WEBVTT 00:00:00.471 --> 00:00:02.637 Mgahawa hufunguliwa saa 9. 00:00:02.637 --> 00:00:04.809 Maegesho yake yana safu 6. 00:00:04.809 --> 00:00:06.588 Kila safu inatosha magari 7. 00:00:06.588 --> 00:00:08.285 Kila gari lina matairi 4. 00:00:08.317 --> 00:00:11.182 Maegesho yanaweza kuingia magari? 00:00:11.182 --> 00:00:13.960 Subirisha video utafakari. 00:00:13.960 --> 00:00:16.641 Jaribu kutafuta jibu. 00:00:16.641 --> 00:00:17.630 Tusome tena. 00:00:17.630 --> 00:00:19.890 Mgahawa hufunguliwa saa 9. 00:00:19.890 --> 00:00:23.520 Hii hainamaana kama tunatafuta idadi ya magari 00:00:23.520 --> 00:00:25.495 Hivyo tunaiacha 00:00:25.495 --> 00:00:27.745 Pia hatuitaji idadi ya matairi. 00:00:27.745 --> 00:00:30.145 Hatuulizwi idadi ya matairi. 00:00:30.145 --> 00:00:31.725 Tunaweza kuiacha. 00:00:31.725 --> 00:00:34.405 Tunachojali ni idadi ya safu tulizonazo. 00:00:34.405 --> 00:00:36.795 Na ni magari mangapi yanatosha kila safu. 00:00:36.795 --> 00:00:43.855 Tuna safu 6 na kila safu inaingia magari 7. 00:00:43.855 --> 00:00:47.255 Tuna makundi 6 ya 7. 00:00:47.255 --> 00:00:48.365 Au tunaweza kusema 00:00:48.365 --> 00:00:53.215 tuna 6 mara magari 7 yanayotosha kwenye safu. 00:00:53.215 --> 00:00:55.425 itakuwa ni sawa na? 00:00:55.425 --> 00:00:58.911 Hizi ni 6 saba zimeongezwa. 00:00:58.911 --> 00:01:05.451 Hii ni sawa na 1, 2, 3, 4, 5, 6. 00:01:05.451 --> 00:01:07.951 00:01:07.951 --> 00:01:13.221 tunaongeza na 7. 00:01:13.221 --> 00:01:15.641 7 + 7 ni 14. 00:01:15.641 --> 00:01:20.401 21, 28, 35, 42. 00:01:20.401 --> 00:01:25.141 6 mara 7 ni sawa na 42. 00:01:25.141 --> 00:01:31.021 Hivyo maegesho inaweza kutosha magari 42. Ngoja nichore 00:01:31.021 --> 00:01:32.731 Tuna safu 6. 00:01:32.731 --> 00:01:34.071 Hii ni ya kwanza. 00:01:34.071 --> 00:01:34.901 ya pili... 00:01:34.901 --> 00:01:35.891 ya tatu... 00:01:35.891 --> 00:01:36.751 ya nne... 00:01:36.751 --> 00:01:37.441 ya tano... 00:01:37.441 --> 00:01:38.861 ya sita. 00:01:38.861 --> 00:01:41.671 Kila safu inatosha magari 7. Kama unavyoona 00:01:41.671 --> 00:01:44.071 00:01:44.071 --> 00:01:45.001 Moja... 00:01:45.001 --> 00:01:45.771 Mbili... 00:01:45.771 --> 00:01:46.741 Tatu... 00:01:46.741 --> 00:01:49.881 nne, tano, sita, saba. 00:01:49.881 --> 00:01:51.510 Kuna magari mangapi? 00:01:51.596 --> 00:01:53.053 Tuna 7. 00:01:53.053 --> 00:01:54.253 14... 00:01:54.253 --> 00:01:55.553 21... 00:01:55.553 --> 00:01:56.793 28... 00:01:56.794 --> 00:01:57.934 35... 00:01:57.934 --> 00:02:00.334 jumla ni magari 42. 00:02:00.334 --> 00:02:04.334 safu 6 ya 7.