Mgahawa hufunguliwa saa 9. Maegesho yake yana safu 6. Kila safu inatosha magari 7. Kila gari lina matairi 4. Maegesho yanaweza kuingia magari? Subirisha video utafakari. Jaribu kutafuta jibu. Tusome tena. Mgahawa hufunguliwa saa 9. Hii hainamaana kama tunatafuta idadi ya magari Hivyo tunaiacha Pia hatuitaji idadi ya matairi. Hatuulizwi idadi ya matairi. Tunaweza kuiacha. Tunachojali ni idadi ya safu tulizonazo. Na ni magari mangapi yanatosha kila safu. Tuna safu 6 na kila safu inaingia magari 7. Tuna makundi 6 ya 7. Au tunaweza kusema tuna 6 mara magari 7 yanayotosha kwenye safu. itakuwa ni sawa na? Hizi ni 6 saba zimeongezwa. Hii ni sawa na 1, 2, 3, 4, 5, 6. tunaongeza na 7. 7 + 7 ni 14. 21, 28, 35, 42. 6 mara 7 ni sawa na 42. Hivyo maegesho inaweza kutosha magari 42. Ngoja nichore Tuna safu 6. Hii ni ya kwanza. ya pili... ya tatu... ya nne... ya tano... ya sita. Kila safu inatosha magari 7. Kama unavyoona Moja... Mbili... Tatu... nne, tano, sita, saba. Kuna magari mangapi? Tuna 7. 14... 21... 28... 35... jumla ni magari 42. safu 6 ya 7.