0:00:00.471,0:00:02.637 Mgahawa hufunguliwa saa 9. 0:00:02.637,0:00:04.809 Maegesho yake yana safu 6. 0:00:04.809,0:00:06.588 Kila safu inatosha magari 7. 0:00:06.588,0:00:08.285 Kila gari lina matairi 4. 0:00:08.317,0:00:11.182 Maegesho yanaweza kuingia magari? 0:00:11.182,0:00:13.960 Subirisha video utafakari. 0:00:13.960,0:00:16.641 Jaribu kutafuta jibu. 0:00:16.641,0:00:17.630 Tusome tena. 0:00:17.630,0:00:19.890 Mgahawa hufunguliwa saa 9. 0:00:19.890,0:00:23.520 Hii hainamaana kama tunatafuta idadi ya magari 0:00:23.520,0:00:25.495 Hivyo tunaiacha 0:00:25.495,0:00:27.745 Pia hatuitaji idadi ya matairi. 0:00:27.745,0:00:30.145 Hatuulizwi idadi ya matairi. 0:00:30.145,0:00:31.725 Tunaweza kuiacha. 0:00:31.725,0:00:34.405 Tunachojali ni idadi ya safu tulizonazo. 0:00:34.405,0:00:36.795 Na ni magari mangapi yanatosha kila safu. 0:00:36.795,0:00:43.855 Tuna safu 6 na kila safu inaingia magari 7. 0:00:43.855,0:00:47.255 Tuna makundi 6 ya 7. 0:00:47.255,0:00:48.365 Au tunaweza kusema 0:00:48.365,0:00:53.215 tuna 6 mara magari 7 yanayotosha kwenye safu. 0:00:53.215,0:00:55.425 itakuwa ni sawa na? 0:00:55.425,0:00:58.911 Hizi ni 6 saba zimeongezwa. 0:00:58.911,0:01:05.451 Hii ni sawa na 1, 2, 3, 4, 5, 6. 0:01:05.451,0:01:07.951 0:01:07.951,0:01:13.221 tunaongeza na 7. 0:01:13.221,0:01:15.641 7 + 7 ni 14. 0:01:15.641,0:01:20.401 21, 28, 35, 42. 0:01:20.401,0:01:25.141 6 mara 7 ni sawa na 42. 0:01:25.141,0:01:31.021 Hivyo maegesho inaweza kutosha magari 42. Ngoja nichore 0:01:31.021,0:01:32.731 Tuna safu 6. 0:01:32.731,0:01:34.071 Hii ni ya kwanza. 0:01:34.071,0:01:34.901 ya pili... 0:01:34.901,0:01:35.891 ya tatu... 0:01:35.891,0:01:36.751 ya nne... 0:01:36.751,0:01:37.441 ya tano... 0:01:37.441,0:01:38.861 ya sita. 0:01:38.861,0:01:41.671 Kila safu inatosha magari 7. Kama unavyoona 0:01:41.671,0:01:44.071 0:01:44.071,0:01:45.001 Moja... 0:01:45.001,0:01:45.771 Mbili... 0:01:45.771,0:01:46.741 Tatu... 0:01:46.741,0:01:49.881 nne, tano, sita, saba. 0:01:49.881,0:01:51.510 Kuna magari mangapi? 0:01:51.596,0:01:53.053 Tuna 7. 0:01:53.053,0:01:54.253 14... 0:01:54.253,0:01:55.553 21... 0:01:55.553,0:01:56.793 28... 0:01:56.794,0:01:57.934 35... 0:01:57.934,0:02:00.334 jumla ni magari 42. 0:02:00.334,0:02:04.334 safu 6 ya 7.