1 00:00:00,000 --> 00:00:06,360 Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. 2 00:00:06,360 --> 00:00:19,960 Lakini fahamuni kwamba hatakutengenezeeni njia itakayokuondoa kwake. 3 00:00:19,960 --> 00:00:23,360 Fikirini juu ya hilo enyi watu wa Mungu. 4 00:00:23,360 --> 00:00:33,760 Tunamtumikia Mungu wa ajabu ambaye anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. 5 00:00:33,760 --> 00:00:36,560 Hakuna lisilowezekana Kwake. 6 00:00:36,560 --> 00:00:49,080 Lakini hatakufanyieni njia itakayo kuondosha kwake. 7 00:00:49,080 --> 00:00:59,920 Mungu hatakutengenezea njia itakayokutoa nje ya njia zake.