Logo hii inakufanania nini? Pengine haiwezi ashiria mengi kwa mtazamo wa kwanza lakini ilizua vurugu mtandaoni. Logo hii ilipatikana pembeni mwa lorry ya kupimia UVIKO-19. Picha na pia logo ni halisi. mchango uliotamba Facebook unadai kuwa logo hii inaashiria Anubis, mojawapo ya miungu ya Misri wa kifo na maisha ya baada ya kifo. Uvumi ulisambaa katika makundi yanayohusishwa na QAnon, ambayo ilikuwa kikundi asi cha dhana ya majungu na sasa imejipenyeza katika dhana kuu. Wanachama wa QAnon walisema kuwa logo hiyo ilifunua njama ya vingungwe wa dola dhidi ya Wamarekani. Walielezea hofu kuwa lori hizi za kupimia chanjo zina nia mbaya. Ilidhihirika kuwa logo hiyo ni ya Advaki. Advaki? Ndio. Advaki, ambaye niligundua kuwa, ni mnyama anayependa kutokea usiku na anyependa kula mende. Sarah Spencer, mwanahabari wa mtandao wa factchecker.org , alitafiti kwa undani kung'amua chanzo cha logo hiyo na jinsiilivyohushishwa na miungu ya mauti ya Misri. Mwanzoni, kikaragosi hiki kiliwasilishwa kwetu mtandaoni Facebook. Kwa nini kituo cha kupimia UVIKO-19 una logo ya Anubis, mungu wa mauti? Hatua ya kwanza itakuwa ya kutafiti picha kinyume. inaweza kupa chanzo na ikupe hisia ya jiinsi kitu hiki kimeenea. Unaweza ona dhahiri ambapo anayeweka hiki kikaragosi anaashiria, kuainisha kwa rangi nyekundu, kuonyesha kile wancho dhani ni cha kusisimua kulihusu. Hiyo itapotosha utafiti wa picha lakini pia unaweza bonyeza na kuyeyusha, na kuiweka katika programu yoyote ya uhariri wa picha katika picha kama hii, Ningeikata hivyo, ndiyo upate sehemu hiyo halsi ya picha. halafu unaweza ziba hiyo picha ndani ya utafiti wako wa kiwangogezi cha picha. hapa TinEye, unaweza kuchagua aina yako ulioikata. Kwa TinEye, tofauti na Google, Unaweza ainisha kuanzia mpya hadi zee. kwa muktadha huu, ilitumika katika jarida la biashara la Philadelphia- habari kuhusu biashara ya eneo hili iliyoanza kuunda upya lori zao ili kutumiwa kama vitengo vya kupimia vya kusongasonga wakati wa UVIKO-19 Wakatambua jina la kampuni kama Aardvark Mobile. Kwa hivyo kutafiti kidogo mtandaoni, matokeo dhahiri ni tovuti ya kampuni ya ziara ya Aardvark Mobile iliyo na logo sawa na unayoiona kwenye lori. Wapo na kitengo cha huduma ya afya ya kusonga. Hiyo inafanana sana. Ni mipangilio pacha Kitu ambacho TinEye ipo hodari ni kutafuta pale ambapo picha zilichipuka kwanza mtandaoni. rudio la kwanza ilionekana kwa 8KUN, ambayo ni bodi za ujumbe za dhana za majungu Ni mahali ambapo dhana za majungu huendelezwa na kudhihirika kabla hazijachipuka katika mitandao ya Facebook na Twitter. Kwa hivyo dokezo lako kwa msomi wa kawaida- wakiona picha ambazo zina madai sawa na hizi, Ni nini wanafaa kudhania? Ni nini wanafaa kufikiria? Unapopitia katika mitandao ya kijamii, uone jambo linaloku