[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:05.68,Default,,0000,0000,0000,,Sijui ni maneno gani mabaya yamesemwa juu ya maisha yako. Dialogue: 0,0:00:05.68,0:00:12.28,Default,,0000,0000,0000,,Lakini najua kwamba maisha yako hayataishia kwenye kiwango cha maneno hayo. Dialogue: 0,0:00:12.28,0:00:18.72,Default,,0000,0000,0000,,Hivi sasa, kila tamko hasi juu ya maisha yako, Dialogue: 0,0:00:18.72,0:00:25.16,Default,,0000,0000,0000,,familia yako, ndoa yako - libatilishwe! Dialogue: 0,0:00:25.16,0:00:28.68,Default,,0000,0000,0000,,Libatilishwe kwa jina kuu la Yesu!