[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:06.36,Default,,0000,0000,0000,,Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. Dialogue: 0,0:00:06.36,0:00:19.96,Default,,0000,0000,0000,,Lakini fahamuni kwamba hatakutengenezeeni njia itakayokuondoa kwake. Dialogue: 0,0:00:19.96,0:00:23.36,Default,,0000,0000,0000,,Fikirini juu ya hilo enyi watu wa Mungu. Dialogue: 0,0:00:23.36,0:00:33.76,Default,,0000,0000,0000,,Tunamtumikia Mungu wa ajabu ambaye anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. Dialogue: 0,0:00:33.76,0:00:36.56,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna lisilowezekana Kwake. Dialogue: 0,0:00:36.56,0:00:49.08,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hatakufanya njia itakayo kuondosha kwake. Dialogue: 0,0:00:49.08,0:00:59.92,Default,,0000,0000,0000,,Mungu hatakutengenezea njia itakayokutoa nje ya njia zake.