WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:07.000 Laana hiyo ya kizazi inayohusika na mikosi katika familia yako - 00:00:07.000 --> 00:00:11.200 Vunjwa sasa hivi! 00:00:11.200 --> 00:00:14.800 Laana hiyo ya kizazi inayozuia maisha yako, 00:00:14.800 --> 00:00:20.400 inayoweka vizuizi katika fedha zako, inayoweka vizuizi katika kazi yako - vunjwa! 00:00:20.400 --> 00:00:25.466 Laana hiyo ya kizazi inayokuunganisha na utumwa, 00:00:25.466 --> 00:00:32.866 inayokuunganisha na dhiki - vunjwa, katika jina la Yesu! 00:00:32.866 --> 00:00:36.266 Ninaona minyororo hiyo ikikatika. 00:00:36.266 --> 00:00:39.566 Ninaona laana hizo zikivunjika. 00:00:39.566 --> 00:00:43.466 Ninaona kuta hizo zikibomolewa. 00:00:43.466 --> 00:00:47.900 Ukuta huo wa magonjwa - ubomolewe sasa hivi! 00:00:47.900 --> 00:00:51.900 Ukuta huo wa jinamizi - ubomolewe! 00:00:51.900 --> 00:00:59.166 Ukuta huo wa laana za vizazi - ubomolewe!