Asimilia tisaini ya ubongo wa mtoto
hukua kabla afike umri wa miaka mitano.
Afikapo miaka mitatu,
uunganisho wa ubongo wake
huwa umefikia kiwango cha kwadrilioni.
Kwa sababu ya uharaka huo,
wakati huu unaonekana kuwa
bora zaidi wa kukuza ujuzi wa watoto
utakaowasaidia katika usomaji wa vitabu.