1 00:00:00,000 --> 00:00:06,133 Kabla ya kuangalia simu yako, angalia moyo wako. 2 00:00:06,133 --> 00:00:10,566 Kwa sababu ikiwa unachukua simu yako bila kusudi, 3 00:00:10,566 --> 00:00:15,533 badala ya wewe kuitumia, inaweza kuishia kukutumia.