1 00:00:00,878 --> 00:00:04,719 Asimilia tisaini ya ubongo wa mtoto hukua kabla afike umri wa miaka mitano. 2 00:00:05,450 --> 00:00:07,749 Afikapo miaka mitatu, uunganisho wa ubongo wake 3 00:00:07,749 --> 00:00:09,830 huwa umefikia kiwango cha kwadrilioni tatu. 4 00:00:09,837 --> 00:00:12,225 Kwa sababu ya uharaka huo, wakati huu unaonekana 5 00:00:12,225 --> 00:00:14,329 kuwa bora zaidi wa kukuza ujuzi wa watoto 6 00:00:14,329 --> 00:00:16,344 utakaowasaidia katika usomaji wa vitabu. 7 00:00:16,344 --> 00:00:19,130 Walezi wanaeza wasaidia watoto kwa kutumia hizi mbinu tano 8 00:00:19,130 --> 00:00:23,080 zilizobuniwa na wataalamu wa masomo ya watoto. 9 00:00:23,522 --> 00:00:24,917 Ya kwanza, kusoma. 10 00:00:25,532 --> 00:00:28,539 Akademia ya Madaktari ya Watoto inashauri kuwa watoto wasomewe 11 00:00:28,539 --> 00:00:31,019 vitabu kwa dakika ishirini kila siku. 12 00:00:31,310 --> 00:00:32,610 Ya pili, kuimba. 13 00:00:32,970 --> 00:00:36,173 Sababu nyimbo huleta hisia za furaha, inashauriwa watoto waimbiwe 14 00:00:36,173 --> 00:00:38,877 sababu itawasaidia kujifunza kutamka maneno tofauti. 15 00:00:39,140 --> 00:00:40,553 Ya tatu, kuongea. 16 00:00:40,613 --> 00:00:43,106 Mazungumzo na watoto ukizingatia ishara pia 17 00:00:43,106 --> 00:00:45,120 huwasaidia kujifunza kuongea na kujieleza. 18 00:00:45,120 --> 00:00:46,800 Ya nne, kucheza. 19 00:00:46,800 --> 00:00:50,443 Kucheza na watoto hukuza ubunifu na kufikiria kwa watoto. 20 00:00:51,630 --> 00:00:53,026 Ya tano, kuandika. 21 00:00:53,060 --> 00:00:55,831 Kuandika hukuza uwezo wa kushika na kushikilia vitu tofauti 22 00:00:55,831 --> 00:00:58,260 kama vile vyombo vya jikoni. 23 00:00:58,370 --> 00:01:01,795 Tafuta wakati katika siku na ujaribu kutumia mbinu hizi tano na wanao 24 00:01:01,845 --> 00:01:07,077 kama vile wakati wa kulala, kuoga, kuvaa nguo na kadhalika. 25 00:01:08,027 --> 00:01:13,317 Dakika kadhaa kila siku zitawasaidia wanao kuwa tayari kusoma. 26 00:01:13,924 --> 00:01:19,744 Tembelea Herrick.dl/EarlyLiteracy kwa maelezo zaidi ya mbinu hizi tano.