1 00:00:06,959 --> 00:00:09,557 Tulikuwa sawa 2 00:00:09,557 --> 00:00:11,642 Tulikuwa dhahabu 3 00:00:11,642 --> 00:00:15,437 Aina ya ndoto ambayo haiweza kuuzwa 4 00:00:15,437 --> 00:00:19,804 Tulikuwa sawa, hadi tulipoacha kuwa sawa 5 00:00:19,804 --> 00:00:23,653 Tulijenga nyumba na tukaitazama ikiungua 6 00:00:23,653 --> 00:00:26,400 Sikutaka kukuacha 7 00:00:26,400 --> 00:00:28,356 Sikutaka kudanganya 8 00:00:28,356 --> 00:00:32,979 Nilianza kulia lakini nikakumbuka, 9 00:00:32,979 --> 00:00:36,714 Naweza kujinunulia maua 10 00:00:36,714 --> 00:00:40,862 Kuandika jina langu katika changarawe 11 00:00:40,862 --> 00:00:44,828 Kujizungumzia kwa masaa mengi 12 00:00:44,828 --> 00:00:49,135 Kuona mambo ambayo huelewi 13 00:00:49,135 --> 00:00:52,971 Naweza kujipeleka kusakata densi 14 00:00:52,971 --> 00:00:56,965 Na ninaweza kugusa mkono wangu mwenyewe 15 00:00:56,965 --> 00:01:01,965 Ndiyo, naweza kujipenda zaidi ya unavyoweza 16 00:01:01,976 --> 00:01:03,191 Naweza kujipenda vyema 17 00:01:03,191 --> 00:01:05,572 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 18 00:01:05,572 --> 00:01:07,083 Naweza kujipenda vyema 19 00:01:07,083 --> 00:01:09,253 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 20 00:01:09,253 --> 00:01:12,590 Kupaka kucha zangu rangi, nyekundu ya cheri 21 00:01:12,590 --> 00:01:16,621 Kulinganisha maua ya waridi uliyoacha 22 00:01:16,621 --> 00:01:20,829 Sina majuto, sina masikitiko 23 00:01:20,829 --> 00:01:25,218 Nasahau kila neno ulilosema 24 00:01:25,218 --> 00:01:27,627 Aah, sikutaka kukuacha, mpenzi 25 00:01:27,627 --> 00:01:29,655 Sikutaka kuwa na ugomvi 26 00:01:29,655 --> 00:01:34,133 Nilianza kulia lakini nikakumbuka, 27 00:01:34,133 --> 00:01:37,847 Ninaweza kujinunulia maua 28 00:01:37,847 --> 00:01:41,794 Kuandika jina langu katika changarawe 29 00:01:41,794 --> 00:01:45,869 Kujizungumzia kwa masaa mengi 30 00:01:45,869 --> 00:01:49,871 Unaona, mambo ambayo huelewi 31 00:01:49,871 --> 00:01:53,975 Ninaweza kujipeleka kusakata densi 32 00:01:53,975 --> 00:01:57,767 Naweza kugusa mkono wangu mwenyewe 33 00:01:57,767 --> 00:02:02,484 Ndiyo, naweza kujipenda vyema kuliko unavyoweza 34 00:02:02,484 --> 00:02:03,996 Naweza kujipenda vyema 35 00:02:03,996 --> 00:02:06,349 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 36 00:02:06,349 --> 00:02:07,898 Naweza kujipenda vyema 37 00:02:07,898 --> 00:02:10,327 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 38 00:02:10,327 --> 00:02:12,021 Naweza kujipenda vyema 39 00:02:12,021 --> 00:02:14,557 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 40 00:02:14,557 --> 00:02:16,390 Naweza kujipenda vyema 41 00:02:16,390 --> 00:02:20,140 Sikutaka kukuacha 42 00:02:20,140 --> 00:02:22,087 Sikutaka ugomvi 43 00:02:22,087 --> 00:02:26,707 Nilianza kulia, lakini nikakumbuka, 44 00:02:26,707 --> 00:02:30,222 Naweza kujinunulia maua 45 00:02:30,222 --> 00:02:34,310 Kuandika jina langu katika changarawe 46 00:02:34,310 --> 00:02:38,601 Kujizungumzia kwa masaa mengi 47 00:02:38,601 --> 00:02:42,665 Kuona mambo ambayo huelewi 48 00:02:42,665 --> 00:02:46,933 Naweza kujipeleka kusakata densi 49 00:02:46,933 --> 00:02:51,202 Naweza kugusa mkono wangu mwenyewe 50 00:02:51,202 --> 00:02:54,538 Ndiyo, naweza kujipenda vyema 51 00:02:54,538 --> 00:02:59,538 Ndiyo, naweza kujipenda vyema zaidi kuliko unavyoweza 52 00:02:59,645 --> 00:03:01,019 Naweza kujipenda vyema 53 00:03:01,019 --> 00:03:03,526 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 54 00:03:03,526 --> 00:03:04,940 Naweza kujipenda vyema 55 00:03:04,940 --> 00:03:07,350 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 56 00:03:07,350 --> 00:03:09,028 Naweza kujipenda vyema 57 00:03:09,028 --> 00:03:11,730 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 58 00:03:11,730 --> 00:03:16,647 Naweza kujipenda vyema,