Tulikuwa sawa Tulikuwa dhahabu Aina ya ndoto ambayo haiweza kuuzwa Tulikuwa sawa, hadi tulipoacha kuwa sawa Tulijenga nyumba na tukaitazama ikiungua Sikutaka kukuacha Sikutaka kudanganya Nilianza kulia lakini nikakumbuka, Naweza kujinunulia maua Kuandika jina langu katika changarawe Kujizungumzia kwa masaa mengi Kuona mambo ambayo huelewi Naweza kujipeleka kusakata densi Na ninaweza kugusa mkono wangu mwenyewe Ndiyo, naweza kujipenda zaidi ya unavyoweza Naweza kujipenda vyema Naweza kujipenda vyema, mpenzi Naweza kujipenda vyema Naweza kujipenda vyema, mpenzi Kupaka kucha zangu rangi, nyekundu ya cheri Kulinganisha maua ya waridi uliyoacha Sina majuto, sina masikitiko Nasahau kila neno ulilosema Aah, sikutaka kukuacha, mpenzi Sikutaka kuwa na ugomvi Nilianza kulia lakini nikakumbuka, Ninaweza kujinunulia maua Kuandika jina langu katika changarawe Kujizungumzia kwa masaa mengi Unaona, mambo ambayo huelewi Ninaweza kujipeleka kusakata densi Naweza kugusa mkono wangu mwenyewe Ndiyo, naweza kujipenda vyema kuliko unavyoweza Naweza kujipenda vyema Naweza kujipenda vyema, mpenzi Naweza kujipenda vyema Naweza kujipenda vyema, mpenzi Naweza kujipenda vyema Naweza kujipenda vyema, mpenzi Naweza kujipenda vyema Sikutaka kukuacha Sikutaka ugomvi Nilianza kulia, lakini nikakumbuka, Naweza kujinunulia maua Kuandika jina langu katika changarawe Kujizungumzia kwa masaa mengi Kuona mambo ambayo huelewi Naweza kujipeleka kusakata densi Naweza kugusa mkono wangu mwenyewe Ndiyo, naweza kujipenda vyema Ndiyo, naweza kujipenda vyema zaidi kuliko unavyoweza Naweza kujipenda vyema Naweza kujipenda vyema, mpenzi Naweza kujipenda vyema Naweza kujipenda vyema, mpenzi Naweza kujipenda vyema Naweza kujipenda vyema, mpenzi Naweza kujipenda vyema,