[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.30,0:00:03.05,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuseme kwamba\Ntuna sehemu 9/10, Dialogue: 0,0:00:03.05,0:00:08.05,Default,,0000,0000,0000,,na mimi nataka kuongeza sehemu 1/6. Dialogue: 0,0:00:09.57,0:00:13.04,Default,,0000,0000,0000,,Hii itakuwa sawa na nini? Dialogue: 0,0:00:13.84,0:00:14.83,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo wakati unaangalia hii, unaweza kusema, Dialogue: 0,0:00:14.83,0:00:16.60,Default,,0000,0000,0000,,"Oh, nina asili tofauti hapa. Dialogue: 0,0:00:16.60,0:00:18.60,Default,,0000,0000,0000,,Siyo kawaida kufanya hesabu kama hizi. " Dialogue: 0,0:00:18.60,0:00:21.04,Default,,0000,0000,0000,,Na njia sahihi ya kufanya hii ni Dialogue: 0,0:00:21.04,0:00:23.55,Default,,0000,0000,0000,,kuanza kwa kutafuta kigawe cha shirika, Dialogue: 0,0:00:23.55,0:00:26.18,Default,,0000,0000,0000,,kubadili sehemu zote hizi mbili kuwa Dialogue: 0,0:00:26.18,0:00:28.54,Default,,0000,0000,0000,,sehemu zenye asili sawa. Dialogue: 0,0:00:28.54,0:00:30.50,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ni jinsi gani unaweza kupata asili ya shirika? Dialogue: 0,0:00:30.50,0:00:32.12,Default,,0000,0000,0000,,Naam, asili ya shirika itakuwa ni Dialogue: 0,0:00:32.12,0:00:36.48,Default,,0000,0000,0000,,kigawe cha shirika cha asili 10 na 6. Dialogue: 0,0:00:36.48,0:00:38.64,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kigawe cha shirika cha 10 na 6 ni kipi? Dialogue: 0,0:00:38.64,0:00:41.44,Default,,0000,0000,0000,,Na ni rahisi kutafuta kigawe kidogo cha shirika, Dialogue: 0,0:00:41.44,0:00:43.50,Default,,0000,0000,0000,,na njia nzuri ya kufanya hii ni kuanza na Dialogue: 0,0:00:43.50,0:00:47.31,Default,,0000,0000,0000,,asili kubwa, 10, na ujiulize, je 10 inagawanyika kwa 6? Dialogue: 0,0:00:47.95,0:00:50.98,Default,,0000,0000,0000,,Hapana. Je 20 inagawanyika kwa 6? Dialogue: 0,0:00:51.59,0:00:56.00,Default,,0000,0000,0000,,Hapana. Je 30 inagawanyika kwa 6? Dialogue: 0,0:00:56.00,0:00:57.72,Default,,0000,0000,0000,,Hapa tulikuwa tunaangalia vigawe vya 10 Dialogue: 0,0:00:57.72,0:00:59.56,Default,,0000,0000,0000,,na ni kigawe gani kidogo cha 10 Dialogue: 0,0:00:59.56,0:01:03.64,Default,,0000,0000,0000,,ambacho kinagawanyika kwa 6? Na hiko kitakuwa ni 30. Dialogue: 0,0:01:03.64,0:01:05.64,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo naweza kuziandika upya hizi sehemu Dialogue: 0,0:01:05.64,0:01:07.60,Default,,0000,0000,0000,,kama namba fulani juu ya 30. Dialogue: 0,0:01:07.60,0:01:10.30,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo 9 juu ya 10. Nitaandika vipi hiyo Dialogue: 0,0:01:10.30,0:01:11.90,Default,,0000,0000,0000,,kama kitu fulani juu ya 30? Nitazidisha Dialogue: 0,0:01:11.90,0:01:15.98,Default,,0000,0000,0000,,asili kwa 3. Dialogue: 0,0:01:17.07,0:01:19.62,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nimezidisha asili kwa 3. Dialogue: 0,0:01:19.62,0:01:22.09,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kama sihitaji kubadili thamani ya sehemu , Dialogue: 0,0:01:22.09,0:01:23.59,Default,,0000,0000,0000,,ninatakiwa kufanya vivyo hivyo kwa kiasi. Dialogue: 0,0:01:23.59,0:01:26.19,Default,,0000,0000,0000,,Nitazidisha kiasi kwa tatu Dialogue: 0,0:01:26.100,0:01:29.85,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu nilizidisha kiasi kwa tatu Dialogue: 0,0:01:29.85,0:01:31.43,Default,,0000,0000,0000,,na asili kwa tatu, na hiyo haitabadili Dialogue: 0,0:01:31.43,0:01:32.95,Default,,0000,0000,0000,,thamani ya sehemu. Dialogue: 0,0:01:32.95,0:01:35.75,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo sita mara tatu ni 27. Dialogue: 0,0:01:35.75,0:01:38.55,Default,,0000,0000,0000,,Na hivyo, 9/10 na 27/30 Dialogue: 0,0:01:38.55,0:01:40.96,Default,,0000,0000,0000,,zinawakilisha kitu sawa. Dialogue: 0,0:01:40.96,0:01:43.56,Default,,0000,0000,0000,,Nimeandika hii ikiwa na asili 30, Dialogue: 0,0:01:43.56,0:01:45.63,Default,,0000,0000,0000,,na pia naweza kuandika 1/6 Dialogue: 0,0:01:45.63,0:01:49.10,Default,,0000,0000,0000,,ikiwa na asili 30. Hebu tufanye hiyo. Dialogue: 0,0:01:49.10,0:01:51.62,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo 1/6 ni nini juu ya 30? Dialogue: 0,0:01:51.62,0:01:52.72,Default,,0000,0000,0000,,Nakushauri usimamishe hii video Dialogue: 0,0:01:52.72,0:01:53.85,Default,,0000,0000,0000,,na ujaribu kufanya hiyo. Dialogue: 0,0:01:53.85,0:01:56.15,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tutafanya nini kutoka 6 mpaka 30? Dialogue: 0,0:01:56.15,0:01:59.25,Default,,0000,0000,0000,,Tunatakiwa kuzidisha kwa tano. Dialogue: 0,0:01:59.91,0:02:01.63,Default,,0000,0000,0000,,hivyo kama tukizidisha asili kwa tano, Dialogue: 0,0:02:01.63,0:02:04.62,Default,,0000,0000,0000,,pia tunatakiwa kuzidisha kiasi kwa tano, Dialogue: 0,0:02:04.62,0:02:09.62,Default,,0000,0000,0000,,hivyo moja mara tano ni tano. Dialogue: 0,0:02:11.01,0:02:13.75,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo 9/10 ni sawa na 27/30, Dialogue: 0,0:02:13.75,0:02:16.45,Default,,0000,0000,0000,,na 1/6 ni sawa na 5/30. Dialogue: 0,0:02:16.45,0:02:20.23,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa tunaweza kujumlisha Dialogue: 0,0:02:20.23,0:02:21.82,Default,,0000,0000,0000,,na iko wazi. Dialogue: 0,0:02:21.82,0:02:23.27,Default,,0000,0000,0000,,Tuna namba fulani juu ya 30, Dialogue: 0,0:02:23.27,0:02:25.34,Default,,0000,0000,0000,,na tunajumlisha namba fulani juu ya 30, Dialogue: 0,0:02:25.34,0:02:30.06,Default,,0000,0000,0000,,hivyo 27/30 + 5/30, hiyo itakuwa sawa na Dialogue: 0,0:02:30.06,0:02:35.06,Default,,0000,0000,0000,,27 jumlisha 5, Dialogue: 0,0:02:35.47,0:02:40.20,Default,,0000,0000,0000,,27 + 5, Dialogue: 0,0:02:41.18,0:02:43.58,Default,,0000,0000,0000,,ambayo Dialogue: 0,0:02:43.58,0:02:47.36,Default,,0000,0000,0000,,itakuwa sawa na 32/30. Dialogue: 0,0:02:47.36,0:02:50.78,Default,,0000,0000,0000,,32 juu ya 30, na Dialogue: 0,0:02:50.78,0:02:54.32,Default,,0000,0000,0000,,kama tukitaka, tunaweza kurahisisha hii sehemu. Dialogue: 0,0:02:54.80,0:02:56.80,Default,,0000,0000,0000,,Tuna kigawo cha 32 na 30, Dialogue: 0,0:02:56.80,0:03:00.20,Default,,0000,0000,0000,,zote zinagawanyika kwa 2. Dialogue: 0,0:03:00.20,0:03:03.50,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kama tukigawanya kiasi na asili kwa 2, Dialogue: 0,0:03:03.50,0:03:06.12,Default,,0000,0000,0000,,kiasi gawa kwa mbili ni 16, Dialogue: 0,0:03:06.12,0:03:08.90,Default,,0000,0000,0000,,asili gawa kwa 2 ni 15. Dialogue: 0,0:03:09.45,0:03:12.64,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, hii ni sawa na 16/15, na kama tukitaka Dialogue: 0,0:03:12.64,0:03:16.22,Default,,0000,0000,0000,,kuandika hii kama namba mchanganyiko, 15 inaingia mara moja katika 16 Dialogue: 0,0:03:16.22,0:03:17.57,Default,,0000,0000,0000,,na baki moja. Dialogue: 0,0:03:17.57,0:03:20.26,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hii ni sawa na 1 1/15. Dialogue: 0,0:03:20.80,0:03:22.53,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tufanye hesabu nyingine. Dialogue: 0,0:03:22.53,0:03:27.02,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuseme tunahitaji kujumlisha Dialogue: 0,0:03:27.02,0:03:31.88,Default,,0000,0000,0000,,1/2 na Dialogue: 0,0:03:31.88,0:03:36.88,Default,,0000,0000,0000,,11/12. Dialogue: 0,0:03:36.89,0:03:38.03,Default,,0000,0000,0000,,Nakushauri usimamishe video Dialogue: 0,0:03:38.03,0:03:40.86,Default,,0000,0000,0000,,na ujaribu kufanya hii. Dialogue: 0,0:03:40.86,0:03:42.50,Default,,0000,0000,0000,,Kama tulivyoona mwanzo, tunatakiwa kutafuta Dialogue: 0,0:03:42.50,0:03:43.88,Default,,0000,0000,0000,,kigawe cha shirika. Dialogue: 0,0:03:43.88,0:03:45.10,Default,,0000,0000,0000,,Kama hizi zina asili sawa, Dialogue: 0,0:03:45.10,0:03:46.26,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kuzijumlisha moja kwa moja, Dialogue: 0,0:03:46.26,0:03:48.53,Default,,0000,0000,0000,,lakini tunatakiwa kutafuta asili ya shirika Dialogue: 0,0:03:48.53,0:03:50.22,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu haziko sawa. Dialogue: 0,0:03:50.90,0:03:53.47,Default,,0000,0000,0000,,Tunachotakiwa kutafuta ni rahisi, Dialogue: 0,0:03:53.47,0:03:55.79,Default,,0000,0000,0000,,kigawe cha shirika cha 2 na12, Dialogue: 0,0:03:55.79,0:03:58.16,Default,,0000,0000,0000,,na ni vizuri kutafuta kigawe kidogo cha shirika cha 2 na 12, Dialogue: 0,0:03:58.16,0:04:00.26,Default,,0000,0000,0000,,na kama tulivyofanya mwanzoni, hebu tuanze na kubwa Dialogue: 0,0:04:00.26,0:04:01.90,Default,,0000,0000,0000,,kati ya hizi mbili, ambayo ni 12. Dialogue: 0,0:04:01.90,0:04:05.29,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa tunachukua 12 mara moja ambayo ni 12, Dialogue: 0,0:04:05.29,0:04:07.95,Default,,0000,0000,0000,,na hivyo tunaweza kuona kuwa ni kigawe kidogo cha 12. Dialogue: 0,0:04:07.95,0:04:10.63,Default,,0000,0000,0000,,Na je hiyo inagawanyika kwa mbili? Ndiyo, hakika. Dialogue: 0,0:04:10.63,0:04:12.79,Default,,0000,0000,0000,,12 inagawanyika kwa mbili. Dialogue: 0,0:04:12.79,0:04:15.86,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo 12 ni kigawe kidogo cha shirika cha mbili na 12, Dialogue: 0,0:04:15.86,0:04:17.21,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kuandika hizi sehemu mbili Dialogue: 0,0:04:17.21,0:04:19.01,Default,,0000,0000,0000,,kama kitu fulani juu ya 12. Dialogue: 0,0:04:19.01,0:04:21.62,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo 1/2 ni nini juu ya 12? Dialogue: 0,0:04:21.62,0:04:24.45,Default,,0000,0000,0000,,Kutoka mbili mpaka 12, utazidisha kwa sita, Dialogue: 0,0:04:24.45,0:04:27.10,Default,,0000,0000,0000,,pia tutazidisha kiasi kwa sita. Dialogue: 0,0:04:27.10,0:04:30.59,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tunaona 1/2, na 6/12, hizi ni kitu sawa. Dialogue: 0,0:04:30.59,0:04:33.95,Default,,0000,0000,0000,,Moja ni nusu ya mbili, sita ni nusu ya 12. Dialogue: 0,0:04:34.91,0:04:38.48,Default,,0000,0000,0000,,Na tutaandikaje 11/12 kama kitu fulani juu ya 12? Dialogue: 0,0:04:38.48,0:04:40.86,Default,,0000,0000,0000,,Hii tayari imekwisha andikwa juu ya 12, Dialogue: 0,0:04:40.86,0:04:43.26,Default,,0000,0000,0000,,11/12 tayari ina 12 kama asili, Dialogue: 0,0:04:43.26,0:04:45.03,Default,,0000,0000,0000,,hivyo hatuna sababu ya kubadili hiyo. Dialogue: 0,0:04:45.62,0:04:48.27,Default,,0000,0000,0000,,11/12, sasa tuko tayari kujumlisha. Dialogue: 0,0:04:48.60,0:04:51.35,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hii itakuwa sawa na sita, Dialogue: 0,0:04:52.52,0:04:55.82,Default,,0000,0000,0000,,hii itakuwa sawa na sita jumlisha 11, Dialogue: 0,0:04:56.51,0:05:01.51,Default,,0000,0000,0000,,sita jumlisha 11 juu ya 12. Dialogue: 0,0:05:02.38,0:05:06.02,Default,,0000,0000,0000,,Tuna 6/12 jumlisha 11/12, Dialogue: 0,0:05:06.02,0:05:09.32,Default,,0000,0000,0000,,itakuwa sita jumlisha 11 juu ya 12, Dialogue: 0,0:05:10.73,0:05:15.09,Default,,0000,0000,0000,,ambayo itakuwa sawa, na sita jumlisha 11 ni 17/12. Dialogue: 0,0:05:15.09,0:05:16.50,Default,,0000,0000,0000,,Kama tukitaka kuandika hii kama namba mchanganyiko, Dialogue: 0,0:05:16.50,0:05:19.49,Default,,0000,0000,0000,,12 inaingia mara moja katika 17 Dialogue: 0,0:05:19.49,0:05:24.49,Default,,0000,0000,0000,,na baki tano, hivyo ni 1 5/12. Dialogue: 0,0:05:24.53,0:05:25.71,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tufanye nyingine kama hii. Dialogue: 0,0:05:25.71,0:05:29.01,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni tofauti kidogo. Dialogue: 0,0:05:29.01,0:05:31.04,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuseme tunataka kujumlisha, Dialogue: 0,0:05:31.52,0:05:35.89,Default,,0000,0000,0000,,3/4 na, Dialogue: 0,0:05:36.50,0:05:40.58,Default,,0000,0000,0000,,1/5. Dialogue: 0,0:05:41.41,0:05:43.97,Default,,0000,0000,0000,,Na moja juu ya tano. Dialogue: 0,0:05:43.97,0:05:44.66,Default,,0000,0000,0000,,Hii itakuwa sawa na nini? Dialogue: 0,0:05:44.66,0:05:46.16,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa mara nyingine tena, simamisha hii video na Dialogue: 0,0:05:46.16,0:05:47.87,Default,,0000,0000,0000,,ujaribu kufanya mwenyewe. Dialogue: 0,0:05:47.87,0:05:49.29,Default,,0000,0000,0000,,Tuna asili tofauti, Dialogue: 0,0:05:49.29,0:05:52.05,Default,,0000,0000,0000,,na tunataka kuandika hizi Dialogue: 0,0:05:52.05,0:05:53.46,Default,,0000,0000,0000,,zikiwa na asili sawa, Dialogue: 0,0:05:53.46,0:05:54.79,Default,,0000,0000,0000,,hivyo tunatakiwa kutafuta kigawe cha shirika, Dialogue: 0,0:05:54.79,0:05:57.10,Default,,0000,0000,0000,,ni vizuri kiwe kigawe kidogo cha shirika. Dialogue: 0,0:05:57.10,0:05:59.74,Default,,0000,0000,0000,,Je, kipi ni kigawe kidogo cha shirika cha nne na tano? Dialogue: 0,0:06:00.55,0:06:01.86,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuanze na namba kubwa, Dialogue: 0,0:06:01.86,0:06:04.72,Default,,0000,0000,0000,,na tuangalie vigawe vyake Dialogue: 0,0:06:04.72,0:06:07.06,Default,,0000,0000,0000,,mpaka tutakapopata kigawe kitakacho gawanyika kwa nne. Dialogue: 0,0:06:07.06,0:06:10.06,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tano haigawanyiki kwa nne. Dialogue: 0,0:06:10.06,0:06:13.62,Default,,0000,0000,0000,,10 haigawanyiki kwa nne, bila kubaki Dialogue: 0,0:06:13.62,0:06:14.70,Default,,0000,0000,0000,,ndio kitu tunachoangalia zaidi. Dialogue: 0,0:06:14.70,0:06:17.06,Default,,0000,0000,0000,,15 haigawanyiki kwa nne bila kubaki. Dialogue: 0,0:06:17.06,0:06:20.76,Default,,0000,0000,0000,,20 inagawanyika kwa nne, hiyo ni sawa na tano mara nne. Dialogue: 0,0:06:20.76,0:06:23.51,Default,,0000,0000,0000,,Kigawe ni 20. Hivyo tunachotakiwa kufanya ni kuandika Dialogue: 0,0:06:23.51,0:06:27.46,Default,,0000,0000,0000,,sehemu zote mbili zikiwa na asili 20, Dialogue: 0,0:06:27.46,0:06:28.71,Default,,0000,0000,0000,,au 20 kama asili. Dialogue: 0,0:06:29.45,0:06:32.27,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunaweza kuandika 3/4 kama kitu fulani juu ya 20. Dialogue: 0,0:06:32.100,0:06:35.32,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kutoka nne mpaka 20 katika asili, Dialogue: 0,0:06:35.32,0:06:36.95,Default,,0000,0000,0000,,tunazidisha kwa tano. Dialogue: 0,0:06:36.95,0:06:38.47,Default,,0000,0000,0000,,Pia tutazidisha katika kiasi . Dialogue: 0,0:06:38.47,0:06:41.40,Default,,0000,0000,0000,,Tunazidisha tatu mara tano kupata 15. Dialogue: 0,0:06:41.40,0:06:44.18,Default,,0000,0000,0000,,Tulichofanya ili kupata 20 ni kuzidisha kwa tano. Dialogue: 0,0:06:44.18,0:06:45.82,Default,,0000,0000,0000,,Pia tunatakiwa kufanya sawa kwa kiasi, Dialogue: 0,0:06:45.82,0:06:47.74,Default,,0000,0000,0000,,tatu mara tano ni 15. Dialogue: 0,0:06:47.74,0:06:52.66,Default,,0000,0000,0000,,3/4 ni sawa na 15/20. Dialogue: 0,0:06:52.66,0:06:55.00,Default,,0000,0000,0000,,1/5. Itakuwa sawa na nini juu ya 20? Dialogue: 0,0:06:55.00,0:06:58.36,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kutoka tano mpaka 20, unatakiwa kuzidisha kwa nne. Dialogue: 0,0:06:58.36,0:06:59.100,Default,,0000,0000,0000,,Pia tunatakiwa kufanya sawa na kwa kiasi. Dialogue: 0,0:06:59.100,0:07:03.86,Default,,0000,0000,0000,,Tunatakiwa kuzidisha kiasi kwa nne ili kupata 4/20. Dialogue: 0,0:07:04.45,0:07:07.18,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nimeandika hii badala ya 3/4 jumlisha 1/5, Dialogue: 0,0:07:07.18,0:07:10.82,Default,,0000,0000,0000,,sasa tumeandika 15/20 jumlisha 4/20. Dialogue: 0,0:07:10.82,0:07:12.97,Default,,0000,0000,0000,,Na hiyo itakuwa sawa na nini? Dialogue: 0,0:07:12.97,0:07:17.93,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo itakuwa sawa na 15 jumlisha nne ambayo ni 19/20. Dialogue: 0,0:07:17.93,0:07:22.02,Default,,0000,0000,0000,,19/20, na tumemaliza.