1 00:00:00,480 --> 00:00:02,450 Logo hii inakufanania nini? 2 00:00:02,450 --> 00:00:04,980 Pengine haiwezi ashiria mengi kwa mtazamo wa kwanza 3 00:00:04,980 --> 00:00:08,123 lakini ilizua vurugu mtandaoni. 4 00:00:09,800 --> 00:00:14,570 Logo hii ilipatikana pembeni mwa lori ya kupimia UVIKO-19. 5 00:00:14,570 --> 00:00:17,610 Picha na pia logo ni halisi. 6 00:00:17,610 --> 00:00:21,840 mchango uliotamba Facebook unadai kuwa logo hii inaashiria Anubis, 7 00:00:21,840 --> 00:00:25,193 mojawapo ya miungu ya Misri wa mauti na kuzimu. 8 00:00:26,210 --> 00:00:29,890 Uvumi ulisambaa katika makundi yanayohusishwa na QAnon, 9 00:00:29,890 --> 00:00:34,171 ambayo ilikuwa kikundi asi cha dhana ya majungu na sasa imejipenyeza katika dhana kuu. 10 00:00:34,171 --> 00:00:39,730 Wanachama wa QAnon walisema kuwa logo hiyo ilifunua njama ya vingungwe wa dola dhidi ya Wamarekani. 11 00:00:39,730 --> 00:00:45,590 Walielezea hofu kuwa lori hizi za kupimia chanjo zina nia mbaya. 12 00:00:45,750 --> 00:00:48,940 Ilidhihirika kuwa logo hiyo ni ya Advaki. 13 00:00:48,940 --> 00:00:50,040 Advaki? 14 00:00:50,040 --> 00:00:52,230 Ndio. Advaki, ambaye niligundua kuwa, 15 00:00:52,230 --> 00:00:57,350 ni mnyama wa kiafrika anayependa kutokea usiku na hula mende. 16 00:00:57,350 --> 00:00:59,770 Sarah Spencer, mwanahabari wa mtandao wa factchecker.org , 17 00:00:59,770 --> 00:01:03,450 alitafiti kwa kina kung'amua chanzo cha logo hiyo 18 00:01:03,450 --> 00:01:07,260 na jinsi ilivyohushishwa na miungu ya mauti ya Misri. 19 00:01:07,260 --> 00:01:11,890 Mwanzoni, kikaragosi hiki kiliwasilishwa kwetu mtandaoni Facebook. 20 00:01:11,890 --> 00:01:15,470 Kwa nini kituo cha kupimia UVIKO-19 una logo ya Anubis, mungu wa mauti? 21 00:01:15,470 --> 00:01:20,790 Hatua ya kwanza itakuwa ya kutafiti picha kinyume. 22 00:01:20,900 --> 00:01:22,640 inaweza kupa chanzo 23 00:01:22,640 --> 00:01:25,410 na ikupe hisia ya jiinsi kitu hiki kimeenea. 24 00:01:25,410 --> 00:01:29,520 Unaweza ona dhahiri ambapo anayeweka hiki kikaragosi anaashiria, 25 00:01:29,520 --> 00:01:32,930 kuainisha kwa rangi nyekundu, kuonyesha kile wanachodhani ni cha kusisimua kulihusu. 26 00:01:32,930 --> 00:01:35,870 Hiyo itapotosha utafiti wa picha 27 00:01:35,870 --> 00:01:38,640 lakini pia unaweza bonyeza na kuyeyusha, 28 00:01:38,640 --> 00:01:43,140 na kuiweka katika programu yoyote ya uhariri wa picha 29 00:01:43,140 --> 00:01:46,940 katika picha kama hii, Ningeikata hivyo, 30 00:01:47,090 --> 00:01:49,140 ili upate sehemu hiyo halisi ya picha. 31 00:01:49,140 --> 00:01:50,640 halafu unaweza ziba hiyo picha 32 00:01:50,640 --> 00:01:54,890 ndani ya utafiti wako wa kiwangogezi cha picha. 33 00:01:54,890 --> 00:01:59,250 hapa TinEye, unaweza kuchagua aina yako ulioikata. 34 00:01:59,360 --> 00:02:00,930 Kwa TinEye, tofauti na Google, 35 00:02:00,930 --> 00:02:03,890 Unaweza ainisha kuanzia mpya hadi zee. 36 00:02:03,890 --> 00:02:08,870 kwa muktadha huu, ilitumika katika jarida la biashara la Philadelphia- 37 00:02:08,870 --> 00:02:13,014 habari kuhusu biashara ya eneo hili iliyoanza kuunda upya lori zao 38 00:02:13,014 --> 00:02:16,190 ili kutumiwa kama vitengo vya kupimia vya kusongasonga wakati wa UVIKO-19 39 00:02:16,330 --> 00:02:21,240 Wakatambua jina la kampuni kama Aardvark Mobile. 40 00:02:21,400 --> 00:02:24,730 Kwa hivyo kutafiti rahisi mtandaoni, 41 00:02:24,730 --> 00:02:30,091 matokeo dhahiri ni tovuti ya kampuni ya ziara ya Aardvark Mobile 42 00:02:30,210 --> 00:02:33,850 iliyo na logo sawa na unayoiona kwenye lori. 43 00:02:34,070 --> 00:02:36,538 Wapo na kitengo cha huduma ya afya ya kusonga. 44 00:02:36,538 --> 00:02:37,681 Hiyo inafanana sana. 45 00:02:37,681 --> 00:02:40,110 Ni mipangilio pacha 46 00:02:40,110 --> 00:02:42,510 Kitu ambacho TinEye ipo hodari ni kutafuta 47 00:02:42,510 --> 00:02:45,560 pale ambapo picha zilichipuka kwanza mtandaoni. 48 00:02:45,560 --> 00:02:49,704 rudio la kwanza ilionekana kwa 8KUN, 49 00:02:49,704 --> 00:02:54,980 ambayo ni bodi za ujumbe za dhana za majungu 50 00:02:55,230 --> 00:02:58,340 Ni mahali ambapo dhana za majungu huendelezwa na kudhihirika 51 00:02:58,340 --> 00:03:00,850 kabla hazijachipuka katika mitandao ya Facebook na Twitter. 52 00:03:00,850 --> 00:03:02,920 Kwa hivyo dokezo lako kwa msomi wa kawaida- 53 00:03:02,920 --> 00:03:07,920 wakiona picha ambazo zina madai sawa na hizi, 54 00:03:08,010 --> 00:03:11,010 Ni nini wanafaa kudhania? 55 00:03:11,010 --> 00:03:12,760 Ni nini wanafaa kufikiria? 56 00:03:12,760 --> 00:03:15,810 Unapopitia katika mitandao ya kijamii, uone jambo 57 00:03:15,810 --> 00:03:19,263 linalokuzungumzia na linaonekana sawa. 58 00:03:19,263 --> 00:03:23,840 na unafikiri, ndio hiyo, inadhihirisha ninachokidhani. 59 00:03:23,840 --> 00:03:27,340 Hiyo inafaa kuwa onyo kwako kuwa inaweza kuwa na shaka. 60 00:03:27,340 --> 00:03:31,860 Mara si haba utapata kuwa mambo yanayojumuishwa kwa vikaragosi mtandaoni 61 00:03:31,860 --> 00:03:34,503 ambazo zinaonekana kuwa sahihi, ni za uwongo. 62 00:03:35,110 --> 00:03:37,780 Ulimwengu unaogopa sasa hivi 63 00:03:37,780 --> 00:03:40,160 na kesho ipo katika sintofahamu. 64 00:03:40,160 --> 00:03:43,240 Kusoma kitu mtandaoni na kudhania mabaya mno, 65 00:03:43,240 --> 00:03:45,120 inaonekana kuwa na mantiki. 66 00:03:45,120 --> 00:03:47,469 Lakini kama vile Sarah alivyosema, inapoonekana kuwa sawa, 67 00:03:47,469 --> 00:03:49,400 itakubidi kuchunguza kwanza. 68 00:03:49,400 --> 00:03:52,920 Na kama kitu kinahitaji maelezo ya kina, 69 00:03:52,920 --> 00:03:54,980 pengine kuna jibu rahisi. 70 00:03:54,980 --> 00:03:57,590 Mara nyingine, logo ni logo tu. 71 00:03:57,590 --> 00:04:00,500 Mara nyingine Advaki ni advaki tu. 72 00:04:00,500 --> 00:04:04,250 Na kwa nini kampuni hii kupewa jina la Advaki? 73 00:04:04,380 --> 00:04:07,180 Mmiliki wa Aardvark Tours alichagua jina Aardvark 74 00:04:07,180 --> 00:04:08,690 kwa sababu inatangulizwa na AA 75 00:04:08,690 --> 00:04:12,270 na mbeleni kulikokuwa na mfumo wa yellow pages katika orodha za nambari za simu. 76 00:04:12,270 --> 00:04:15,610 Hakika tulikuwa na AA carpet cleaning, AAA carpet cleaning. 77 00:04:15,610 --> 00:04:17,521 Na aardvark ipo na A mbili mwanzoni. 78 00:04:17,521 --> 00:04:19,269 Hivyo ndivyo ilivyokuwa. 79 00:04:19,269 --> 00:04:20,320 Hadi wakati mwingine. 80 00:04:20,320 --> 00:04:22,453 Usisambaze habari za uwongo. Dumisha ukweli. 81 00:04:22,453 --> 00:04:25,420 Mimi ni Hari Sreenivasan na hii ni Take on Fake. 82 00:04:28,340 --> 00:04:29,340 Asante kwa kutizama. 83 00:04:29,340 --> 00:04:32,100 Unahitaji vidokezo na ujanja za kuweza kuwa mchunguzi bora wa ukweli? 84 00:04:32,100 --> 00:04:35,770 Jiunge na idhaa yetu na utujuze unachokifikiria kwa michango hapa chini.