[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:06.13,Default,,0000,0000,0000,,Kabla ya kuangalia simu yako, angalia moyo wako. Dialogue: 0,0:00:06.13,0:00:10.57,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu ikiwa unachukua simu yako bila kusudi, Dialogue: 0,0:00:10.57,0:00:15.53,Default,,0000,0000,0000,,badala ya wewe kuitumia, inaweza kuishia kukutumia.