Sijui ni maneno gani mabaya yamesemwa juu ya maisha yako. Lakini najua kwamba maisha yako hayataishia kwenye kiwango cha maneno hayo. Hivi sasa, kila tamko hasi juu ya maisha yako, familia yako, ndoa yako - libatilishwe! Libatilishwe kwa jina kuu la Yesu!