[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:07.04,Default,,0000,0000,0000,,Nilitarajia. Nilijiambia,\N'Kisa hiki kimekaidi maarifa ya matibabu Dialogue: 0,0:00:07.04,0:00:11.20,Default,,0000,0000,0000,,na hakitapinga uwezo wa Mungu.' Dialogue: 0,0:00:17.92,0:00:25.48,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa bado kuna maumivu katika sehemu yoyote ya\Nmwili wako, weka mkono wako hapo. Dialogue: 0,0:00:25.48,0:00:33.68,Default,,0000,0000,0000,,Popote pale maumivu hayo yalipo,\Nkatika jina la Yesu Kristo, Dialogue: 0,0:00:33.68,0:00:37.44,Default,,0000,0000,0000,,upako wa Roho Mtakatifu\Nuko hapa kuponya. Dialogue: 0,0:00:37.44,0:00:46.60,Default,,0000,0000,0000,,Upone kwa jina la Yesu! Dialogue: 0,0:00:48.28,0:00:55.20,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu ni Ivan na ninaishi hapa Norway. Dialogue: 0,0:00:55.20,0:00:58.52,Default,,0000,0000,0000,,Kwa asili, mimi ni natokea Uganda. Dialogue: 0,0:00:58.52,0:01:06.68,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa na maradhi ambayo\Nyalinitoa kwenye nafasi yangu. Dialogue: 0,0:01:06.68,0:01:10.40,Default,,0000,0000,0000,,Ilibidi hata nichukue wakati wa kupumzika kazini. Dialogue: 0,0:01:10.40,0:01:17.28,Default,,0000,0000,0000,,Na ugonjwa huo ulisababisha\Nmaumivu kwenye kifua changu, Dialogue: 0,0:01:17.28,0:01:22.76,Default,,0000,0000,0000,,ambapo nilipata maumivu makali. Dialogue: 0,0:01:22.76,0:01:26.44,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kueleza\Nyalikuwa yanatoka wapi. Dialogue: 0,0:01:26.44,0:01:32.60,Default,,0000,0000,0000,,yalikuwa makali sana kiasi kwamba\Nsikuweza kufanya chochote. Dialogue: 0,0:01:32.60,0:01:36.88,Default,,0000,0000,0000,,Karibu miaka 15 iliyopita, nilikuwa na\Nhoma ya mapafu kali (acute pneumonia), Dialogue: 0,0:01:36.88,0:01:41.48,Default,,0000,0000,0000,,nikiwa bado nyumbani Uganda\Nkabla sijahamia Norway. Dialogue: 0,0:01:41.48,0:01:51.96,Default,,0000,0000,0000,,Na ugonjwa huu ulikuwa mkali sana kwamba sehemu ya\Nganda la kushoto la pafu langu iliharibika Dialogue: 0,0:01:51.96,0:01:56.32,Default,,0000,0000,0000,,Nililazwa hospitalini kwa mwezi mmoja. Dialogue: 0,0:01:56.32,0:01:58.76,Default,,0000,0000,0000,,Na hata nilipotoka hospitalini, Dialogue: 0,0:01:58.76,0:02:05.12,Default,,0000,0000,0000,,Ilinibidi niwe na kipindi cha kusubiri kupona kidigo kidogo\Nkwa takriban mwezi mmoja. Ilikuwa mbaya sana. Dialogue: 0,0:02:05.12,0:02:10.96,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo nilipopata maumivu hayo,\Nnilianza kiyahusisha na kisa hicho, Dialogue: 0,0:02:10.96,0:02:17.24,Default,,0000,0000,0000,,kwamba pengine inaweza kuwa\Nnimonia ilikuwa inajidhihirisha tena. Dialogue: 0,0:02:17.24,0:02:20.72,Default,,0000,0000,0000,,Wakati maumivu yalipoendelea, niliamua ... Dialogue: 0,0:02:20.72,0:02:25.92,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka, wakati huo nilikuwa\Nnimeacha kufanya kazi kwa sababu sikuweza kugeuka. Dialogue: 0,0:02:25.92,0:02:34.44,Default,,0000,0000,0000,,Hata lilipokuja suala la kutembea, kupiga hatua, nilihisi maumivu makali ndani. Dialogue: 0,0:02:34.44,0:02:40.00,Default,,0000,0000,0000,,Hata wakati wowote nilipokuwa nimelala,\Nnikigeuka kutoka upande mmoja hadi mwingine, Dialogue: 0,0:02:40.00,0:02:44.04,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa shida, ilikuwa tatizo. Dialogue: 0,0:02:44.04,0:02:48.24,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo niliamua kuwasiliana na daktari wangu. Dialogue: 0,0:02:48.24,0:02:53.32,Default,,0000,0000,0000,,Alipokuwa akinichunguza,\Nalijaribu kugusa eneo hilo Dialogue: 0,0:02:53.32,0:02:57.84,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu nilimwambia kuwa maumivu\Nyalikuwa ndani ya kifua changu. Dialogue: 0,0:02:57.84,0:02:59.44,Default,,0000,0000,0000,,Yalikuwa makali sana. Dialogue: 0,0:02:59.44,0:03:03.48,Default,,0000,0000,0000,,Hata sikujua jinsi\Nya kumweleza maumivu yangu. Dialogue: 0,0:03:03.48,0:03:08.88,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo kisa hicho, nadhani, kikawa\Nkingumu sana kwake. Dialogue: 0,0:03:08.88,0:03:16.20,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha akaamua kunielekeza kwenye\Nhospitali kubwa zaidi kwa huduma za ushauri. Dialogue: 0,0:03:16.20,0:03:23.32,Default,,0000,0000,0000,,Nikaenda na kufika pale wakanipa\Nmapokeo ya dharura. Dialogue: 0,0:03:23.32,0:03:27.96,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo nilipata timu ya madaktari na wauguzi.\NWalikuja na kunichunguza. Dialogue: 0,0:03:27.96,0:03:31.28,Default,,0000,0000,0000,,Walinihoji na\Nnikawaambia kila kitu. Dialogue: 0,0:03:31.28,0:03:39.04,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha wakasema wataenda kuchukua X-ray na kisha kufanya uchunguzi(scan) wa moyo wangu. Dialogue: 0,0:03:39.04,0:03:45.60,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo walikuja na kunichukua ndani na kuchukua\NX-ray mbili za sehemu ya kifua changu. Dialogue: 0,0:03:45.60,0:03:51.72,Default,,0000,0000,0000,,Walichukua sampuli za damu kutoka kwangu,\Nkwa kweli sampuli nyingi za damu, Dialogue: 0,0:03:51.72,0:03:54.80,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu walilazimika kufanya majaribio kadhaa. Dialogue: 0,0:03:54.80,0:04:01.92,Default,,0000,0000,0000,,Kilichonishangaza ni, baada ya kuchunguza\Nmfululizo wa majaribio hayo yote waliyofanya, Dialogue: 0,0:04:01.92,0:04:10.48,Default,,0000,0000,0000,,waligundua kuwa hakuna kitu - kila kitu kiligeuka kuwa hasi. Dialogue: 0,0:04:10.48,0:04:14.24,Default,,0000,0000,0000,,Jumamosi ijayo tungekuwa\Nna Dialogue: 0,0:04:14.24,0:04:19.24,Default,,0000,0000,0000,,tukio la mhadhara la 'Acha Mioyo Iamke'\Nnchini Uingereza. Dialogue: 0,0:04:19.24,0:04:24.44,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa na bahati ya kupokea\Nkiungo ili nijiunge mtandaoni, Dialogue: 0,0:04:24.44,0:04:27.32,Default,,0000,0000,0000,,kwa hivyo nilikuwa nikitarajia. Dialogue: 0,0:04:27.32,0:04:31.28,Default,,0000,0000,0000,,Na moyoni mwangu nilikuwa na imani. Dialogue: 0,0:04:31.28,0:04:38.96,Default,,0000,0000,0000,,Nilifikiria, kama kisa hiki kimekuwa, Dialogue: 0,0:04:38.96,0:04:44.76,Default,,0000,0000,0000,,kigumu sana kwa mwanadamu kufasiri,\Nnitakileta mbele za Mungu. Dialogue: 0,0:04:44.76,0:04:48.16,Default,,0000,0000,0000,,Najua lisilowezekana kwa mwanadamu\Nlinawezekana kwa Mungu. Dialogue: 0,0:04:48.16,0:04:52.56,Default,,0000,0000,0000,,Jumamosi ilifika na nikajiunga.\NNilitarajia. Dialogue: 0,0:04:52.56,0:05:02.64,Default,,0000,0000,0000,,Nilijua kisa hiki kimekaidi maarifa ya matibabu\Nna hakitakaidi uwezo wa Mungu. Dialogue: 0,0:05:02.64,0:05:08.76,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo maombi yakaanza na\Ntukasikiliza shuhuda. Dialogue: 0,0:05:08.76,0:05:14.96,Default,,0000,0000,0000,,Kisha mtu wa Mungu alipokuja,\Nalipokuwa akiwaombea watu, Dialogue: 0,0:05:14.96,0:05:20.36,Default,,0000,0000,0000,,Nilianza kuona nguvu za Mungu\Nzikiwagusa watu. Dialogue: 0,0:05:20.36,0:05:22.28,Default,,0000,0000,0000,,Watu walikuwa wakijidhihirisha. Dialogue: 0,0:05:22.28,0:05:27.16,Default,,0000,0000,0000,,Kweli Mungu alikuwa anatembea kwa nguvu\Npale ukumbini. Dialogue: 0,0:05:27.16,0:05:31.56,Default,,0000,0000,0000,,Na alipokuwa akiwaombea watu,\Nmaombi yangu yalikuwa moja tu. Dialogue: 0,0:05:31.56,0:05:38.04,Default,,0000,0000,0000,,Niliendelea kusema moyoni mwangu, 'Bwana, unapowagusa\Nwengine, usinipite. Dialogue: 0,0:05:38.04,0:05:42.68,Default,,0000,0000,0000,,Unapowatembelea wengine, tafadhali Bwana,\Nusinipite. Dialogue: 0,0:05:42.68,0:05:50.72,Default,,0000,0000,0000,,niko hapa. Najua umbali sio kizuizi kwa nguvu zako. Unaweza kunigusa.' Dialogue: 0,0:05:50.72,0:05:56.48,Default,,0000,0000,0000,,Lakini mnajua, watu wa Mungu,\Nnilichogundua ni Dialogue: 0,0:05:56.48,0:06:01.88,Default,,0000,0000,0000,,kwamba hata kabla ibada\Nhaijafikia hatua Dialogue: 0,0:06:01.88,0:06:08.20,Default,,0000,0000,0000,,ambapo mtu wa Mungu alijitokeza kuwaombea\Nwatazamaji waliokuwa wameunganishwa mtandaoni, Dialogue: 0,0:06:08.20,0:06:13.56,Default,,0000,0000,0000,,Niligundua kuwa maumivu yalikuwa\Nyametoweka yenyewe. Dialogue: 0,0:06:13.56,0:06:16.32,Default,,0000,0000,0000,,Ndugu Chris alipokuja\Nkuwaombea watazamaji, Dialogue: 0,0:06:16.32,0:06:21.40,Default,,0000,0000,0000,,na akasema kwamba watu\Nwanapaswa kugusa sehemu hizo Dialogue: 0,0:06:21.40,0:06:28.64,Default,,0000,0000,0000,,ambapo walikuwa na maumivu au usumbufu,\Nwakati huo kulikuwa na maumivu kidogo sana Dialogue: 0,0:06:28.64,0:06:35.16,Default,,0000,0000,0000,,nami nikagusa na nadhani hiyo\Nilitia muhuri uponyaji wote kwa ajili yangu. Dialogue: 0,0:06:35.16,0:06:41.80,Default,,0000,0000,0000,,Na baada ya hapo, nilihisi vizuri.\NUsiku huo, nililala vizuri. Dialogue: 0,0:06:41.80,0:06:44.72,Default,,0000,0000,0000,,Siku iliyofuata ningeweza\Nkufanya mambo ambayo sikuweza kufanya. Dialogue: 0,0:06:44.72,0:06:48.68,Default,,0000,0000,0000,,Ningeweza kuinama.\NNingeweza kugeuka. Dialogue: 0,0:06:48.68,0:06:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Siku ya Jumatatu, nilirudi kazini\Nna nilikuwa sawa. Dialogue: 0,0:06:53.00,0:07:00.12,Default,,0000,0000,0000,,Nilirejeshwa kikamilifu. Utukufu ni kwa Mungu.\NSasa niko huru kabisa! Dialogue: 0,0:07:00.12,0:07:04.56,Default,,0000,0000,0000,,Kama unavyoona,\Nsikuweza kusonga kama hii. Dialogue: 0,0:07:04.56,0:07:07.04,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kufanya hivi kwa sababu Dialogue: 0,0:07:07.04,0:07:11.44,Default,,0000,0000,0000,,maumivu yangekuwa makali sana\Nna kupenya hadi kifuani mwangu. Dialogue: 0,0:07:11.44,0:07:13.80,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kusimama. Dialogue: 0,0:07:13.80,0:07:17.84,Default,,0000,0000,0000,,Sasa naweza kuruka. Dialogue: 0,0:07:17.84,0:07:22.28,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo niko huru kabisa\Nkwa utukufu wa Mungu! Dialogue: 0,0:07:22.28,0:07:25.36,Default,,0000,0000,0000,,Je, ulisikia maumivu yoyote wakati wa kufanya mazoezi? Dialogue: 0,0:07:25.36,0:07:30.20,Default,,0000,0000,0000,,Hapana, hata kidogo. Niko huru kwa utukufu wa Mungu. Dialogue: 0,0:07:30.20,0:07:34.56,Default,,0000,0000,0000,,Tafadhali, sasa endelea na ushirikishe\Nneno lako zuri la ushauri kwa watazamaji. Dialogue: 0,0:07:34.56,0:07:41.56,Default,,0000,0000,0000,,Tunahitaji kumtegemea Mungu,\Nna tunahitaji kutambua Dialogue: 0,0:07:41.56,0:07:45.84,Default,,0000,0000,0000,,ya kwamba yasiyowezekana kwa mwanadamu\Nyanawezekana kwa Mungu. Dialogue: 0,0:07:45.84,0:07:51.32,Default,,0000,0000,0000,,Hali yoyote ambayo inaweza kukujia,\Nusivunjike moyo. Dialogue: 0,0:07:51.32,0:07:55.04,Default,,0000,0000,0000,,Jua kuwa lililo gumu kwako, Dialogue: 0,0:07:55.04,0:08:00.04,Default,,0000,0000,0000,,lisilowezekana kwa mwanadamu,\Nkwa Mungu linawezekana. Dialogue: 0,0:08:00.04,0:08:06.96,Default,,0000,0000,0000,,Mungu anapendezwa nasi kumkazia macho, kumaanisha kumtumaini. Dialogue: 0,0:08:06.96,0:08:12.52,Default,,0000,0000,0000,,Kwa maana Maandiko Matakatifu yasemavyo:\N'Bila imani hatuwezi kumpendeza Mungu.' Dialogue: 0,0:08:12.52,0:08:18.88,Default,,0000,0000,0000,,Mungu anaheshimiwa tunapomtegemea\N, tunapomtumaini. Dialogue: 0,0:08:18.88,0:08:24.88,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo ushauri wangu ni, bila kujali hali,\Nhaijalishi mazingira, Dialogue: 0,0:08:24.88,0:08:26.96,Default,,0000,0000,0000,,hakuna lisilowezekana\Nkwa Mungu. Dialogue: 0,0:08:26.96,0:08:30.48,Default,,0000,0000,0000,,Tumtegemee Mungu.\NTumtumaini Yeye. Dialogue: 0,0:08:30.48,0:08:35.60,Default,,0000,0000,0000,,Na tunapomtumaini Yeye,\Natatujia. Dialogue: 0,0:08:35.60,0:08:41.00,Default,,0000,0000,0000,,Atatugusa, Atagusa\Nhali zetu na tutafanywa kuwa wakamilifu.