Laana hiyo ya kizazi inayohusika na mikosi katika familia yako -
Vunjwa sasa hivi!
Laana hiyo ya kizazi inayozuia maisha yako,
inayoweka vizuizi katika fedha zako, inayoweka vizuizi katika kazi yako - vunjwa!
Laana hiyo ya kizazi inayokuunganisha na utumwa,
inayokuunganisha na dhiki - vunjwa, katika jina la Yesu!
Ninaona minyororo hiyo ikikatika.
Ninaona laana hizo zikivunjika.
Ninaona kuta hizo zikibomolewa.
Ukuta huo wa magonjwa - ubomolewe sasa hivi!
Ukuta huo wa jinamizi - ubomolewe!
Ukuta huo wa laana za vizazi - ubomolewe!