0:00:00.000,0:00:07.040 Nilitarajia. Nilijiambia,[br]'Kisa hiki kimekaidi maarifa ya matibabu 0:00:07.040,0:00:11.200 na hakitapinga uwezo wa Mungu.' 0:00:17.920,0:00:25.480 Ikiwa bado kuna maumivu katika sehemu yoyote ya[br]mwili wako, weka mkono wako hapo. 0:00:25.480,0:00:33.680 Popote pale maumivu hayo yalipo,[br]katika jina la Yesu Kristo, 0:00:33.680,0:00:37.440 upako wa Roho Mtakatifu[br]uko hapa kuponya. 0:00:37.440,0:00:46.600 Upone kwa jina la Yesu! 0:00:48.280,0:00:55.200 Jina langu ni Ivan na ninaishi hapa Norway. 0:00:55.200,0:00:58.520 Kwa asili, mimi ni natokea Uganda. 0:00:58.520,0:01:06.680 Nilikuwa na maradhi ambayo[br]yalinitoa kwenye nafasi yangu. 0:01:06.680,0:01:10.400 Ilibidi hata nichukue wakati wa kupumzika kazini. 0:01:10.400,0:01:17.280 Na ugonjwa huo ulisababisha[br]maumivu kwenye kifua changu, 0:01:17.280,0:01:22.760 ambapo nilipata maumivu makali. 0:01:22.760,0:01:26.440 Sikuweza kueleza[br]yalikuwa yanatoka wapi. 0:01:26.440,0:01:32.600 yalikuwa makali sana kiasi kwamba[br]sikuweza kufanya chochote. 0:01:32.600,0:01:36.880 Karibu miaka 15 iliyopita, nilikuwa na[br]homa ya mapafu kali (acute pneumonia), 0:01:36.880,0:01:41.480 nikiwa bado nyumbani Uganda[br]kabla sijahamia Norway. 0:01:41.480,0:01:51.960 Na ugonjwa huu ulikuwa mkali sana kwamba sehemu ya[br]ganda la kushoto la pafu langu iliharibika 0:01:51.960,0:01:56.320 Nililazwa hospitalini kwa mwezi mmoja. 0:01:56.320,0:01:58.760 Na hata nilipotoka hospitalini, 0:01:58.760,0:02:05.120 Ilinibidi niwe na kipindi cha kusubiri kupona kidigo kidogo[br]kwa takriban mwezi mmoja. Ilikuwa mbaya sana. 0:02:05.120,0:02:10.960 Kwa hivyo nilipopata maumivu hayo,[br]nilianza kiyahusisha na kisa hicho, 0:02:10.960,0:02:17.240 kwamba pengine inaweza kuwa[br]nimonia ilikuwa inajidhihirisha tena. 0:02:17.240,0:02:20.720 Wakati maumivu yalipoendelea, niliamua ... 0:02:20.720,0:02:25.920 Kumbuka, wakati huo nilikuwa[br]nimeacha kufanya kazi kwa sababu sikuweza kugeuka. 0:02:25.920,0:02:34.440 Hata lilipokuja suala la kutembea, kupiga hatua, nilihisi maumivu makali ndani. 0:02:34.440,0:02:40.000 Hata wakati wowote nilipokuwa nimelala,[br]nikigeuka kutoka upande mmoja hadi mwingine, 0:02:40.000,0:02:44.040 ilikuwa shida, ilikuwa tatizo. 0:02:44.040,0:02:48.240 Kwa hiyo niliamua kuwasiliana na daktari wangu. 0:02:48.240,0:02:53.320 Alipokuwa akinichunguza,[br]alijaribu kugusa eneo hilo 0:02:53.320,0:02:57.840 kwa sababu nilimwambia kuwa maumivu[br]yalikuwa ndani ya kifua changu. 0:02:57.840,0:02:59.440 Yalikuwa makali sana. 0:02:59.440,0:03:03.480 Hata sikujua jinsi[br]ya kumweleza maumivu yangu. 0:03:03.480,0:03:08.880 Kwa hivyo kisa hicho, nadhani, kikawa[br]kingumu sana kwake. 0:03:08.880,0:03:16.200 Na kisha akaamua kunielekeza kwenye[br]hospitali kubwa zaidi kwa huduma za ushauri. 0:03:16.200,0:03:23.320 Nikaenda na kufika pale wakanipa[br]mapokeo ya dharura. 0:03:23.320,0:03:27.960 Kwa hiyo nilipata timu ya madaktari na wauguzi.[br]Walikuja na kunichunguza. 0:03:27.960,0:03:31.280 Walinihoji na[br]nikawaambia kila kitu. 0:03:31.280,0:03:39.040 Na kisha wakasema wataenda kuchukua X-ray na kisha kufanya uchunguzi(scan) wa moyo wangu. 0:03:39.040,0:03:45.600 Kwa hiyo walikuja na kunichukua ndani na kuchukua[br]X-ray mbili za sehemu ya kifua changu. 0:03:45.600,0:03:51.720 Walichukua sampuli za damu kutoka kwangu,[br]kwa kweli sampuli nyingi za damu, 0:03:51.720,0:03:54.800 kwa sababu walilazimika kufanya majaribio kadhaa. 0:03:54.800,0:04:01.920 Kilichonishangaza ni, baada ya kuchunguza[br]mfululizo wa majaribio hayo yote waliyofanya, 0:04:01.920,0:04:10.480 waligundua kuwa hakuna kitu - kila kitu kiligeuka kuwa hasi. 0:04:10.480,0:04:14.240 Jumamosi ijayo tungekuwa[br]na 0:04:14.240,0:04:19.240 tukio la mhadhara la 'Acha Mioyo Iamke'[br]nchini Uingereza. 0:04:19.240,0:04:24.440 Nilikuwa na bahati ya kupokea[br]kiungo ili nijiunge mtandaoni, 0:04:24.440,0:04:27.320 kwa hivyo nilikuwa nikitarajia. 0:04:27.320,0:04:31.280 Na moyoni mwangu nilikuwa na imani. 0:04:31.280,0:04:38.960 Nilifikiria, kama kisa hiki kimekuwa, 0:04:38.960,0:04:44.760 kigumu sana kwa mwanadamu kufasiri,[br]nitakileta mbele za Mungu. 0:04:44.760,0:04:48.160 Najua lisilowezekana kwa mwanadamu[br]linawezekana kwa Mungu. 0:04:48.160,0:04:52.560 Jumamosi ilifika na nikajiunga.[br]Nilitarajia. 0:04:52.560,0:05:02.640 Nilijua kisa hiki kimekaidi maarifa ya matibabu[br]na hakitakaidi uwezo wa Mungu. 0:05:02.640,0:05:08.760 Kwa hiyo maombi yakaanza na[br]tukasikiliza shuhuda. 0:05:08.760,0:05:14.960 Kisha mtu wa Mungu alipokuja,[br]alipokuwa akiwaombea watu, 0:05:14.960,0:05:20.360 Nilianza kuona nguvu za Mungu[br]zikiwagusa watu. 0:05:20.360,0:05:22.280 Watu walikuwa wakijidhihirisha. 0:05:22.280,0:05:27.160 Kweli Mungu alikuwa anatembea kwa nguvu[br]pale ukumbini. 0:05:27.160,0:05:31.560 Na alipokuwa akiwaombea watu,[br]maombi yangu yalikuwa moja tu. 0:05:31.560,0:05:38.040 Niliendelea kusema moyoni mwangu, 'Bwana, unapowagusa[br]wengine, usinipite. 0:05:38.040,0:05:42.680 Unapowatembelea wengine, tafadhali Bwana,[br]usinipite. 0:05:42.680,0:05:50.720 niko hapa. Najua umbali sio kizuizi kwa nguvu zako. Unaweza kunigusa.' 0:05:50.720,0:05:56.480 Lakini mnajua, watu wa Mungu,[br]nilichogundua ni 0:05:56.480,0:06:01.880 kwamba hata kabla ibada[br]haijafikia hatua 0:06:01.880,0:06:08.200 ambapo mtu wa Mungu alijitokeza kuwaombea[br]watazamaji waliokuwa wameunganishwa mtandaoni, 0:06:08.200,0:06:13.560 Niligundua kuwa maumivu yalikuwa[br]yametoweka yenyewe. 0:06:13.560,0:06:16.320 Ndugu Chris alipokuja[br]kuwaombea watazamaji, 0:06:16.320,0:06:21.400 na akasema kwamba watu[br]wanapaswa kugusa sehemu hizo 0:06:21.400,0:06:28.640 ambapo walikuwa na maumivu au usumbufu,[br]wakati huo kulikuwa na maumivu kidogo sana 0:06:28.640,0:06:35.160 nami nikagusa na nadhani hiyo[br]ilitia muhuri uponyaji wote kwa ajili yangu. 0:06:35.160,0:06:41.800 Na baada ya hapo, nilihisi vizuri.[br]Usiku huo, nililala vizuri. 0:06:41.800,0:06:44.720 Siku iliyofuata ningeweza[br]kufanya mambo ambayo sikuweza kufanya. 0:06:44.720,0:06:48.680 Ningeweza kuinama.[br]Ningeweza kugeuka. 0:06:48.680,0:06:53.000 Siku ya Jumatatu, nilirudi kazini[br]na nilikuwa sawa. 0:06:53.000,0:07:00.120 Nilirejeshwa kikamilifu. Utukufu ni kwa Mungu.[br]Sasa niko huru kabisa! 0:07:00.120,0:07:04.560 Kama unavyoona,[br]sikuweza kusonga kama hii. 0:07:04.560,0:07:07.040 Sikuweza kufanya hivi kwa sababu 0:07:07.040,0:07:11.440 maumivu yangekuwa makali sana[br]na kupenya hadi kifuani mwangu. 0:07:11.440,0:07:13.800 Sikuweza kusimama. 0:07:13.800,0:07:17.840 Sasa naweza kuruka. 0:07:17.840,0:07:22.280 Kwa hiyo niko huru kabisa[br]kwa utukufu wa Mungu! 0:07:22.280,0:07:25.360 Je, ulisikia maumivu yoyote wakati wa kufanya mazoezi? 0:07:25.360,0:07:30.200 Hapana, hata kidogo. Niko huru kwa utukufu wa Mungu. 0:07:30.200,0:07:34.560 Tafadhali, sasa endelea na ushirikishe[br]neno lako zuri la ushauri kwa watazamaji. 0:07:34.560,0:07:41.560 Tunahitaji kumtegemea Mungu,[br]na tunahitaji kutambua 0:07:41.560,0:07:45.840 ya kwamba yasiyowezekana kwa mwanadamu[br]yanawezekana kwa Mungu. 0:07:45.840,0:07:51.320 Hali yoyote ambayo inaweza kukujia,[br]usivunjike moyo. 0:07:51.320,0:07:55.040 Jua kuwa lililo gumu kwako, 0:07:55.040,0:08:00.040 lisilowezekana kwa mwanadamu,[br]kwa Mungu linawezekana. 0:08:00.040,0:08:06.960 Mungu anapendezwa nasi kumkazia macho, kumaanisha kumtumaini. 0:08:06.960,0:08:12.520 Kwa maana Maandiko Matakatifu yasemavyo:[br]'Bila imani hatuwezi kumpendeza Mungu.' 0:08:12.520,0:08:18.880 Mungu anaheshimiwa tunapomtegemea[br], tunapomtumaini. 0:08:18.880,0:08:24.880 Kwa hivyo ushauri wangu ni, bila kujali hali,[br]haijalishi mazingira, 0:08:24.880,0:08:26.960 hakuna lisilowezekana[br]kwa Mungu. 0:08:26.960,0:08:30.480 Tumtegemee Mungu.[br]Tumtumaini Yeye. 0:08:30.480,0:08:35.600 Na tunapomtumaini Yeye,[br]atatujia. 0:08:35.600,0:08:41.000 Atatugusa, Atagusa[br]hali zetu na tutafanywa kuwa wakamilifu.