0:00:00.000,0:00:07.000 Laana hiyo ya kizazi inayohusika na mikosi katika familia yako - 0:00:07.000,0:00:11.200 Vunjwa sasa hivi! 0:00:11.200,0:00:14.800 Laana hiyo ya kizazi inayozuia maisha yako, 0:00:14.800,0:00:20.400 inayoweka vizuizi katika fedha zako, inayoweka vizuizi katika kazi yako - vunjwa! 0:00:20.400,0:00:25.466 Laana hiyo ya kizazi inayokuunganisha na utumwa, 0:00:25.466,0:00:32.866 inayokuunganisha na dhiki - vunjwa, katika jina la Yesu! 0:00:32.866,0:00:36.266 Ninaona minyororo hiyo ikikatika. 0:00:36.266,0:00:39.566 Ninaona laana hizo zikivunjika. 0:00:39.566,0:00:43.466 Ninaona kuta hizo zikibomolewa. 0:00:43.466,0:00:47.900 Ukuta huo wa magonjwa - ubomolewe sasa hivi! 0:00:47.900,0:00:51.900 Ukuta huo wa jinamizi - ubomolewe! 0:00:51.900,0:00:59.166 Ukuta huo wa laana za vizazi - ubomolewe!