0:00:00.000,0:00:05.680 Sijui ni maneno gani mabaya yamesemwa juu ya maisha yako. 0:00:05.680,0:00:12.280 Lakini najua kwamba maisha yako hayataishia kwenye kiwango cha maneno hayo. 0:00:12.280,0:00:18.720 Hivi sasa, kila tamko hasi juu ya maisha yako, 0:00:18.720,0:00:25.160 familia yako, ndoa yako - libatilishwe! 0:00:25.160,0:00:28.680 Libatilishwe kwa jina kuu la Yesu!