WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:05.000 Chochote kinachosimama kati yako na kazi yako uliyokusudiwa - 00:00:05.000 --> 00:00:07.000 Iondolewe! 00:00:07.000 --> 00:00:10.000 Iondolewe kwa jina la Yesu! 00:00:10.000 --> 00:00:15.000 Chochote kitakachosimama kati yako na hatima yako ya kupandishwa cheo - 00:00:15.000 --> 00:00:18.000 Iondolewe! 00:00:18.000 --> 00:00:20.000 Iondolewe sasa hivi! 00:00:20.000 --> 00:00:25.000 Kazi yako uliyokusudiwa - ipokee sasa hivi! 00:00:25.000 --> 00:00:29.000 Mafanikio uliyokusudiwa - yapokee sasa hivi! 00:00:29.000 --> 00:00:35.000 Kupandishwa cheo kwako kulikokusidiwa - pokea sasa hivi! 00:00:35.000 --> 00:00:43.000 Ninatangaza katika maisha yako - mafanikio! 00:00:43.000 --> 00:00:48.000 Ninasema kwa imani - pokea aina ya mafanikio 00:00:48.000 --> 00:00:52.000 ambao itakufanya usahau uchungu wa zamani! 00:00:52.000 --> 00:00:53.000 Pokea hii leo!