WEBVTT 00:00:06.959 --> 00:00:09.557 Tulikuwa sawa 00:00:09.557 --> 00:00:11.642 Tulikuwa dhahabu 00:00:11.642 --> 00:00:15.437 Aina ya ndoto ambayo haiweza kuuzwa 00:00:15.437 --> 00:00:19.804 Tulikuwa sawa, hadi tulipoacha kuwa sawa 00:00:19.804 --> 00:00:23.653 Tulijenga nyumba na tukaitazama ikiungua 00:00:23.653 --> 00:00:26.400 Sikutaka kukuacha 00:00:26.400 --> 00:00:28.356 Sikutaka kudanganya 00:00:28.356 --> 00:00:32.979 Nilianza kulia lakini nikakumbuka, 00:00:32.979 --> 00:00:36.714 Naweza kujinunulia maua 00:00:36.714 --> 00:00:40.862 Kuandika jina langu katika changarawe 00:00:40.862 --> 00:00:44.828 Kujizungumzia kwa masaa mengi 00:00:44.828 --> 00:00:49.135 Kuona mambo ambayo huelewi 00:00:49.135 --> 00:00:52.971 Naweza kujipeleka kusakata densi 00:00:52.971 --> 00:00:56.965 Na ninaweza kugusa mkono wangu mwenyewe 00:00:56.965 --> 00:01:01.965 Ndiyo, naweza kujipenda zaidi ya unavyoweza 00:01:01.976 --> 00:01:03.191 Naweza kujipenda vyema 00:01:03.191 --> 00:01:05.572 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 00:01:05.572 --> 00:01:07.083 Naweza kujipenda vyema 00:01:07.083 --> 00:01:09.253 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 00:01:09.253 --> 00:01:12.590 Kupaka kucha zangu rangi, nyekundu ya cheri 00:01:12.590 --> 00:01:16.621 Kulinganisha maua ya waridi uliyoacha 00:01:16.621 --> 00:01:20.829 Sina majuto, sina masikitiko 00:01:20.829 --> 00:01:25.218 Nasahau kila neno ulilosema 00:01:25.218 --> 00:01:27.627 Aah, sikutaka kukuacha, mpenzi 00:01:27.627 --> 00:01:29.655 Sikutaka kuwa na ugomvi 00:01:29.655 --> 00:01:34.133 Nilianza kulia lakini nikakumbuka, 00:01:34.133 --> 00:01:37.847 Ninaweza kujinunulia maua 00:01:37.847 --> 00:01:41.794 Kuandika jina langu katika changarawe 00:01:41.794 --> 00:01:45.869 Kujizungumzia kwa masaa mengi 00:01:45.869 --> 00:01:49.871 Unaona, mambo ambayo huelewi 00:01:49.871 --> 00:01:53.975 Ninaweza kujipeleka kusakata densi 00:01:53.975 --> 00:01:57.767 Naweza kugusa mkono wangu mwenyewe 00:01:57.767 --> 00:02:02.484 Ndiyo, naweza kujipenda vyema kuliko unavyoweza 00:02:02.484 --> 00:02:03.996 Naweza kujipenda vyema 00:02:03.996 --> 00:02:06.349 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 00:02:06.349 --> 00:02:07.898 Naweza kujipenda vyema 00:02:07.898 --> 00:02:10.327 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 00:02:10.327 --> 00:02:12.021 Naweza kujipenda vyema 00:02:12.021 --> 00:02:14.557 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 00:02:14.557 --> 00:02:16.390 Naweza kujipenda vyema 00:02:16.390 --> 00:02:20.140 Sikutaka kukuacha 00:02:20.140 --> 00:02:22.087 Sikutaka ugomvi 00:02:22.087 --> 00:02:26.707 Nilianza kulia, lakini nikakumbuka, 00:02:26.707 --> 00:02:30.222 Naweza kujinunulia maua 00:02:30.222 --> 00:02:34.310 Kuandika jina langu katika changarawe 00:02:34.310 --> 00:02:38.601 Kujizungumzia kwa masaa mengi 00:02:38.601 --> 00:02:42.665 Kuona mambo ambayo huelewi 00:02:42.665 --> 00:02:46.933 Naweza kujipeleka kusakata densi 00:02:46.933 --> 00:02:51.202 Naweza kugusa mkono wangu mwenyewe 00:02:51.202 --> 00:02:54.538 Ndiyo, naweza kujipenda vyema 00:02:54.538 --> 00:02:59.538 Ndiyo, naweza kujipenda vyema zaidi kuliko unavyoweza 00:02:59.645 --> 00:03:01.019 Naweza kujipenda vyema 00:03:01.019 --> 00:03:03.526 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 00:03:03.526 --> 00:03:04.940 Naweza kujipenda vyema 00:03:04.940 --> 00:03:07.350 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 00:03:07.350 --> 00:03:09.028 Naweza kujipenda vyema 00:03:09.028 --> 00:03:11.730 Naweza kujipenda vyema, mpenzi 00:03:11.730 --> 00:03:16.647 Naweza kujipenda vyema,