1 00:00:00,000 --> 00:00:07,000 Laana hiyo ya kizazi inayohusika na mikosi katika familia yako - 2 00:00:07,000 --> 00:00:11,200 Vunjwa sasa hivi! 3 00:00:11,200 --> 00:00:14,800 Laana hiyo ya kizazi inayozuia maisha yako, 4 00:00:14,800 --> 00:00:20,400 inayoweka vizuizi katika fedha zako, inayoweka vizuizi katika kazi yako - vunjwa! 5 00:00:20,400 --> 00:00:25,466 Laana hiyo ya kizazi inayokuunganisha na utumwa, 6 00:00:25,466 --> 00:00:32,866 inayokuunganisha na dhiki - vunjwa, katika jina la Yesu! 7 00:00:32,866 --> 00:00:36,266 Ninaona minyororo hiyo ikikatika. 8 00:00:36,266 --> 00:00:39,566 Ninaona laana hizo zikivunjika. 9 00:00:39,566 --> 00:00:43,466 Ninaona kuta hizo zikibomolewa. 10 00:00:43,466 --> 00:00:47,900 Ukuta huo wa magonjwa - ubomolewe sasa hivi! 11 00:00:47,900 --> 00:00:51,900 Ukuta huo wa jinamizi - ubomolewe! 12 00:00:51,900 --> 00:00:59,166 Ukuta huo wa laana za vizazi - ubomolewe!