WEBVTT 00:00:00.480 --> 00:00:02.450 Logo hii inakufanania nini? 00:00:02.450 --> 00:00:04.980 Pengine haiwezi ashiria mengi kwa mtazamo wa kwanza 00:00:04.980 --> 00:00:08.123 lakini ilizua vurugu mtandaoni. 00:00:09.800 --> 00:00:14.570 Logo hii ilipatikana pembeni mwa lori ya kupimia UVIKO-19. 00:00:14.570 --> 00:00:17.610 Picha na pia logo ni halisi. 00:00:17.610 --> 00:00:21.840 mchango uliotamba Facebook unadai kuwa logo hii inaashiria Anubis, 00:00:21.840 --> 00:00:25.193 mojawapo ya miungu ya Misri wa mauti na kuzimu. 00:00:26.210 --> 00:00:29.890 Uvumi ulisambaa katika makundi yanayohusishwa na QAnon, 00:00:29.890 --> 00:00:34.171 ambayo ilikuwa kikundi asi cha dhana ya majungu na sasa imejipenyeza katika dhana kuu. 00:00:34.171 --> 00:00:39.730 Wanachama wa QAnon walisema kuwa logo hiyo ilifunua njama ya vingungwe wa dola dhidi ya Wamarekani. 00:00:39.730 --> 00:00:45.590 Walielezea hofu kuwa lori hizi za kupimia chanjo zina nia mbaya. 00:00:45.750 --> 00:00:48.940 Ilidhihirika kuwa logo hiyo ni ya Advaki. 00:00:48.940 --> 00:00:50.040 Advaki? 00:00:50.040 --> 00:00:52.230 Ndio. Advaki, ambaye niligundua kuwa, 00:00:52.230 --> 00:00:57.350 ni mnyama wa kiafrika anayependa kutokea usiku na hula mende. 00:00:57.350 --> 00:00:59.770 Sarah Spencer, mwanahabari wa mtandao wa factchecker.org , 00:00:59.770 --> 00:01:03.450 alitafiti kwa kina kung'amua chanzo cha logo hiyo 00:01:03.450 --> 00:01:07.260 na jinsi ilivyohushishwa na miungu ya mauti ya Misri. 00:01:07.260 --> 00:01:11.890 Mwanzoni, kikaragosi hiki kiliwasilishwa kwetu mtandaoni Facebook. 00:01:11.890 --> 00:01:15.470 Kwa nini kituo cha kupimia UVIKO-19 una logo ya Anubis, mungu wa mauti? 00:01:15.470 --> 00:01:20.790 Hatua ya kwanza itakuwa ya kutafiti picha kinyume. 00:01:20.900 --> 00:01:22.640 inaweza kupa chanzo 00:01:22.640 --> 00:01:25.410 na ikupe hisia ya jiinsi kitu hiki kimeenea. 00:01:25.410 --> 00:01:29.520 Unaweza ona dhahiri ambapo anayeweka hiki kikaragosi anaashiria, 00:01:29.520 --> 00:01:32.930 kuainisha kwa rangi nyekundu, kuonyesha kile wanachodhani ni cha kusisimua kulihusu. 00:01:32.930 --> 00:01:35.870 Hiyo itapotosha utafiti wa picha 00:01:35.870 --> 00:01:38.640 lakini pia unaweza bonyeza na kuyeyusha, 00:01:38.640 --> 00:01:43.140 na kuiweka katika programu yoyote ya uhariri wa picha 00:01:43.140 --> 00:01:46.940 katika picha kama hii, Ningeikata hivyo, 00:01:47.090 --> 00:01:49.140 ili upate sehemu hiyo halisi ya picha. 00:01:49.140 --> 00:01:50.640 halafu unaweza ziba hiyo picha 00:01:50.640 --> 00:01:54.890 ndani ya utafiti wako wa kiwangogezi cha picha. 00:01:54.890 --> 00:01:59.250 hapa TinEye, unaweza kuchagua aina yako ulioikata. 00:01:59.360 --> 00:02:00.930 Kwa TinEye, tofauti na Google, 00:02:00.930 --> 00:02:03.890 Unaweza ainisha kuanzia mpya hadi zee. 00:02:03.890 --> 00:02:08.870 kwa muktadha huu, ilitumika katika jarida la biashara la Philadelphia- 00:02:08.870 --> 00:02:13.014 habari kuhusu biashara ya eneo hili iliyoanza kuunda upya lori zao 00:02:13.014 --> 00:02:16.190 ili kutumiwa kama vitengo vya kupimia vya kusongasonga wakati wa UVIKO-19 00:02:16.330 --> 00:02:21.240 Wakatambua jina la kampuni kama Aardvark Mobile. 00:02:21.400 --> 00:02:24.730 Kwa hivyo kutafiti rahisi mtandaoni, 00:02:24.730 --> 00:02:30.091 matokeo dhahiri ni tovuti ya kampuni ya ziara ya Aardvark Mobile 00:02:30.210 --> 00:02:33.850 iliyo na logo sawa na unayoiona kwenye lori. 00:02:34.070 --> 00:02:36.538 Wapo na kitengo cha huduma ya afya ya kusonga. 00:02:36.538 --> 00:02:37.681 Hiyo inafanana sana. 00:02:37.681 --> 00:02:40.110 Ni mipangilio pacha 00:02:40.110 --> 00:02:42.510 Kitu ambacho TinEye ipo hodari ni kutafuta 00:02:42.510 --> 00:02:45.560 pale ambapo picha zilichipuka kwanza mtandaoni. 00:02:45.560 --> 00:02:49.704 rudio la kwanza ilionekana kwa 8KUN, 00:02:49.704 --> 00:02:54.980 ambayo ni bodi za ujumbe za dhana za majungu 00:02:55.230 --> 00:02:58.340 Ni mahali ambapo dhana za majungu huendelezwa na kudhihirika 00:02:58.340 --> 00:03:00.850 kabla hazijachipuka katika mitandao ya Facebook na Twitter. 00:03:00.850 --> 00:03:02.920 Kwa hivyo dokezo lako kwa msomi wa kawaida- 00:03:02.920 --> 00:03:07.920 wakiona picha ambazo zina madai sawa na hizi, 00:03:08.010 --> 00:03:11.010 Ni nini wanafaa kudhania? 00:03:11.010 --> 00:03:12.760 Ni nini wanafaa kufikiria? 00:03:12.760 --> 00:03:15.810 Unapopitia katika mitandao ya kijamii, uone jambo 00:03:15.810 --> 00:03:19.263 linalokuzungumzia na linaonekana sawa. 00:03:19.263 --> 00:03:23.840 na unafikiri, ndio hiyo, inadhihirisha ninachokidhani. 00:03:23.840 --> 00:03:27.340 Hiyo inafaa kuwa onyo kwako kuwa inaweza kuwa na shaka. 00:03:27.340 --> 00:03:31.860 Mara si haba utapata kuwa mambo yanayojumuishwa kwa vikaragosi mtandaoni 00:03:31.860 --> 00:03:34.503 ambazo zinaonekana kuwa sahihi, ni za uwongo. 00:03:35.110 --> 00:03:37.780 Ulimwengu unaogopa sasa hivi 00:03:37.780 --> 00:03:40.160 na kesho ipo katika sintofahamu. 00:03:40.160 --> 00:03:43.240 Kusoma kitu mtandaoni na kudhania mabaya mno, 00:03:43.240 --> 00:03:45.120 inaonekana kuwa na mantiki. 00:03:45.120 --> 00:03:47.469 Lakini kama vile Sarah alivyosema, inapoonekana kuwa sawa, 00:03:47.469 --> 00:03:49.400 itakubidi kuchunguza kwanza. 00:03:49.400 --> 00:03:52.920 Na kama kitu kinahitaji maelezo ya kina, 00:03:52.920 --> 00:03:54.980 pengine kuna jibu rahisi. 00:03:54.980 --> 00:03:57.590 Mara nyingine, logo ni logo tu. 00:03:57.590 --> 00:04:00.500 Mara nyingine Advaki ni advaki tu. 00:04:00.500 --> 00:04:04.250 Na kwa nini kampuni hii kupewa jina la Advaki? 00:04:04.380 --> 00:04:07.180 Mmiliki wa Aardvark Tours alichagua jina Aardvark 00:04:07.180 --> 00:04:08.690 kwa sababu inatangulizwa na AA 00:04:08.690 --> 00:04:12.270 na mbeleni kulikokuwa na mfumo wa yellow pages katika orodha za nambari za simu. NOTE Paragraph 00:04:12.270 --> 00:04:15.610 Hakika tulikuwa na AA carpet cleaning, AAA carpet cleaning. 00:04:15.610 --> 00:04:17.521 Na aardvark ipo na A mbili mwanzoni. 00:04:17.521 --> 00:04:19.269 Hivyo ndivyo ilivyokuwa. 00:04:19.269 --> 00:04:20.320 Hadi wakati mwingine. 00:04:20.320 --> 00:04:22.453 Usisambaze habari za uwongo. Dumisha ukweli. 00:04:22.453 --> 00:04:25.420 Mimi ni Hari Sreenivasan na hii ni Take on Fake. 00:04:28.340 --> 00:04:29.340 Asante kwa kutizama. 00:04:29.340 --> 00:04:32.100 Unahitaji vidokezo na ujanja za kuweza kuwa mchunguzi bora wa ukweli? 00:04:32.100 --> 00:04:35.770 Jiunge na idhaa yetu na utujuze unachokifikiria kwa michango hapa chini.