1 00:00:00,303 --> 00:00:03,046 Hebu tuseme kwamba tuna sehemu 9/10, 2 00:00:03,046 --> 00:00:08,046 na mimi nataka kuongeza sehemu 1/6. 3 00:00:09,567 --> 00:00:13,039 Hii itakuwa sawa na nini? 4 00:00:13,839 --> 00:00:14,827 Hivyo wakati unaangalia hii, unaweza kusema, 5 00:00:14,827 --> 00:00:16,602 "Oh, nina asili tofauti hapa. 6 00:00:16,602 --> 00:00:18,599 Siyo kawaida kufanya hesabu kama hizi. " 7 00:00:18,599 --> 00:00:21,038 Na njia sahihi ya kufanya hii ni 8 00:00:21,038 --> 00:00:23,546 kuanza kwa kutafuta kigawe cha shirika, 9 00:00:23,546 --> 00:00:26,181 kubadili sehemu zote hizi mbili kuwa 10 00:00:26,181 --> 00:00:28,536 sehemu zenye asili sawa. 11 00:00:28,536 --> 00:00:30,498 Hivyo ni jinsi gani unaweza kupata asili ya shirika? 12 00:00:30,498 --> 00:00:32,125 Naam, asili ya shirika itakuwa ni 13 00:00:32,125 --> 00:00:36,478 kigawe cha shirika cha asili 10 na 6. 14 00:00:36,478 --> 00:00:38,638 Hivyo kigawe cha shirika cha 10 na 6 ni kipi? 15 00:00:38,638 --> 00:00:41,436 Na ni rahisi kutafuta kigawe kidogo cha shirika, 16 00:00:41,436 --> 00:00:43,502 na njia nzuri ya kufanya hii ni kuanza na 17 00:00:43,502 --> 00:00:47,312 asili kubwa, 10, na ujiulize, je 10 inagawanyika kwa 6? 18 00:00:47,952 --> 00:00:50,978 Hapana. Je 20 inagawanyika kwa 6? 19 00:00:51,588 --> 00:00:56,005 Hapana. Je 30 inagawanyika kwa 6? 20 00:00:56,005 --> 00:00:57,722 Hapa tulikuwa tunaangalia vigawe vya 10 21 00:00:57,722 --> 00:00:59,556 na ni kigawe gani kidogo cha 10 22 00:00:59,556 --> 00:01:03,644 ambacho kinagawanyika kwa 6? Na hiko kitakuwa ni 30. 23 00:01:03,644 --> 00:01:05,639 Hivyo naweza kuziandika upya hizi sehemu 24 00:01:05,639 --> 00:01:07,605 kama namba fulani juu ya 30. 25 00:01:07,605 --> 00:01:10,296 Hivyo 9 juu ya 10. Nitaandika vipi hiyo 26 00:01:10,296 --> 00:01:11,898 kama kitu fulani juu ya 30? Nitazidisha 27 00:01:11,898 --> 00:01:15,984 asili kwa 3. 28 00:01:17,074 --> 00:01:19,617 Hivyo nimezidisha asili kwa 3. 29 00:01:19,617 --> 00:01:22,088 Kwa hiyo kama sihitaji kubadili thamani ya sehemu , 30 00:01:22,088 --> 00:01:23,586 ninatakiwa kufanya vivyo hivyo kwa kiasi. 31 00:01:23,586 --> 00:01:26,186 Nitazidisha kiasi kwa tatu 32 00:01:26,996 --> 00:01:29,854 kwa sababu nilizidisha kiasi kwa tatu 33 00:01:29,854 --> 00:01:31,433 na asili kwa tatu, na hiyo haitabadili 34 00:01:31,433 --> 00:01:32,954 thamani ya sehemu. 35 00:01:32,954 --> 00:01:35,751 Hivyo sita mara tatu ni 27. 36 00:01:35,751 --> 00:01:38,549 Na hivyo, 9/10 na 27/30 37 00:01:38,549 --> 00:01:40,964 zinawakilisha kitu sawa. 38 00:01:40,964 --> 00:01:43,564 Nimeandika hii ikiwa na asili 30, 39 00:01:43,564 --> 00:01:45,631 na pia naweza kuandika 1/6 40 00:01:45,631 --> 00:01:49,100 ikiwa na asili 30. Hebu tufanye hiyo. 41 00:01:49,100 --> 00:01:51,621 Hivyo 1/6 ni nini juu ya 30? 42 00:01:51,621 --> 00:01:52,724 Nakushauri usimamishe hii video 43 00:01:52,724 --> 00:01:53,850 na ujaribu kufanya hiyo. 44 00:01:53,850 --> 00:01:56,149 Hivyo tutafanya nini kutoka 6 mpaka 30? 45 00:01:56,149 --> 00:01:59,248 Tunatakiwa kuzidisha kwa tano. 46 00:01:59,908 --> 00:02:01,628 hivyo kama tukizidisha asili kwa tano, 47 00:02:01,628 --> 00:02:04,623 pia tunatakiwa kuzidisha kiasi kwa tano, 48 00:02:04,623 --> 00:02:09,623 hivyo moja mara tano ni tano. 49 00:02:11,008 --> 00:02:13,749 Hivyo 9/10 ni sawa na 27/30, 50 00:02:13,749 --> 00:02:16,453 na 1/6 ni sawa na 5/30. 51 00:02:16,453 --> 00:02:20,226 Na sasa tunaweza kujumlisha 52 00:02:20,226 --> 00:02:21,817 na iko wazi. 53 00:02:21,817 --> 00:02:23,267 Tuna namba fulani juu ya 30, 54 00:02:23,267 --> 00:02:25,335 na tunajumlisha namba fulani juu ya 30, 55 00:02:25,335 --> 00:02:30,062 hivyo 27/30 + 5/30, hiyo itakuwa sawa na 56 00:02:30,062 --> 00:02:35,062 27 jumlisha 5, 57 00:02:35,471 --> 00:02:40,201 27 + 5, 58 00:02:41,181 --> 00:02:43,583 ambayo 59 00:02:43,583 --> 00:02:47,361 itakuwa sawa na 32/30. 60 00:02:47,361 --> 00:02:50,781 32 juu ya 30, na 61 00:02:50,781 --> 00:02:54,321 kama tukitaka, tunaweza kurahisisha hii sehemu. 62 00:02:54,801 --> 00:02:56,805 Tuna kigawo cha 32 na 30, 63 00:02:56,805 --> 00:03:00,196 zote zinagawanyika kwa 2. 64 00:03:00,196 --> 00:03:03,505 Hivyo kama tukigawanya kiasi na asili kwa 2, 65 00:03:03,505 --> 00:03:06,118 kiasi gawa kwa mbili ni 16, 66 00:03:06,118 --> 00:03:08,902 asili gawa kwa 2 ni 15. 67 00:03:09,452 --> 00:03:12,640 Hivyo, hii ni sawa na 16/15, na kama tukitaka 68 00:03:12,640 --> 00:03:16,215 kuandika hii kama namba mchanganyiko, 15 inaingia mara moja katika 16 69 00:03:16,215 --> 00:03:17,574 na baki moja. 70 00:03:17,574 --> 00:03:20,255 Hivyo hii ni sawa na 1 1/15. 71 00:03:20,795 --> 00:03:22,534 Hebu tufanye hesabu nyingine. 72 00:03:22,534 --> 00:03:27,018 Hebu tuseme tunahitaji kujumlisha 73 00:03:27,018 --> 00:03:31,881 1/2 na 74 00:03:31,881 --> 00:03:36,881 11/12. 75 00:03:36,893 --> 00:03:38,033 Nakushauri usimamishe video 76 00:03:38,033 --> 00:03:40,864 na ujaribu kufanya hii. 77 00:03:40,864 --> 00:03:42,502 Kama tulivyoona mwanzo, tunatakiwa kutafuta 78 00:03:42,502 --> 00:03:43,883 kigawe cha shirika. 79 00:03:43,883 --> 00:03:45,102 Kama hizi zina asili sawa, 80 00:03:45,102 --> 00:03:46,264 tunaweza kuzijumlisha moja kwa moja, 81 00:03:46,264 --> 00:03:48,527 lakini tunatakiwa kutafuta asili ya shirika 82 00:03:48,527 --> 00:03:50,222 kwa sababu haziko sawa. 83 00:03:50,902 --> 00:03:53,468 Tunachotakiwa kutafuta ni rahisi, 84 00:03:53,468 --> 00:03:55,794 kigawe cha shirika cha 2 na12, 85 00:03:55,794 --> 00:03:58,164 na ni vizuri kutafuta kigawe kidogo cha shirika cha 2 na 12, 86 00:03:58,164 --> 00:04:00,264 na kama tulivyofanya mwanzoni, hebu tuanze na kubwa 87 00:04:00,264 --> 00:04:01,901 kati ya hizi mbili, ambayo ni 12. 88 00:04:01,901 --> 00:04:05,291 Na sasa tunachukua 12 mara moja ambayo ni 12, 89 00:04:05,291 --> 00:04:07,949 na hivyo tunaweza kuona kuwa ni kigawe kidogo cha 12. 90 00:04:07,949 --> 00:04:10,632 Na je hiyo inagawanyika kwa mbili? Ndiyo, hakika. 91 00:04:10,632 --> 00:04:12,790 12 inagawanyika kwa mbili. 92 00:04:12,790 --> 00:04:15,855 Hivyo 12 ni kigawe kidogo cha shirika cha mbili na 12, 93 00:04:15,855 --> 00:04:17,213 tunaweza kuandika hizi sehemu mbili 94 00:04:17,213 --> 00:04:19,013 kama kitu fulani juu ya 12. 95 00:04:19,013 --> 00:04:21,625 Hiyo 1/2 ni nini juu ya 12? 96 00:04:21,625 --> 00:04:24,446 Kutoka mbili mpaka 12, utazidisha kwa sita, 97 00:04:24,446 --> 00:04:27,104 pia tutazidisha kiasi kwa sita. 98 00:04:27,104 --> 00:04:30,588 Sasa tunaona 1/2, na 6/12, hizi ni kitu sawa. 99 00:04:30,588 --> 00:04:33,954 Moja ni nusu ya mbili, sita ni nusu ya 12. 100 00:04:34,914 --> 00:04:38,485 Na tutaandikaje 11/12 kama kitu fulani juu ya 12? 101 00:04:38,485 --> 00:04:40,855 Hii tayari imekwisha andikwa juu ya 12, 102 00:04:40,855 --> 00:04:43,258 11/12 tayari ina 12 kama asili, 103 00:04:43,258 --> 00:04:45,029 hivyo hatuna sababu ya kubadili hiyo. 104 00:04:45,615 --> 00:04:48,268 11/12, sasa tuko tayari kujumlisha. 105 00:04:48,600 --> 00:04:51,350 Hivyo hii itakuwa sawa na sita, 106 00:04:52,520 --> 00:04:55,820 hii itakuwa sawa na sita jumlisha 11, 107 00:04:56,510 --> 00:05:01,510 sita jumlisha 11 juu ya 12. 108 00:05:02,378 --> 00:05:06,021 Tuna 6/12 jumlisha 11/12, 109 00:05:06,021 --> 00:05:09,318 itakuwa sita jumlisha 11 juu ya 12, 110 00:05:10,728 --> 00:05:15,087 ambayo itakuwa sawa, na sita jumlisha 11 ni 17/12. 111 00:05:15,087 --> 00:05:16,504 Kama tukitaka kuandika hii kama namba mchanganyiko, 112 00:05:16,504 --> 00:05:19,487 12 inaingia mara moja katika 17 113 00:05:19,487 --> 00:05:24,487 na baki tano, hivyo ni 1 5/12. 114 00:05:24,530 --> 00:05:25,710 Hebu tufanye nyingine kama hii. 115 00:05:25,710 --> 00:05:29,007 Hii ni tofauti kidogo. 116 00:05:29,007 --> 00:05:31,043 Hebu tuseme tunataka kujumlisha, 117 00:05:31,523 --> 00:05:35,894 3/4 na, 118 00:05:36,504 --> 00:05:40,584 1/5. 119 00:05:41,414 --> 00:05:43,974 Na moja juu ya tano. 120 00:05:43,974 --> 00:05:44,659 Hii itakuwa sawa na nini? 121 00:05:44,659 --> 00:05:46,157 Na kwa mara nyingine tena, simamisha hii video na 122 00:05:46,157 --> 00:05:47,870 ujaribu kufanya mwenyewe. 123 00:05:47,870 --> 00:05:49,291 Tuna asili tofauti, 124 00:05:49,291 --> 00:05:52,052 na tunataka kuandika hizi 125 00:05:52,052 --> 00:05:53,457 zikiwa na asili sawa, 126 00:05:53,457 --> 00:05:54,792 hivyo tunatakiwa kutafuta kigawe cha shirika, 127 00:05:54,792 --> 00:05:57,095 ni vizuri kiwe kigawe kidogo cha shirika. 128 00:05:57,095 --> 00:05:59,738 Je, kipi ni kigawe kidogo cha shirika cha nne na tano? 129 00:06:00,548 --> 00:06:01,862 Hebu tuanze na namba kubwa, 130 00:06:01,862 --> 00:06:04,718 na tuangalie vigawe vyake 131 00:06:04,718 --> 00:06:07,061 mpaka tutakapopata kigawe kitakacho gawanyika kwa nne. 132 00:06:07,061 --> 00:06:10,064 Hivyo tano haigawanyiki kwa nne. 133 00:06:10,064 --> 00:06:13,622 10 haigawanyiki kwa nne, bila kubaki 134 00:06:13,622 --> 00:06:14,702 ndio kitu tunachoangalia zaidi. 135 00:06:14,702 --> 00:06:17,059 15 haigawanyiki kwa nne bila kubaki. 136 00:06:17,059 --> 00:06:20,763 20 inagawanyika kwa nne, hiyo ni sawa na tano mara nne. 137 00:06:20,763 --> 00:06:23,514 Kigawe ni 20. Hivyo tunachotakiwa kufanya ni kuandika 138 00:06:23,514 --> 00:06:27,460 sehemu zote mbili zikiwa na asili 20, 139 00:06:27,460 --> 00:06:28,714 au 20 kama asili. 140 00:06:29,454 --> 00:06:32,266 Hivyo tunaweza kuandika 3/4 kama kitu fulani juu ya 20. 141 00:06:32,996 --> 00:06:35,319 Hivyo kutoka nne mpaka 20 katika asili, 142 00:06:35,319 --> 00:06:36,949 tunazidisha kwa tano. 143 00:06:36,949 --> 00:06:38,466 Pia tutazidisha katika kiasi . 144 00:06:38,466 --> 00:06:41,398 Tunazidisha tatu mara tano kupata 15. 145 00:06:41,398 --> 00:06:44,183 Tulichofanya ili kupata 20 ni kuzidisha kwa tano. 146 00:06:44,183 --> 00:06:45,820 Pia tunatakiwa kufanya sawa kwa kiasi, 147 00:06:45,820 --> 00:06:47,736 tatu mara tano ni 15. 148 00:06:47,736 --> 00:06:52,658 3/4 ni sawa na 15/20. 149 00:06:52,658 --> 00:06:55,004 1/5. Itakuwa sawa na nini juu ya 20? 150 00:06:55,004 --> 00:06:58,358 Hivyo kutoka tano mpaka 20, unatakiwa kuzidisha kwa nne. 151 00:06:58,358 --> 00:06:59,995 Pia tunatakiwa kufanya sawa na kwa kiasi. 152 00:06:59,995 --> 00:07:03,861 Tunatakiwa kuzidisha kiasi kwa nne ili kupata 4/20. 153 00:07:04,451 --> 00:07:07,181 Hivyo nimeandika hii badala ya 3/4 jumlisha 1/5, 154 00:07:07,181 --> 00:07:10,815 sasa tumeandika 15/20 jumlisha 4/20. 155 00:07:10,815 --> 00:07:12,973 Na hiyo itakuwa sawa na nini? 156 00:07:12,973 --> 00:07:17,932 Hiyo itakuwa sawa na 15 jumlisha nne ambayo ni 19/20. 157 00:07:17,932 --> 00:07:22,024 19/20, na tumemaliza.