Tulikuwa sawa
Tulikuwa dhahabu
Aina ya ndoto ambayo haiweza kuuzwa
Tulikuwa sawa, hadi tulipoacha kuwa sawa
Tulijenga nyumba na tukaitazama ikiungua
Sikutaka kukuacha
Sikutaka kudanganya
Nilianza kulia lakini nikakumbuka,
Naweza kujinunulia maua
Kuandika jina langu katika changarawe
Kujizungumzia kwa masaa mengi
Kuona mambo ambayo huelewi
Naweza kujipeleka kusakata densi
Na ninaweza kugusa mkono wangu mwenyewe
Ndiyo, naweza kujipenda zaidi ya
unavyoweza
Naweza kujipenda vyema
Naweza kujipenda vyema, mpenzi
Naweza kujipenda vyema
Naweza kujipenda vyema, mpenzi
Kupaka kucha zangu rangi, nyekundu
ya cheri
Kulinganisha maua ya waridi uliyoacha
Sina majuto, sina masikitiko
Nasahau kila neno ulilosema
Aah, sikutaka kukuacha, mpenzi
Sikutaka kuwa na ugomvi
Nilianza kulia lakini nikakumbuka,
Ninaweza kujinunulia maua
Kuandika jina langu katika changarawe
Kujizungumzia kwa masaa mengi
Unaona, mambo ambayo huelewi
Ninaweza kujipeleka kusakata densi
Naweza kugusa mkono wangu mwenyewe
Ndiyo, naweza kujipenda vyema kuliko
unavyoweza
Naweza kujipenda vyema
Naweza kujipenda vyema, mpenzi
Naweza kujipenda vyema
Naweza kujipenda vyema, mpenzi
Naweza kujipenda vyema
Naweza kujipenda vyema, mpenzi
Naweza kujipenda vyema
Sikutaka kukuacha
Sikutaka ugomvi
Nilianza kulia, lakini nikakumbuka,
Naweza kujinunulia maua
Kuandika jina langu katika changarawe
Kujizungumzia kwa masaa mengi
Kuona mambo ambayo huelewi
Naweza kujipeleka kusakata densi
Naweza kugusa mkono wangu mwenyewe
Ndiyo, naweza kujipenda vyema
Ndiyo, naweza kujipenda vyema zaidi
kuliko unavyoweza
Naweza kujipenda vyema
Naweza kujipenda vyema, mpenzi
Naweza kujipenda vyema
Naweza kujipenda vyema, mpenzi
Naweza kujipenda vyema
Naweza kujipenda vyema, mpenzi
Naweza kujipenda vyema,