[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.88,0:00:04.72,Default,,0000,0000,0000,,Asimilia tisaini ya ubongo wa mtoto\Nhukua kabla afike umri wa miaka mitano. Dialogue: 0,0:00:05.45,0:00:07.75,Default,,0000,0000,0000,,Afikapo miaka mitatu,\Nuunganisho wa ubongo wake Dialogue: 0,0:00:07.75,0:00:09.83,Default,,0000,0000,0000,,huwa umefikia kiwango cha kwadrilioni. Dialogue: 0,0:00:09.84,0:00:12.22,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu ya uharaka huo,\Nwakati huu unaonekana Dialogue: 0,0:00:12.22,0:00:14.33,Default,,0000,0000,0000,,kuwa bora zaidi wa\Nkukuza ujuzi wa watoto Dialogue: 0,0:00:14.33,0:00:16.34,Default,,0000,0000,0000,,utakaowasaidia katika usomaji wa vitabu. Dialogue: 0,0:00:16.34,0:00:19.13,Default,,0000,0000,0000,,Walezi wanaeza wasaidia watoto\Nkwa kutumia hizi mbinu tano Dialogue: 0,0:00:19.13,0:00:23.08,Default,,0000,0000,0000,,zilizobuniwa na wataalamu\Nwa masomo ya watoto. Dialogue: 0,0:00:23.52,0:00:24.53,Default,,0000,0000,0000,,Ya kwanza, Dialogue: 0,0:00:24.53,0:00:25.53,Default,,0000,0000,0000,,Kusoma Dialogue: 0,0:00:25.53,0:00:28.54,Default,,0000,0000,0000,,Akademia ya Madaktari ya watoto\Ninashauri kuwa watoto wasomewe Dialogue: 0,0:00:28.54,0:00:31.02,Default,,0000,0000,0000,,vitabu kwa dakika ishirini kila siku. Dialogue: 0,0:00:31.31,0:00:32.61,Default,,0000,0000,0000,,Ya pili, kuimba. Dialogue: 0,0:00:32.97,0:00:36.17,Default,,0000,0000,0000,,Sababu nyimbo huleta hisia za furaha,\Ninashauriwa watoto waimbiwe Dialogue: 0,0:00:36.17,0:00:38.88,Default,,0000,0000,0000,,sababu itawasaidia kujifunza\Nkutamka maneno tofauti. Dialogue: 0,0:00:39.14,0:00:40.55,Default,,0000,0000,0000,,Ya tatu, kuongea. Dialogue: 0,0:00:41.09,0:00:43.11,Default,,0000,0000,0000,,Mazungumzo na watoto\Nukizingatia ishara pia Dialogue: 0,0:00:43.11,0:00:45.12,Default,,0000,0000,0000,,huwasaidia kujifunza\Nkuongea na kujieleza. Dialogue: 0,0:00:45.12,0:00:46.80,Default,,0000,0000,0000,,Ya nne, kucheza. Dialogue: 0,0:00:46.80,0:00:50.44,Default,,0000,0000,0000,,Kucheza na watoto hukuza ubunifu\Nna kufikiria kwa watoto. Dialogue: 0,0:00:51.63,0:00:53.03,Default,,0000,0000,0000,,Ya tano, kuandika. Dialogue: 0,0:00:53.06,0:00:55.83,Default,,0000,0000,0000,,Kuandika hukuza uwezo\Nwa kushika na kushikilia vitu tofauti Dialogue: 0,0:00:55.83,0:00:58.26,Default,,0000,0000,0000,,kama vile vyombo vya jikoni. Dialogue: 0,0:00:58.37,0:01:01.80,Default,,0000,0000,0000,,Tafuta wakati katika siku na ujaribu\Nkutumia mbinu hizi tano na wanao Dialogue: 0,0:01:01.84,0:01:07.08,Default,,0000,0000,0000,,kama vile wakati wa kulala,\Nkuoga, kuvaa nguo na kadhalika. Dialogue: 0,0:01:08.03,0:01:13.32,Default,,0000,0000,0000,,Dakika kadhaa kila siku\Nzitawasaidia wanao kuwa tayari kusoma. Dialogue: 0,0:01:13.92,0:01:19.74,Default,,0000,0000,0000,,Tembelea Herrick.dl/EarlyLiteracy\Nkwa maelezo zaidi ya mbinu hizi tano.