1 00:00:00,471 --> 00:00:02,637 Mgahawa hufunguliwa saa 9. 2 00:00:02,637 --> 00:00:04,809 Maegesho yake yana safu 6. 3 00:00:04,809 --> 00:00:06,588 Kila safu inatosha magari 7. 4 00:00:06,588 --> 00:00:08,285 Kila gari lina matairi 4. 5 00:00:08,317 --> 00:00:11,182 Maegesho yanaweza kuingia magari? 6 00:00:11,182 --> 00:00:13,960 Subirisha video utafakari. 7 00:00:13,960 --> 00:00:16,641 Jaribu kutafuta jibu. 8 00:00:16,641 --> 00:00:17,630 Tusome tena. 9 00:00:17,630 --> 00:00:19,890 Mgahawa hufunguliwa saa 9. 10 00:00:19,890 --> 00:00:23,520 Hii hainamaana kama tunatafuta idadi ya magari 11 00:00:23,520 --> 00:00:25,495 Hivyo tunaiacha 12 00:00:25,495 --> 00:00:27,745 Pia hatuitaji idadi ya matairi. 13 00:00:27,745 --> 00:00:30,145 Hatuulizwi idadi ya matairi. 14 00:00:30,145 --> 00:00:31,725 Tunaweza kuiacha. 15 00:00:31,725 --> 00:00:34,405 Tunachojali ni idadi ya safu tulizonazo. 16 00:00:34,405 --> 00:00:36,795 Na ni magari mangapi yanatosha kila safu. 17 00:00:36,795 --> 00:00:43,855 Tuna safu 6 na kila safu inaingia magari 7. 18 00:00:43,855 --> 00:00:47,255 Tuna makundi 6 ya 7. 19 00:00:47,255 --> 00:00:48,365 Au tunaweza kusema 20 00:00:48,365 --> 00:00:53,215 tuna 6 mara magari 7 yanayotosha kwenye safu. 21 00:00:53,215 --> 00:00:55,425 itakuwa ni sawa na? 22 00:00:55,425 --> 00:00:58,911 Hizi ni 6 saba zimeongezwa. 23 00:00:58,911 --> 00:01:05,451 Hii ni sawa na 1, 2, 3, 4, 5, 6. 24 00:01:05,451 --> 00:01:07,951 25 00:01:07,951 --> 00:01:13,221 tunaongeza na 7. 26 00:01:13,221 --> 00:01:15,641 7 + 7 ni 14. 27 00:01:15,641 --> 00:01:20,401 21, 28, 35, 42. 28 00:01:20,401 --> 00:01:25,141 6 mara 7 ni sawa na 42. 29 00:01:25,141 --> 00:01:31,021 Hivyo maegesho inaweza kutosha magari 42. Ngoja nichore 30 00:01:31,021 --> 00:01:32,731 Tuna safu 6. 31 00:01:32,731 --> 00:01:34,071 Hii ni ya kwanza. 32 00:01:34,071 --> 00:01:34,901 ya pili... 33 00:01:34,901 --> 00:01:35,891 ya tatu... 34 00:01:35,891 --> 00:01:36,751 ya nne... 35 00:01:36,751 --> 00:01:37,441 ya tano... 36 00:01:37,441 --> 00:01:38,861 ya sita. 37 00:01:38,861 --> 00:01:41,671 Kila safu inatosha magari 7. Kama unavyoona 38 00:01:41,671 --> 00:01:44,071 39 00:01:44,071 --> 00:01:45,001 Moja... 40 00:01:45,001 --> 00:01:45,771 Mbili... 41 00:01:45,771 --> 00:01:46,741 Tatu... 42 00:01:46,741 --> 00:01:49,881 nne, tano, sita, saba. 43 00:01:49,881 --> 00:01:51,510 Kuna magari mangapi? 44 00:01:51,596 --> 00:01:53,053 Tuna 7. 45 00:01:53,053 --> 00:01:54,253 14... 46 00:01:54,253 --> 00:01:55,553 21... 47 00:01:55,553 --> 00:01:56,793 28... 48 00:01:56,794 --> 00:01:57,934 35... 49 00:01:57,934 --> 00:02:00,334 jumla ni magari 42. 50 00:02:00,334 --> 00:02:04,334 safu 6 ya 7.