Mungu anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. Lakini fahamuni kwamba hatakutengenezeeni njia itakayokuondoa kwake. Fikirini juu ya hilo enyi watu wa Mungu. Tunamtumikia Mungu wa ajabu ambaye anaweza kutengeneza njia mahali pasipo na njia. Hakuna lisilowezekana Kwake. Lakini hatakufanya njia itakayo kuondosha kwake. Mungu hatakutengenezea njia itakayokutoa nje ya njia zake.