0:00:00.000,0:00:06.133 Kabla ya kuangalia simu yako, angalia moyo wako. 0:00:06.133,0:00:10.566 Kwa sababu ikiwa unachukua simu yako bila kusudi, 0:00:10.566,0:00:15.533 badala ya wewe kuitumia, inaweza kuishia kukutumia wewe.