WEBVTT 00:00:00.303 --> 00:00:03.046 Hebu tuseme kwamba tuna sehemu 9/10, 00:00:03.046 --> 00:00:08.046 na mimi nataka kuongeza sehemu 1/6. 00:00:09.567 --> 00:00:13.039 Hii itakuwa sawa na nini? 00:00:13.839 --> 00:00:14.827 Hivyo wakati unaangalia hii, unaweza kusema, 00:00:14.827 --> 00:00:16.602 "Oh, nina asili tofauti hapa. 00:00:16.602 --> 00:00:18.599 Siyo kawaida kufanya hesabu kama hizi. " 00:00:18.599 --> 00:00:21.038 Na njia sahihi ya kufanya hii ni 00:00:21.038 --> 00:00:23.546 kuanza kwa kutafuta kigawe cha shirika, 00:00:23.546 --> 00:00:26.181 kubadili sehemu zote hizi mbili kuwa 00:00:26.181 --> 00:00:28.536 sehemu zenye asili sawa. 00:00:28.536 --> 00:00:30.498 Hivyo ni jinsi gani unaweza kupata asili ya shirika? 00:00:30.498 --> 00:00:32.125 Naam, asili ya shirika itakuwa ni 00:00:32.125 --> 00:00:36.478 kigawe cha shirika cha asili 10 na 6. 00:00:36.478 --> 00:00:38.638 Hivyo kigawe cha shirika cha 10 na 6 ni kipi? 00:00:38.638 --> 00:00:41.436 Na ni rahisi kutafuta kigawe kidogo cha shirika, 00:00:41.436 --> 00:00:43.502 na njia nzuri ya kufanya hii ni kuanza na 00:00:43.502 --> 00:00:47.312 asili kubwa, 10, na ujiulize, je 10 inagawanyika kwa 6? 00:00:47.952 --> 00:00:50.978 Hapana. Je 20 inagawanyika kwa 6? 00:00:51.588 --> 00:00:56.005 Hapana. Je 30 inagawanyika kwa 6? 00:00:56.005 --> 00:00:57.722 Hapa tulikuwa tunaangalia vigawe vya 10 00:00:57.722 --> 00:00:59.556 na ni kigawe gani kidogo cha 10 00:00:59.556 --> 00:01:03.644 ambacho kinagawanyika kwa 6? Na hiko kitakuwa ni 30. 00:01:03.644 --> 00:01:05.639 Hivyo naweza kuziandika upya hizi sehemu 00:01:05.639 --> 00:01:07.605 kama namba fulani juu ya 30. 00:01:07.605 --> 00:01:10.296 Hivyo 9 juu ya 10. Nitaandika vipi hiyo 00:01:10.296 --> 00:01:11.898 kama kitu fulani juu ya 30? Nitazidisha 00:01:11.898 --> 00:01:15.984 asili kwa 3. 00:01:17.074 --> 00:01:19.617 Hivyo nimezidisha asili kwa 3. 00:01:19.617 --> 00:01:22.088 Kwa hiyo kama sihitaji kubadili thamani ya sehemu , 00:01:22.088 --> 00:01:23.586 ninatakiwa kufanya vivyo hivyo kwa kiasi. 00:01:23.586 --> 00:01:26.186 Nitazidisha kiasi kwa tatu 00:01:26.996 --> 00:01:29.854 kwa sababu nilizidisha kiasi kwa tatu 00:01:29.854 --> 00:01:31.433 na asili kwa tatu, na hiyo haitabadili 00:01:31.433 --> 00:01:32.954 thamani ya sehemu. 00:01:32.954 --> 00:01:35.751 Hivyo sita mara tatu ni 27. 00:01:35.751 --> 00:01:38.549 Na hivyo, 9/10 na 27/30 00:01:38.549 --> 00:01:40.964 zinawakilisha kitu sawa. 00:01:40.964 --> 00:01:43.564 Nimeandika hii ikiwa na asili 30, 00:01:43.564 --> 00:01:45.631 na pia naweza kuandika 1/6 00:01:45.631 --> 00:01:49.100 ikiwa na asili 30. Hebu tufanye hiyo. 00:01:49.100 --> 00:01:51.621 Hivyo 1/6 ni nini juu ya 30? 00:01:51.621 --> 00:01:52.724 Nakushauri usimamishe hii video 00:01:52.724 --> 00:01:53.850 na ujaribu kufanya hiyo. 00:01:53.850 --> 00:01:56.149 Hivyo tutafanya nini kutoka 6 mpaka 30? 00:01:56.149 --> 00:01:59.248 Tunatakiwa kuzidisha kwa tano. 00:01:59.908 --> 00:02:01.628 hivyo kama tukizidisha asili kwa tano, 00:02:01.628 --> 00:02:04.623 pia tunatakiwa kuzidisha kiasi kwa tano, 00:02:04.623 --> 00:02:09.623 hivyo moja mara tano ni tano. 00:02:11.008 --> 00:02:13.749 Hivyo 9/10 ni sawa na 27/30, 00:02:13.749 --> 00:02:16.453 na 1/6 ni sawa na 5/30. 00:02:16.453 --> 00:02:20.226 Na sasa tunaweza kujumlisha 00:02:20.226 --> 00:02:21.817 na iko wazi. 00:02:21.817 --> 00:02:23.267 Tuna namba fulani juu ya 30, 00:02:23.267 --> 00:02:25.335 na tunajumlisha namba fulani juu ya 30, 00:02:25.335 --> 00:02:30.062 hivyo 27/30 + 5/30, hiyo itakuwa sawa na 00:02:30.062 --> 00:02:35.062 27 jumlisha 5, 00:02:35.471 --> 00:02:40.201 27 + 5, 00:02:41.181 --> 00:02:43.583 ambayo 00:02:43.583 --> 00:02:47.361 itakuwa sawa na 32/30. 00:02:47.361 --> 00:02:50.781 32 juu ya 30, na 00:02:50.781 --> 00:02:54.321 kama tukitaka, tunaweza kurahisisha hii sehemu. 00:02:54.801 --> 00:02:56.805 Tuna kigawo cha 32 na 30, 00:02:56.805 --> 00:03:00.196 zote zinagawanyika kwa 2. 00:03:00.196 --> 00:03:03.505 Hivyo kama tukigawanya kiasi na asili kwa 2, 00:03:03.505 --> 00:03:06.118 kiasi gawa kwa mbili ni 16, 00:03:06.118 --> 00:03:08.902 asili gawa kwa 2 ni 15. 00:03:09.452 --> 00:03:12.640 Hivyo, hii ni sawa na 16/15, na kama tukitaka 00:03:12.640 --> 00:03:16.215 kuandika hii kama namba mchanganyiko, 15 inaingia mara moja katika 16 00:03:16.215 --> 00:03:17.574 na baki moja. 00:03:17.574 --> 00:03:20.255 Hivyo hii ni sawa na 1 1/15. 00:03:20.795 --> 00:03:22.534 Hebu tufanye hesabu nyingine. 00:03:22.534 --> 00:03:27.018 Hebu tuseme tunahitaji kujumlisha 00:03:27.018 --> 00:03:31.881 1/2 na 00:03:31.881 --> 00:03:36.881 11/12. 00:03:36.893 --> 00:03:38.033 Nakushauri usimamishe video 00:03:38.033 --> 00:03:40.864 na ujaribu kufanya hii. 00:03:40.864 --> 00:03:42.502 Kama tulivyoona mwanzo, tunatakiwa kutafuta 00:03:42.502 --> 00:03:43.883 kigawe cha shirika. 00:03:43.883 --> 00:03:45.102 Kama hizi zina asili sawa, 00:03:45.102 --> 00:03:46.264 tunaweza kuzijumlisha moja kwa moja, 00:03:46.264 --> 00:03:48.527 lakini tunatakiwa kutafuta asili ya shirika 00:03:48.527 --> 00:03:50.222 kwa sababu haziko sawa. 00:03:50.902 --> 00:03:53.468 Tunachotakiwa kutafuta ni rahisi, 00:03:53.468 --> 00:03:55.794 kigawe cha shirika cha 2 na12, 00:03:55.794 --> 00:03:58.164 na ni vizuri kutafuta kigawe kidogo cha shirika cha 2 na 12, 00:03:58.164 --> 00:04:00.264 na kama tulivyofanya mwanzoni, hebu tuanze na kubwa 00:04:00.264 --> 00:04:01.901 kati ya hizi mbili, ambayo ni 12. 00:04:01.901 --> 00:04:05.291 Na sasa tunachukua 12 mara moja ambayo ni 12, 00:04:05.291 --> 00:04:07.949 na hivyo tunaweza kuona kuwa ni kigawe kidogo cha 12. 00:04:07.949 --> 00:04:10.632 Na je hiyo inagawanyika kwa mbili? Ndiyo, hakika. 00:04:10.632 --> 00:04:12.790 12 inagawanyika kwa mbili. 00:04:12.790 --> 00:04:15.855 Hivyo 12 ni kigawe kidogo cha shirika cha mbili na 12, 00:04:15.855 --> 00:04:17.213 tunaweza kuandika hizi sehemu mbili 00:04:17.213 --> 00:04:19.013 kama kitu fulani juu ya 12. 00:04:19.013 --> 00:04:21.625 Hiyo 1/2 ni nini juu ya 12? 00:04:21.625 --> 00:04:24.446 Kutoka mbili mpaka 12, utazidisha kwa sita, 00:04:24.446 --> 00:04:27.104 pia tutazidisha kiasi kwa sita. 00:04:27.104 --> 00:04:30.588 Sasa tunaona 1/2, na 6/12, hizi ni kitu sawa. 00:04:30.588 --> 00:04:33.954 Moja ni nusu ya mbili, sita ni nusu ya 12. 00:04:34.914 --> 00:04:38.485 Na tutaandikaje 11/12 kama kitu fulani juu ya 12? 00:04:38.485 --> 00:04:40.855 Hii tayari imekwisha andikwa juu ya 12, 00:04:40.855 --> 00:04:43.258 11/12 tayari ina 12 kama asili, 00:04:43.258 --> 00:04:45.029 hivyo hatuna sababu ya kubadili hiyo. 00:04:45.615 --> 00:04:48.268 11/12, sasa tuko tayari kujumlisha. 00:04:48.600 --> 00:04:51.350 Hivyo hii itakuwa sawa na sita, 00:04:52.520 --> 00:04:55.820 hii itakuwa sawa na sita jumlisha 11, 00:04:56.510 --> 00:05:01.510 sita jumlisha 11 juu ya 12. 00:05:02.378 --> 00:05:06.021 Tuna 6/12 jumlisha 11/12, 00:05:06.021 --> 00:05:09.318 itakuwa sita jumlisha 11 juu ya 12, 00:05:10.728 --> 00:05:15.087 ambayo itakuwa sawa, na sita jumlisha 11 ni 17/12. 00:05:15.087 --> 00:05:16.504 Kama tukitaka kuandika hii kama namba mchanganyiko, 00:05:16.504 --> 00:05:19.487 12 inaingia mara moja katika 17 00:05:19.487 --> 00:05:24.487 na baki tano, hivyo ni 1 5/12. 00:05:24.530 --> 00:05:25.710 Hebu tufanye nyingine kama hii. 00:05:25.710 --> 00:05:29.007 Hii ni tofauti kidogo. 00:05:29.007 --> 00:05:31.043 Hebu tuseme tunataka kujumlisha, 00:05:31.523 --> 00:05:35.894 3/4 na, 00:05:36.504 --> 00:05:40.584 1/5. 00:05:41.414 --> 00:05:43.974 Na moja juu ya tano. 00:05:43.974 --> 00:05:44.659 Hii itakuwa sawa na nini? 00:05:44.659 --> 00:05:46.157 Na kwa mara nyingine tena, simamisha hii video na 00:05:46.157 --> 00:05:47.870 ujaribu kufanya mwenyewe. 00:05:47.870 --> 00:05:49.291 Tuna asili tofauti, 00:05:49.291 --> 00:05:52.052 na tunataka kuandika hizi 00:05:52.052 --> 00:05:53.457 zikiwa na asili sawa, 00:05:53.457 --> 00:05:54.792 hivyo tunatakiwa kutafuta kigawe cha shirika, 00:05:54.792 --> 00:05:57.095 ni vizuri kiwe kigawe kidogo cha shirika. 00:05:57.095 --> 00:05:59.738 Je, kipi ni kigawe kidogo cha shirika cha nne na tano? 00:06:00.548 --> 00:06:01.862 Hebu tuanze na namba kubwa, 00:06:01.862 --> 00:06:04.718 na tuangalie vigawe vyake 00:06:04.718 --> 00:06:07.061 mpaka tutakapopata kigawe kitakacho gawanyika kwa nne. 00:06:07.061 --> 00:06:10.064 Hivyo tano haigawanyiki kwa nne. 00:06:10.064 --> 00:06:13.622 10 haigawanyiki kwa nne, bila kubaki 00:06:13.622 --> 00:06:14.702 ndio kitu tunachoangalia zaidi. 00:06:14.702 --> 00:06:17.059 15 haigawanyiki kwa nne bila kubaki. 00:06:17.059 --> 00:06:20.763 20 inagawanyika kwa nne, hiyo ni sawa na tano mara nne. 00:06:20.763 --> 00:06:23.514 Kigawe ni 20. Hivyo tunachotakiwa kufanya ni kuandika 00:06:23.514 --> 00:06:27.460 sehemu zote mbili zikiwa na asili 20, 00:06:27.460 --> 00:06:28.714 au 20 kama asili. 00:06:29.454 --> 00:06:32.266 Hivyo tunaweza kuandika 3/4 kama kitu fulani juu ya 20. 00:06:32.996 --> 00:06:35.319 Hivyo kutoka nne mpaka 20 katika asili, 00:06:35.319 --> 00:06:36.949 tunazidisha kwa tano. 00:06:36.949 --> 00:06:38.466 Pia tutazidisha katika kiasi . 00:06:38.466 --> 00:06:41.398 Tunazidisha tatu mara tano kupata 15. 00:06:41.398 --> 00:06:44.183 Tulichofanya ili kupata 20 ni kuzidisha kwa tano. 00:06:44.183 --> 00:06:45.820 Pia tunatakiwa kufanya sawa kwa kiasi, 00:06:45.820 --> 00:06:47.736 tatu mara tano ni 15. 00:06:47.736 --> 00:06:52.658 3/4 ni sawa na 15/20. 00:06:52.658 --> 00:06:55.004 1/5. Itakuwa sawa na nini juu ya 20? 00:06:55.004 --> 00:06:58.358 Hivyo kutoka tano mpaka 20, unatakiwa kuzidisha kwa nne. 00:06:58.358 --> 00:06:59.995 Pia tunatakiwa kufanya sawa na kwa kiasi. 00:06:59.995 --> 00:07:03.861 Tunatakiwa kuzidisha kiasi kwa nne ili kupata 4/20. 00:07:04.451 --> 00:07:07.181 Hivyo nimeandika hii badala ya 3/4 jumlisha 1/5, 00:07:07.181 --> 00:07:10.815 sasa tumeandika 15/20 jumlisha 4/20. 00:07:10.815 --> 00:07:12.973 Na hiyo itakuwa sawa na nini? 00:07:12.973 --> 00:07:17.932 Hiyo itakuwa sawa na 15 jumlisha nne ambayo ni 19/20. 00:07:17.932 --> 00:07:22.024 19/20, na tumemaliza.