WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:06.360 Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. 00:00:06.360 --> 00:00:19.960 Lakini fahamuni kwamba hatakutengenezeeni njia itakayokuondoa kwake. 00:00:19.960 --> 00:00:23.360 Fikirini juu ya hilo enyi watu wa Mungu. 00:00:23.360 --> 00:00:33.760 Tunamtumikia Mungu wa ajabu ambaye anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. 00:00:33.760 --> 00:00:36.560 Hakuna lisilowezekana Kwake. 00:00:36.560 --> 00:00:49.080 Lakini hatakufanyieni njia itakayo kuondosha kwake. 00:00:49.080 --> 00:00:59.920 Mungu hatakutengenezea njia itakayokutoa nje ya njia zake.