:47.469,0:03:49.400 0:03:49.400,0:03:52.920 0:03:52.920,0:03:54.980 0:03:54.980,0:03:57.590 0:03:57.590,0:04:00.500 0:04:00.500,0:04:04.250 0:04:04.380,0:04:07.180 0:04:07.180,0:04:08.690 0:04:08.690,0:04:12.270 0:04:12.270,0:04:15.610 0:04:15.610,0:04:17.521 0:04:17.521,0:04:19.269 0:04:19.269,0:04:20.320 0:04:20.320,0:04:22.453 0:04:22.453,0:04:25.420 0:04:28.340,0:04:29.340 0:04:29.340,0:04:32.100 0:04:32.100,0:04:35.770