[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.48,0:00:02.45,Default,,0000,0000,0000,,Logo hii inakufanania nini? Dialogue: 0,0:00:02.45,0:00:04.98,Default,,0000,0000,0000,,Pengine haiwezi ashiria mengi kwa mtazamo wa kwanza Dialogue: 0,0:00:04.98,0:00:08.12,Default,,0000,0000,0000,,lakini ilizua vurugu mtandaoni. Dialogue: 0,0:00:09.80,0:00:14.57,Default,,0000,0000,0000,,Logo hii ilipatikana pembeni mwa lori ya kupimia UVIKO-19. Dialogue: 0,0:00:14.57,0:00:17.61,Default,,0000,0000,0000,,Picha na pia logo ni halisi. Dialogue: 0,0:00:17.61,0:00:21.84,Default,,0000,0000,0000,,mchango uliotamba Facebook unadai kuwa logo hii inaashiria Anubis, Dialogue: 0,0:00:21.84,0:00:25.19,Default,,0000,0000,0000,,mojawapo ya miungu ya Misri wa mauti na kuzimu. Dialogue: 0,0:00:26.21,0:00:29.89,Default,,0000,0000,0000,,Uvumi ulisambaa katika makundi yanayohusishwa na QAnon, Dialogue: 0,0:00:29.89,0:00:34.17,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ilikuwa kikundi asi cha dhana ya majungu na sasa imejipenyeza katika dhana kuu. Dialogue: 0,0:00:34.17,0:00:39.73,Default,,0000,0000,0000,,Wanachama wa QAnon walisema kuwa logo hiyo ilifunua njama ya vingungwe wa dola dhidi ya Wamarekani. Dialogue: 0,0:00:39.73,0:00:45.59,Default,,0000,0000,0000,,Walielezea hofu kuwa lori hizi za kupimia chanjo zina nia mbaya. Dialogue: 0,0:00:45.75,0:00:48.94,Default,,0000,0000,0000,,Ilidhihirika kuwa logo hiyo ni ya Advaki. Dialogue: 0,0:00:48.94,0:00:50.04,Default,,0000,0000,0000,,Advaki? Dialogue: 0,0:00:50.04,0:00:52.23,Default,,0000,0000,0000,,Ndio. Advaki, ambaye niligundua kuwa, Dialogue: 0,0:00:52.23,0:00:57.35,Default,,0000,0000,0000,,ni mnyama wa kiafrika anayependa kutokea usiku na hula mende. Dialogue: 0,0:00:57.35,0:00:59.77,Default,,0000,0000,0000,,Sarah Spencer, mwanahabari wa mtandao wa factchecker.org , Dialogue: 0,0:00:59.77,0:01:03.45,Default,,0000,0000,0000,,alitafiti kwa kina kung'amua chanzo cha logo hiyo Dialogue: 0,0:01:03.45,0:01:07.26,Default,,0000,0000,0000,,na jinsi ilivyohushishwa na miungu ya mauti ya Misri. Dialogue: 0,0:01:07.26,0:01:11.89,Default,,0000,0000,0000,,Mwanzoni, kikaragosi hiki kiliwasilishwa kwetu mtandaoni Facebook. Dialogue: 0,0:01:11.89,0:01:15.47,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini kituo cha kupimia UVIKO-19 una logo ya Anubis, mungu wa mauti? Dialogue: 0,0:01:15.47,0:01:20.79,Default,,0000,0000,0000,,Hatua ya kwanza itakuwa ya kutafiti picha kinyume. Dialogue: 0,0:01:20.90,0:01:22.64,Default,,0000,0000,0000,,inaweza kupa chanzo Dialogue: 0,0:01:22.64,0:01:25.41,Default,,0000,0000,0000,,na ikupe hisia ya jiinsi kitu hiki kimeenea. Dialogue: 0,0:01:25.41,0:01:29.52,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza ona dhahiri ambapo anayeweka hiki kikaragosi anaashiria, Dialogue: 0,0:01:29.52,0:01:32.93,Default,,0000,0000,0000,,kuainisha kwa rangi nyekundu, kuonyesha kile wanachodhani ni cha kusisimua kulihusu. Dialogue: 0,0:01:32.93,0:01:35.87,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo itapotosha utafiti wa picha Dialogue: 0,0:01:35.87,0:01:38.64,Default,,0000,0000,0000,,lakini pia unaweza bonyeza na kuyeyusha, Dialogue: 0,0:01:38.64,0:01:43.14,Default,,0000,0000,0000,,na kuiweka katika programu yoyote ya uhariri wa picha Dialogue: 0,0:01:43.14,0:01:46.94,Default,,0000,0000,0000,,katika picha kama hii, Ningeikata hivyo, Dialogue: 0,0:01:47.09,0:01:49.14,Default,,0000,0000,0000,,ili upate sehemu hiyo halisi ya picha. Dialogue: 0,0:01:49.14,0:01:50.64,Default,,0000,0000,0000,,halafu unaweza ziba hiyo picha Dialogue: 0,0:01:50.64,0:01:54.89,Default,,0000,0000,0000,,ndani ya utafiti wako wa kiwangogezi cha picha. Dialogue: 0,0:01:54.89,0:01:59.25,Default,,0000,0000,0000,,hapa TinEye, unaweza kuchagua aina yako ulioikata. Dialogue: 0,0:01:59.36,0:02:00.93,Default,,0000,0000,0000,,Kwa TinEye, tofauti na Google, Dialogue: 0,0:02:00.93,0:02:03.89,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza ainisha kuanzia mpya hadi zee. Dialogue: 0,0:02:03.89,0:02:08.87,Default,,0000,0000,0000,,kwa muktadha huu, ilitumika katika jarida la biashara la Philadelphia- Dialogue: 0,0:02:08.87,0:02:13.01,Default,,0000,0000,0000,,habari kuhusu biashara ya eneo hili iliyoanza kuunda upya lori zao Dialogue: 0,0:02:13.01,0:02:16.19,Default,,0000,0000,0000,,ili kutumiwa kama vitengo vya kupimia vya kusongasonga wakati wa UVIKO-19 Dialogue: 0,0:02:16.33,0:02:21.24,Default,,0000,0000,0000,,Wakatambua jina la kampuni kama Aardvark Mobile. Dialogue: 0,0:02:21.40,0:02:24.73,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo kutafiti rahisi mtandaoni, Dialogue: 0,0:02:24.73,0:02:30.09,Default,,0000,0000,0000,,matokeo dhahiri ni tovuti ya kampuni ya ziara ya Aardvark Mobile Dialogue: 0,0:02:30.21,0:02:33.85,Default,,0000,0000,0000,,iliyo na logo sawa na unayoiona kwenye lori. Dialogue: 0,0:02:34.07,0:02:36.54,Default,,0000,0000,0000,,Wapo na kitengo cha huduma ya afya ya kusonga. Dialogue: 0,0:02:36.54,0:02:37.68,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo inafanana sana. Dialogue: 0,0:02:37.68,0:02:40.11,Default,,0000,0000,0000,,Ni mipangilio pacha Dialogue: 0,0:02:40.11,0:02:42.51,Default,,0000,0000,0000,,Kitu ambacho TinEye ipo hodari ni kutafuta Dialogue: 0,0:02:42.51,0:02:45.56,Default,,0000,0000,0000,,pale ambapo picha zilichipuka kwanza mtandaoni. Dialogue: 0,0:02:45.56,0:02:49.70,Default,,0000,0000,0000,,rudio la kwanza ilionekana kwa 8KUN, Dialogue: 0,0:02:49.70,0:02:54.98,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni bodi za ujumbe za dhana za majungu Dialogue: 0,0:02:55.23,0:02:58.34,Default,,0000,0000,0000,,Ni mahali ambapo dhana za majungu huendelezwa na kudhihirika Dialogue: 0,0:02:58.34,0:03:00.85,Default,,0000,0000,0000,,kabla hazijachipuka katika mitandao ya Facebook na Twitter. Dialogue: 0,0:03:00.85,0:03:02.92,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo dokezo lako kwa msomi wa kawaida- Dialogue: 0,0:03:02.92,0:03:07.92,Default,,0000,0000,0000,,wakiona picha ambazo zina madai sawa na hizi, Dialogue: 0,0:03:08.01,0:03:11.01,Default,,0000,0000,0000,,Ni nini wanafaa kudhania? Dialogue: 0,0:03:11.01,0:03:12.76,Default,,0000,0000,0000,,Ni nini wanafaa kufikiria? Dialogue: 0,0:03:12.76,0:03:15.81,Default,,0000,0000,0000,,Unapopitia katika mitandao ya kijamii, uone jambo Dialogue: 0,0:03:15.81,0:03:19.26,Default,,0000,0000,0000,,linalokuzungumzia na linaonekana sawa. Dialogue: 0,0:03:19.26,0:03:23.84,Default,,0000,0000,0000,,na unafikiri, ndio hiyo, inadhihirisha ninachokidhani. Dialogue: 0,0:03:23.84,0:03:27.34,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo inafaa kuwa onyo kwako kuwa inaweza kuwa na shaka. Dialogue: 0,0:03:27.34,0:03:31.86,Default,,0000,0000,0000,,Mara si haba utapata kuwa mambo yanayojumuishwa kwa vikaragosi mtandaoni Dialogue: 0,0:03:31.86,0:03:34.50,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zinaonekana kuwa sahihi, ni za uwongo. Dialogue: 0,0:03:35.11,0:03:37.78,Default,,0000,0000,0000,,Ulimwengu unaogopa sasa hivi Dialogue: 0,0:03:37.78,0:03:40.16,Default,,0000,0000,0000,,na kesho ipo katika sintofahamu. Dialogue: 0,0:03:40.16,0:03:43.24,Default,,0000,0000,0000,,Kusoma kitu mtandaoni na kudhania mabaya mno, Dialogue: 0,0:03:43.24,0:03:45.12,Default,,0000,0000,0000,,inaonekana kuwa na mantiki. Dialogue: 0,0:03:45.12,0:03:47.47,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kama vile Sarah alivyosema, inapoonekana kuwa sawa, Dialogue: 0,0:03:47.47,0:03:49.40,Default,,0000,0000,0000,,itakubidi kuchunguza kwanza. Dialogue: 0,0:03:49.40,0:03:52.92,Default,,0000,0000,0000,,Na kama kitu kinahitaji maelezo ya kina, Dialogue: 0,0:03:52.92,0:03:54.98,Default,,0000,0000,0000,,pengine kuna jibu rahisi. Dialogue: 0,0:03:54.98,0:03:57.59,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingine, logo ni logo tu. Dialogue: 0,0:03:57.59,0:04:00.50,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingine Advaki ni advaki tu. Dialogue: 0,0:04:00.50,0:04:04.25,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa nini kampuni hii kupewa jina la Advaki? Dialogue: 0,0:04:04.38,0:04:07.18,Default,,0000,0000,0000,,Mmiliki wa Aardvark Tours alichagua jina Aardvark Dialogue: 0,0:04:07.18,0:04:08.69,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu inatangulizwa na AA Dialogue: 0,0:04:08.69,0:04:12.27,Default,,0000,0000,0000,,na mbeleni kulikokuwa na mfumo wa yellow pages katika orodha za nambari za simu. Dialogue: 0,0:04:12.27,0:04:15.61,Default,,0000,0000,0000,,Hakika tulikuwa na AA carpet cleaning, AAA carpet cleaning. Dialogue: 0,0:04:15.61,0:04:17.52,Default,,0000,0000,0000,,Na aardvark ipo na A mbili mwanzoni. Dialogue: 0,0:04:17.52,0:04:19.27,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ndivyo ilivyokuwa. Dialogue: 0,0:04:19.27,0:04:20.32,Default,,0000,0000,0000,,Hadi wakati mwingine. Dialogue: 0,0:04:20.32,0:04:22.45,Default,,0000,0000,0000,,Usisambaze habari za uwongo. Dumisha ukweli. Dialogue: 0,0:04:22.45,0:04:25.42,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ni Hari Sreenivasan na hii ni Take on Fake. Dialogue: 0,0:04:28.34,0:04:29.34,Default,,0000,0000,0000,,Asante kwa kutizama. Dialogue: 0,0:04:29.34,0:04:32.10,Default,,0000,0000,0000,,Unahitaji vidokezo na ujanja za kuweza kuwa mchunguzi bora wa ukweli? Dialogue: 0,0:04:32.10,0:04:35.77,Default,,0000,0000,0000,,Jiunge na idhaa yetu na utujuze unachokifikiria kwa michango hapa chini.