0:00:00.878,0:00:04.719 Asimilia tisaini ya ubongo wa mtoto[br]hukua kabla afike umri wa miaka mitano. 0:00:05.450,0:00:07.749 Afikapo miaka mitatu,[br]uunganisho wa ubongo wake 0:00:07.749,0:00:09.830 huwa umefikia kiwango cha kwadrilioni. 0:00:09.837,0:00:12.225 Kwa sababu ya uharaka huo,[br]wakati huu unaonekana 0:00:12.225,0:00:14.329 kuwa bora zaidi wa[br]kukuza ujuzi wa watoto 0:00:14.329,0:00:16.344 utakaowasaidia katika usomaji wa vitabu. 0:00:16.344,0:00:19.130 Walezi wanaeza wasaidia watoto[br]kwa kutumia hizi mbinu tano 0:00:19.130,0:00:23.080 zilizobuniwa na wataalamu[br]wa masomo ya watoto. 0:00:23.522,0:00:24.527 Ya kwanza, 0:00:24.527,0:00:25.532 Kusoma 0:00:25.532,0:00:28.539 Akademia ya Madaktari ya watoto[br]inashauri kuwa watoto wasomewe 0:00:28.539,0:00:31.019 vitabu kwa dakika ishirini kila siku. 0:00:31.310,0:00:32.610 Ya pili, kuimba. 0:00:32.970,0:00:36.173 Sababu nyimbo huleta hisia za furaha,[br]inashauriwa watoto waimbiwe 0:00:36.173,0:00:38.877 sababu itawasaidia kujifunza[br]kutamka maneno tofauti. 0:00:39.140,0:00:40.553 Ya tatu, kuongea. 0:00:41.093,0:00:43.106 Mazungumzo na watoto[br]ukizingatia ishara pia 0:00:43.106,0:00:45.120 huwasaidia kujifunza[br]kuongea na kujieleza. 0:00:45.120,0:00:46.800 Ya nne, kucheza. 0:00:46.800,0:00:50.443 Kucheza na watoto hukuza ubunifu[br]na kufikiria kwa watoto. 0:00:51.630,0:00:53.026 Ya tano, kuandika. 0:00:53.060,0:00:55.831 Kuandika hukuza uwezo[br]wa kushika na kushikilia vitu tofauti 0:00:55.831,0:00:58.260 kama vile vyombo vya jikoni. 0:00:58.370,0:01:01.795 Tafuta wakati katika siku na ujaribu[br]kutumia mbinu hizi tano na wanao 0:01:01.845,0:01:07.077 kama vile wakati wa kulala,[br]kuoga, kuvaa nguo na kadhalika. 0:01:08.027,0:01:13.317 Dakika kadhaa kila siku[br]zitawasaidia wanao kuwa tayari kusoma. 0:01:13.924,0:01:19.744 Tembelea Herrick.dl/EarlyLiteracy[br]kwa maelezo zaidi ya mbinu hizi tano.