0:00:06.959,0:00:09.557 Tulikuwa sawa 0:00:09.557,0:00:11.642 Tulikuwa dhahabu 0:00:11.642,0:00:15.437 Aina ya ndoto ambayo haiweza kuuzwa 0:00:15.437,0:00:19.804 Tulikuwa sawa, hadi tulipoacha kuwa sawa 0:00:19.804,0:00:23.653 Tulijenga nyumba na tukaitazama ikiungua 0:00:23.653,0:00:26.400 Sikutaka kukuacha 0:00:26.400,0:00:28.356 Sikutaka kudanganya 0:00:28.356,0:00:32.979 Nilianza kulia lakini nikakumbuka, 0:00:32.979,0:00:36.714 Naweza kujinunulia maua 0:00:36.714,0:00:40.862 Kuandika jina langu katika changarawe 0:00:40.862,0:00:44.828 Kujizungumzia kwa masaa mengi 0:00:44.828,0:00:49.135 Kuona mambo ambayo huelewi 0:00:49.135,0:00:52.971 Naweza kujipeleka kusakata densi 0:00:52.971,0:00:56.965 Na ninaweza kugusa mkono wangu mwenyewe 0:00:56.965,0:01:01.965 Ndiyo, naweza kujipenda zaidi ya [br]unavyoweza 0:01:01.976,0:01:03.191 Naweza kujipenda vyema 0:01:03.191,0:01:05.572 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 0:01:05.572,0:01:07.083 Naweza kujipenda vyema 0:01:07.083,0:01:09.253 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 0:01:09.253,0:01:12.590 Kupaka kucha zangu rangi, nyekundu [br]ya cheri 0:01:12.590,0:01:16.621 Kulinganisha maua ya waridi uliyoacha 0:01:16.621,0:01:20.829 Sina majuto, sina masikitiko 0:01:20.829,0:01:25.218 Nasahau kila neno ulilosema 0:01:25.218,0:01:27.627 Aah, sikutaka kukuacha, mpenzi 0:01:27.627,0:01:29.655 Sikutaka kuwa na ugomvi 0:01:29.655,0:01:34.133 Nilianza kulia lakini nikakumbuka, 0:01:34.133,0:01:37.847 Ninaweza kujinunulia maua 0:01:37.847,0:01:41.794 Kuandika jina langu katika changarawe 0:01:41.794,0:01:45.869 Kujizungumzia kwa masaa mengi 0:01:45.869,0:01:49.871 Unaona, mambo ambayo huelewi 0:01:49.871,0:01:53.975 Ninaweza kujipeleka kusakata densi 0:01:53.975,0:01:57.767 Naweza kugusa mkono wangu mwenyewe 0:01:57.767,0:02:02.484 Ndiyo, naweza kujipenda vyema kuliko [br]unavyoweza 0:02:02.484,0:02:03.996 Naweza kujipenda vyema 0:02:03.996,0:02:06.349 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 0:02:06.349,0:02:07.898 Naweza kujipenda vyema 0:02:07.898,0:02:10.327 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 0:02:10.327,0:02:12.021 Naweza kujipenda vyema 0:02:12.021,0:02:14.557 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 0:02:14.557,0:02:16.390 Naweza kujipenda vyema 0:02:16.390,0:02:20.140 Sikutaka kukuacha 0:02:20.140,0:02:22.087 Sikutaka ugomvi 0:02:22.087,0:02:26.707 Nilianza kulia, lakini nikakumbuka, 0:02:26.707,0:02:30.222 Naweza kujinunulia maua 0:02:30.222,0:02:34.310 Kuandika jina langu katika changarawe 0:02:34.310,0:02:38.601 Kujizungumzia kwa masaa mengi 0:02:38.601,0:02:42.665 Kuona mambo ambayo huelewi 0:02:42.665,0:02:46.933 Naweza kujipeleka kusakata densi 0:02:46.933,0:02:51.202 Naweza kugusa mkono wangu mwenyewe 0:02:51.202,0:02:54.538 Ndiyo, naweza kujipenda vyema 0:02:54.538,0:02:59.538 Ndiyo, naweza kujipenda vyema zaidi [br]kuliko unavyoweza 0:02:59.645,0:03:01.019 Naweza kujipenda vyema 0:03:01.019,0:03:03.526 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 0:03:03.526,0:03:04.940 Naweza kujipenda vyema 0:03:04.940,0:03:07.350 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 0:03:07.350,0:03:09.028 Naweza kujipenda vyema 0:03:09.028,0:03:11.730 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 0:03:11.730,0:03:16.647 Naweza kujipenda vyema,