WEBVTT 00:00:00.878 --> 00:00:04.719 Asimilia tisaini ya ubongo wa mtoto hukua kabla afike umri wa miaka mitano. 00:00:05.450 --> 00:00:07.749 Afikapo miaka mitatu, uunganisho wa ubongo wake 00:00:07.749 --> 00:00:09.830 huwa umefikia kiwango cha kwadrilioni tatu. 00:00:09.837 --> 00:00:12.225 Kwa sababu ya uharaka huo, wakati huu unaonekana 00:00:12.225 --> 00:00:14.329 kuwa bora zaidi wa kukuza ujuzi wa watoto 00:00:14.329 --> 00:00:16.344 utakaowasaidia katika usomaji wa vitabu. 00:00:16.344 --> 00:00:19.130 Walezi wanaeza wasaidia watoto kwa kutumia hizi mbinu tano 00:00:19.130 --> 00:00:23.080 zilizobuniwa na wataalamu wa masomo ya watoto. 00:00:23.522 --> 00:00:24.917 Ya kwanza, kusoma. 00:00:25.532 --> 00:00:28.539 Akademia ya Madaktari ya Watoto inashauri kuwa watoto wasomewe 00:00:28.539 --> 00:00:31.019 vitabu kwa dakika ishirini kila siku. 00:00:31.310 --> 00:00:32.610 Ya pili, kuimba. 00:00:32.970 --> 00:00:36.173 Sababu nyimbo huleta hisia za furaha, inashauriwa watoto waimbiwe 00:00:36.173 --> 00:00:38.877 sababu itawasaidia kujifunza kutamka maneno tofauti. 00:00:39.140 --> 00:00:40.553 Ya tatu, kuongea. 00:00:40.613 --> 00:00:43.106 Mazungumzo na watoto ukizingatia ishara pia 00:00:43.106 --> 00:00:45.120 huwasaidia kujifunza kuongea na kujieleza. 00:00:45.120 --> 00:00:46.800 Ya nne, kucheza. 00:00:46.800 --> 00:00:50.443 Kucheza na watoto hukuza ubunifu na kufikiria kwa watoto. 00:00:51.630 --> 00:00:53.026 Ya tano, kuandika. 00:00:53.060 --> 00:00:55.831 Kuandika hukuza uwezo wa kushika na kushikilia vitu tofauti 00:00:55.831 --> 00:00:58.260 kama vile vyombo vya jikoni. 00:00:58.370 --> 00:01:01.795 Tafuta wakati katika siku na ujaribu kutumia mbinu hizi tano na wanao 00:01:01.845 --> 00:01:07.077 kama vile wakati wa kulala, kuoga, kuvaa nguo na kadhalika. 00:01:08.027 --> 00:01:13.317 Dakika kadhaa kila siku zitawasaidia wanao kuwa tayari kusoma. 00:01:13.924 --> 00:01:19.744 Tembelea Herrick.dl/EarlyLiteracy kwa maelezo zaidi ya mbinu hizi tano.