1 00:00:00,000 --> 00:00:03,033 Kuna wengi wetu - tunajua 2 00:00:03,033 --> 00:00:07,566 sauti ya Mungu imechochea mioyo yetu kuchukua hatua. 3 00:00:07,566 --> 00:00:12,300 Lakini kwa sababu ya hofu, kwa sababu ya shaka, kwa sababu ya uduni, 4 00:00:12,300 --> 00:00:18,366 tunasalia katika wavu unaoonekana kuwa wa usalama wa kufahamiana. 5 00:00:18,366 --> 00:00:23,266 Sasa hivi, pokea ujasiri huo! 6 00:00:23,266 --> 00:00:31,400 Pokea ujasiri huo wa kutoka katika mwelekeo wa kile ambacho Mungu ameweka moyoni mwako, 7 00:00:31,400 --> 00:00:35,666 kupiga hatua katika mwelekeo wa wito wa Mungu kwa maisha yako! 8 00:00:35,666 --> 00:00:40,900 Unapotoka katika mwelekeo wa wito wa Mungu, utajishangaa mwenyewe, 9 00:00:40,900 --> 00:00:44,966 utajishangaa, utaleta mabadiliko katika ulimwengu wako! 10 00:00:44,966 --> 00:00:50,800 Pokea ujasiri huo, pokea nguvu hizo, pokea ujasiri huo!