[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.47,0:00:02.64,Default,,0000,0000,0000,,Mgahawa hufunguliwa saa 9. Dialogue: 0,0:00:02.64,0:00:04.81,Default,,0000,0000,0000,,Maegesho yake yana safu 6. Dialogue: 0,0:00:04.81,0:00:06.59,Default,,0000,0000,0000,,Kila safu inatosha magari 7. Dialogue: 0,0:00:06.59,0:00:08.28,Default,,0000,0000,0000,,Kila gari lina matairi 4. Dialogue: 0,0:00:08.32,0:00:11.18,Default,,0000,0000,0000,,Maegesho yanaweza kuingia magari? Dialogue: 0,0:00:11.18,0:00:13.96,Default,,0000,0000,0000,,Subirisha video utafakari. Dialogue: 0,0:00:13.96,0:00:16.64,Default,,0000,0000,0000,,Jaribu kutafuta jibu. Dialogue: 0,0:00:16.64,0:00:17.63,Default,,0000,0000,0000,,Tusome tena. Dialogue: 0,0:00:17.63,0:00:19.89,Default,,0000,0000,0000,,Mgahawa hufunguliwa saa 9. Dialogue: 0,0:00:19.89,0:00:23.52,Default,,0000,0000,0000,,Hii hainamaana kama tunatafuta idadi ya magari Dialogue: 0,0:00:23.52,0:00:25.50,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunaiacha Dialogue: 0,0:00:25.50,0:00:27.74,Default,,0000,0000,0000,,Pia hatuitaji idadi ya matairi. Dialogue: 0,0:00:27.74,0:00:30.14,Default,,0000,0000,0000,,Hatuulizwi idadi ya matairi. Dialogue: 0,0:00:30.14,0:00:31.72,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza kuiacha. Dialogue: 0,0:00:31.72,0:00:34.40,Default,,0000,0000,0000,,Tunachojali ni idadi ya safu tulizonazo. Dialogue: 0,0:00:34.40,0:00:36.80,Default,,0000,0000,0000,,Na ni magari mangapi yanatosha kila safu. Dialogue: 0,0:00:36.80,0:00:43.86,Default,,0000,0000,0000,,Tuna safu 6 na kila safu inaingia magari 7. Dialogue: 0,0:00:43.86,0:00:47.26,Default,,0000,0000,0000,,Tuna makundi 6 ya 7. Dialogue: 0,0:00:47.26,0:00:48.36,Default,,0000,0000,0000,,Au tunaweza kusema Dialogue: 0,0:00:48.36,0:00:53.22,Default,,0000,0000,0000,,tuna 6 mara magari 7 yanayotosha kwenye safu. Dialogue: 0,0:00:53.22,0:00:55.42,Default,,0000,0000,0000,,itakuwa ni sawa na? Dialogue: 0,0:00:55.42,0:00:58.91,Default,,0000,0000,0000,,Hizi ni 6 saba zimeongezwa. Dialogue: 0,0:00:58.91,0:01:05.45,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni sawa na 1, 2, 3, 4, 5, 6. Dialogue: 0,0:01:05.45,0:01:07.95,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:01:07.95,0:01:13.22,Default,,0000,0000,0000,,tunaongeza na 7. Dialogue: 0,0:01:13.22,0:01:15.64,Default,,0000,0000,0000,,7 + 7 ni 14. Dialogue: 0,0:01:15.64,0:01:20.40,Default,,0000,0000,0000,,21, 28, 35, 42. Dialogue: 0,0:01:20.40,0:01:25.14,Default,,0000,0000,0000,,6 mara 7 ni sawa na 42. Dialogue: 0,0:01:25.14,0:01:31.02,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo maegesho inaweza kutosha magari 42. Ngoja nichore Dialogue: 0,0:01:31.02,0:01:32.73,Default,,0000,0000,0000,,Tuna safu 6. Dialogue: 0,0:01:32.73,0:01:34.07,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni ya kwanza. Dialogue: 0,0:01:34.07,0:01:34.90,Default,,0000,0000,0000,,ya pili... Dialogue: 0,0:01:34.90,0:01:35.89,Default,,0000,0000,0000,,ya tatu... Dialogue: 0,0:01:35.89,0:01:36.75,Default,,0000,0000,0000,,ya nne... Dialogue: 0,0:01:36.75,0:01:37.44,Default,,0000,0000,0000,,ya tano... Dialogue: 0,0:01:37.44,0:01:38.86,Default,,0000,0000,0000,,ya sita. Dialogue: 0,0:01:38.86,0:01:41.67,Default,,0000,0000,0000,,Kila safu inatosha magari 7. Kama unavyoona Dialogue: 0,0:01:41.67,0:01:44.07,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:01:44.07,0:01:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Moja... Dialogue: 0,0:01:45.00,0:01:45.77,Default,,0000,0000,0000,,Mbili... Dialogue: 0,0:01:45.77,0:01:46.74,Default,,0000,0000,0000,,Tatu... Dialogue: 0,0:01:46.74,0:01:49.88,Default,,0000,0000,0000,,nne, tano, sita, saba. Dialogue: 0,0:01:49.88,0:01:51.51,Default,,0000,0000,0000,,Kuna magari mangapi? Dialogue: 0,0:01:51.60,0:01:53.05,Default,,0000,0000,0000,,Tuna 7. Dialogue: 0,0:01:53.05,0:01:54.25,Default,,0000,0000,0000,,14... Dialogue: 0,0:01:54.25,0:01:55.55,Default,,0000,0000,0000,,21... Dialogue: 0,0:01:55.55,0:01:56.79,Default,,0000,0000,0000,,28... Dialogue: 0,0:01:56.79,0:01:57.93,Default,,0000,0000,0000,,35... Dialogue: 0,0:01:57.93,0:02:00.33,Default,,0000,0000,0000,,jumla ni magari 42. Dialogue: 0,0:02:00.33,0:02:04.33,Default,,0000,0000,0000,,safu 6 ya 7.