1 00:00:00,000 --> 00:00:05,680 Sijui ni maneno gani mabaya yamesemwa juu ya maisha yako. 2 00:00:05,680 --> 00:00:12,280 Lakini najua kwamba maisha yako hayataishia kwenye kiwango cha maneno hayo. 3 00:00:12,280 --> 00:00:18,720 Hivi sasa, kila tamko hasi juu ya maisha yako, 4 00:00:18,720 --> 00:00:25,160 familia yako, ndoa yako - libatilishwe! 5 00:00:25,160 --> 00:00:28,680 Libatilishwe kwa jina kuu la Yesu!