0:00:00.000,0:00:06.360 Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. 0:00:06.360,0:00:19.960 Lakini fahamuni kwamba hatakutengenezeeni njia itakayokuondoa kwake. 0:00:19.960,0:00:23.360 Fikirini juu ya hilo enyi watu wa Mungu. 0:00:23.360,0:00:33.760 Tunamtumikia Mungu wa ajabu ambaye anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. 0:00:33.760,0:00:36.560 Hakuna lisilowezekana Kwake. 0:00:36.560,0:00:49.080 Lakini hatakufanya njia itakayo kuondosha kwake. 0:00:49.080,0:00:59.920 Mungu hatakutengenezea njia itakayokutoa nje ya njia zake.