0:00:00.303,0:00:03.046 Hebu tuseme kwamba[br]tuna sehemu 9/10, 0:00:03.046,0:00:08.046 na mimi nataka kuongeza sehemu 1/6. 0:00:09.567,0:00:13.039 Hii itakuwa sawa na nini? 0:00:13.839,0:00:14.827 Hivyo wakati unaangalia hii, unaweza kusema, 0:00:14.827,0:00:16.602 "Oh, nina asili tofauti hapa. 0:00:16.602,0:00:18.599 Siyo kawaida kufanya hesabu kama hizi. " 0:00:18.599,0:00:21.038 Na njia sahihi ya kufanya hii ni 0:00:21.038,0:00:23.546 kuanza kwa kutafuta kigawe cha shirika, 0:00:23.546,0:00:26.181 kubadili sehemu zote hizi mbili kuwa 0:00:26.181,0:00:28.536 sehemu zenye asili sawa. 0:00:28.536,0:00:30.498 Hivyo ni jinsi gani unaweza kupata asili ya shirika? 0:00:30.498,0:00:32.125 Naam, asili ya shirika itakuwa ni 0:00:32.125,0:00:36.478 kigawe cha shirika cha asili 10 na 6. 0:00:36.478,0:00:38.638 Hivyo kigawe cha shirika cha 10 na 6 ni kipi? 0:00:38.638,0:00:41.436 Na ni rahisi kutafuta kigawe kidogo cha shirika, 0:00:41.436,0:00:43.502 na njia nzuri ya kufanya hii ni kuanza na 0:00:43.502,0:00:47.312 asili kubwa, 10, na ujiulize, je 10 inagawanyika kwa 6? 0:00:47.952,0:00:50.978 Hapana. Je 20 inagawanyika kwa 6? 0:00:51.588,0:00:56.005 Hapana. Je 30 inagawanyika kwa 6? 0:00:56.005,0:00:57.722 Hapa tulikuwa tunaangalia vigawe vya 10 0:00:57.722,0:00:59.556 na ni kigawe gani kidogo cha 10 0:00:59.556,0:01:03.644 ambacho kinagawanyika kwa 6? Na hiko kitakuwa ni 30. 0:01:03.644,0:01:05.639 Hivyo naweza kuziandika upya hizi sehemu 0:01:05.639,0:01:07.605 kama namba fulani juu ya 30. 0:01:07.605,0:01:10.296 Hivyo 9 juu ya 10. Nitaandika vipi hiyo 0:01:10.296,0:01:11.898 kama kitu fulani juu ya 30? Nitazidisha 0:01:11.898,0:01:15.984 asili kwa 3. 0:01:17.074,0:01:19.617 Hivyo nimezidisha asili kwa 3. 0:01:19.617,0:01:22.088 Kwa hiyo kama sihitaji kubadili thamani ya sehemu , 0:01:22.088,0:01:23.586 ninatakiwa kufanya vivyo hivyo kwa kiasi. 0:01:23.586,0:01:26.186 Nitazidisha kiasi kwa tatu 0:01:26.996,0:01:29.854 kwa sababu nilizidisha kiasi kwa tatu 0:01:29.854,0:01:31.433 na asili kwa tatu, na hiyo haitabadili 0:01:31.433,0:01:32.954 thamani ya sehemu. 0:01:32.954,0:01:35.751 Hivyo sita mara tatu ni 27. 0:01:35.751,0:01:38.549 Na hivyo, 9/10 na 27/30 0:01:38.549,0:01:40.964 zinawakilisha kitu sawa. 0:01:40.964,0:01:43.564 Nimeandika hii ikiwa na asili 30, 0:01:43.564,0:01:45.631 na pia naweza kuandika 1/6 0:01:45.631,0:01:49.100 ikiwa na asili 30. Hebu tufanye hiyo. 0:01:49.100,0:01:51.621 Hivyo 1/6 ni nini juu ya 30? 0:01:51.621,0:01:52.724 Nakushauri usimamishe hii video 0:01:52.724,0:01:53.850 na ujaribu kufanya hiyo. 0:01:53.850,0:01:56.149 Hivyo tutafanya nini kutoka 6 mpaka 30? 0:01:56.149,0:01:59.248 Tunatakiwa kuzidisha kwa tano. 0:01:59.908,0:02:01.628 hivyo kama tukizidisha asili kwa tano, 0:02:01.628,0:02:04.623 pia tunatakiwa kuzidisha kiasi kwa tano, 0:02:04.623,0:02:09.623 hivyo moja mara tano ni tano. 0:02:11.008,0:02:13.749 Hivyo 9/10 ni sawa na 27/30, 0:02:13.749,0:02:16.453 na 1/6 ni sawa na 5/30. 0:02:16.453,0:02:20.226 Na sasa tunaweza kujumlisha 0:02:20.226,0:02:21.817 na iko wazi. 0:02:21.817,0:02:23.267 Tuna namba fulani juu ya 30, 0:02:23.267,0:02:25.335 na tunajumlisha namba fulani juu ya 30, 0:02:25.335,0:02:30.062 hivyo 27/30 + 5/30, hiyo itakuwa sawa na 0:02:30.062,0:02:35.062 27 jumlisha 5, 0:02:35.471,0:02:40.201 27 + 5, 0:02:41.181,0:02:43.583 ambayo 0:02:43.583,0:02:47.361 itakuwa sawa na 32/30. 0:02:47.361,0:02:50.781 32 juu ya 30, na 0:02:50.781,0:02:54.321 kama tukitaka, tunaweza kurahisisha hii sehemu. 0:02:54.801,0:02:56.805 Tuna kigawo cha 32 na 30, 0:02:56.805,0:03:00.196 zote zinagawanyika kwa 2. 0:03:00.196,0:03:03.505 Hivyo kama tukigawanya kiasi na asili kwa 2, 0:03:03.505,0:03:06.118 kiasi gawa kwa mbili ni 16, 0:03:06.118,0:03:08.902 asili gawa kwa 2 ni 15. 0:03:09.452,0:03:12.640 Hivyo, hii ni sawa na 16/15, na kama tukitaka 0:03:12.640,0:03:16.215 kuandika hii kama namba mchanganyiko, 15 inaingia mara moja katika 16 0:03:16.215,0:03:17.574 na baki moja. 0:03:17.574,0:03:20.255 Hivyo hii ni sawa na 1 1/15. 0:03:20.795,0:03:22.534 Hebu tufanye hesabu nyingine. 0:03:22.534,0:03:27.018 Hebu tuseme tunahitaji kujumlisha 0:03:27.018,0:03:31.881 1/2 na 0:03:31.881,0:03:36.881 11/12. 0:03:36.893,0:03:38.033 Nakushauri usimamishe video 0:03:38.033,0:03:40.864 na ujaribu kufanya hii. 0:03:40.864,0:03:42.502 Kama tulivyoona mwanzo, tunatakiwa kutafuta 0:03:42.502,0:03:43.883 kigawe cha shirika. 0:03:43.883,0:03:45.102 Kama hizi zina asili sawa, 0:03:45.102,0:03:46.264 tunaweza kuzijumlisha moja kwa moja, 0:03:46.264,0:03:48.527 lakini tunatakiwa kutafuta asili ya shirika 0:03:48.527,0:03:50.222 kwa sababu haziko sawa. 0:03:50.902,0:03:53.468 Tunachotakiwa kutafuta ni rahisi, 0:03:53.468,0:03:55.794 kigawe cha shirika cha 2 na12, 0:03:55.794,0:03:58.164 na ni vizuri kutafuta kigawe kidogo cha shirika cha 2 na 12, 0:03:58.164,0:04:00.264 na kama tulivyofanya mwanzoni, hebu tuanze na kubwa 0:04:00.264,0:04:01.901 kati ya hizi mbili, ambayo ni 12. 0:04:01.901,0:04:05.291 Na sasa tunachukua 12 mara moja ambayo ni 12, 0:04:05.291,0:04:07.949 na hivyo tunaweza kuona kuwa ni kigawe kidogo cha 12. 0:04:07.949,0:04:10.632 Na je hiyo inagawanyika kwa mbili? Ndiyo, hakika. 0:04:10.632,0:04:12.790 12 inagawanyika kwa mbili. 0:04:12.790,0:04:15.855 Hivyo 12 ni kigawe kidogo cha shirika cha mbili na 12, 0:04:15.855,0:04:17.213 tunaweza kuandika hizi sehemu mbili 0:04:17.213,0:04:19.013 kama kitu fulani juu ya 12. 0:04:19.013,0:04:21.625 Hiyo 1/2 ni nini juu ya 12? 0:04:21.625,0:04:24.446 Kutoka mbili mpaka 12, utazidisha kwa sita, 0:04:24.446,0:04:27.104 pia tutazidisha kiasi kwa sita. 0:04:27.104,0:04:30.588 Sasa tunaona 1/2, na 6/12, hizi ni kitu sawa. 0:04:30.588,0:04:33.954 Moja ni nusu ya mbili, sita ni nusu ya 12. 0:04:34.914,0:04:38.485 Na tutaandikaje 11/12 kama kitu fulani juu ya 12? 0:04:38.485,0:04:40.855 Hii tayari imekwisha andikwa juu ya 12, 0:04:40.855,0:04:43.258 11/12 tayari ina 12 kama asili, 0:04:43.258,0:04:45.029 hivyo hatuna sababu ya kubadili hiyo. 0:04:45.615,0:04:48.268 11/12, sasa tuko tayari kujumlisha. 0:04:48.600,0:04:51.350 Hivyo hii itakuwa sawa na sita, 0:04:52.520,0:04:55.820 hii itakuwa sawa na sita jumlisha 11, 0:04:56.510,0:05:01.510 sita jumlisha 11 juu ya 12. 0:05:02.378,0:05:06.021 Tuna 6/12 jumlisha 11/12, 0:05:06.021,0:05:09.318 itakuwa sita jumlisha 11 juu ya 12, 0:05:10.728,0:05:15.087 ambayo itakuwa sawa, na sita jumlisha 11 ni 17/12. 0:05:15.087,0:05:16.504 Kama tukitaka kuandika hii kama namba mchanganyiko, 0:05:16.504,0:05:19.487 12 inaingia mara moja katika 17 0:05:19.487,0:05:24.487 na baki tano, hivyo ni 1 5/12. 0:05:24.530,0:05:25.710 Hebu tufanye nyingine kama hii. 0:05:25.710,0:05:29.007 Hii ni tofauti kidogo. 0:05:29.007,0:05:31.043 Hebu tuseme tunataka kujumlisha, 0:05:31.523,0:05:35.894 3/4 na, 0:05:36.504,0:05:40.584 1/5. 0:05:41.414,0:05:43.974 Na moja juu ya tano. 0:05:43.974,0:05:44.659 Hii itakuwa sawa na nini? 0:05:44.659,0:05:46.157 Na kwa mara nyingine tena, simamisha hii video na 0:05:46.157,0:05:47.870 ujaribu kufanya mwenyewe. 0:05:47.870,0:05:49.291 Tuna asili tofauti, 0:05:49.291,0:05:52.052 na tunataka kuandika hizi 0:05:52.052,0:05:53.457 zikiwa na asili sawa, 0:05:53.457,0:05:54.792 hivyo tunatakiwa kutafuta kigawe cha shirika, 0:05:54.792,0:05:57.095 ni vizuri kiwe kigawe kidogo cha shirika. 0:05:57.095,0:05:59.738 Je, kipi ni kigawe kidogo cha shirika cha nne na tano? 0:06:00.548,0:06:01.862 Hebu tuanze na namba kubwa, 0:06:01.862,0:06:04.718 na tuangalie vigawe vyake 0:06:04.718,0:06:07.061 mpaka tutakapopata kigawe kitakacho gawanyika kwa nne. 0:06:07.061,0:06:10.064 Hivyo tano haigawanyiki kwa nne. 0:06:10.064,0:06:13.622 10 haigawanyiki kwa nne, bila kubaki 0:06:13.622,0:06:14.702 ndio kitu tunachoangalia zaidi. 0:06:14.702,0:06:17.059 15 haigawanyiki kwa nne bila kubaki. 0:06:17.059,0:06:20.763 20 inagawanyika kwa nne, hiyo ni sawa na tano mara nne. 0:06:20.763,0:06:23.514 Kigawe ni 20. Hivyo tunachotakiwa kufanya ni kuandika 0:06:23.514,0:06:27.460 sehemu zote mbili zikiwa na asili 20, 0:06:27.460,0:06:28.714 au 20 kama asili. 0:06:29.454,0:06:32.266 Hivyo tunaweza kuandika 3/4 kama kitu fulani juu ya 20. 0:06:32.996,0:06:35.319 Hivyo kutoka nne mpaka 20 katika asili, 0:06:35.319,0:06:36.949 tunazidisha kwa tano. 0:06:36.949,0:06:38.466 Pia tutazidisha katika kiasi . 0:06:38.466,0:06:41.398 Tunazidisha tatu mara tano kupata 15. 0:06:41.398,0:06:44.183 Tulichofanya ili kupata 20 ni kuzidisha kwa tano. 0:06:44.183,0:06:45.820 Pia tunatakiwa kufanya sawa kwa kiasi, 0:06:45.820,0:06:47.736 tatu mara tano ni 15. 0:06:47.736,0:06:52.658 3/4 ni sawa na 15/20. 0:06:52.658,0:06:55.004 1/5. Itakuwa sawa na nini juu ya 20? 0:06:55.004,0:06:58.358 Hivyo kutoka tano mpaka 20, unatakiwa kuzidisha kwa nne. 0:06:58.358,0:06:59.995 Pia tunatakiwa kufanya sawa na kwa kiasi. 0:06:59.995,0:07:03.861 Tunatakiwa kuzidisha kiasi kwa nne ili kupata 4/20. 0:07:04.451,0:07:07.181 Hivyo nimeandika hii badala ya 3/4 jumlisha 1/5, 0:07:07.181,0:07:10.815 sasa tumeandika 15/20 jumlisha 4/20. 0:07:10.815,0:07:12.973 Na hiyo itakuwa sawa na nini? 0:07:12.973,0:07:17.932 Hiyo itakuwa sawa na 15 jumlisha nne ambayo ni 19/20. 0:07:17.932,0:07:22.024 19/20, na tumemaliza.